Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Usijiulize Tanzania itakufanyia Nini Bali jiulize utaifanyia Nini Tanzaniakuwa muheshimiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijiulize Tanzania itakufanyia Nini Bali jiulize utaifanyia Nini Tanzaniakuwa muheshimiwa
Umma wa watanzania Ndio umeipa nguvu CCM kuwepo madarakani kutokana na utendaji kazi na uchapa kazi wa serikali ya CCM katika kuleta Tabasamu na matumaini kwenye maisha yaoUmma wa Lumumba Si NGUVU ya UMMA niiongeleayo mm!!
Tindo rafiki yangu naomba nikwambie kuwa hakuna wa kuleta machafuko nchii hii Wala kuingia Barabarani kuipinga serikali hii shupavu ya CCM,Kama huamini maneno yangu Basi anzisha wewe hayo maandamano na uwe mstari wa mbele, au kamuulize lisu kilichomkuta 2020 ambapo Hadi wewe ulimsaliti kwa kukataa kuingia Barabarani na kubaki umejificha chumbani kwako
Kwahiyo wewe unaifanyia nini tanzania kwa sashiviUsijiulize Tanzania itakufanyia Nini Bali jiulize utaifanyia Nini Tanzania
Nalilisha Taifa langu kwa kulima kwa bidii na juhudi kubwa ili njaa isiingie katika Taifa letu,maana huwezi ukamuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula Ndio maana naiunga mkono serikali yangu kwa kufanya kazi kwa bidiiKwahiyo wewe unaofanyia nini tanzania kea sashivi
Wewe usiye muoga kwanini usianzishe maandamano? Watanzania wanajitambua na wanatambua CCM ndio chama chenye uchungu na maisha yao na chenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ambacho kimeonyesha umadhubuti katika kuwainua watu kiuchumi,watanzania hawapo Tayari kuwaunga mkono wasaka tonge kutoka upinzani wanaoshindwa hata kujiongoza wao wenyeweNarudia tena, mapinduzi au machafuko ndio yatawatoa madarakani. Hakuna mtu anayejitambua atapoteza muda wake kupanga mstari kwenye box la kura lisiloheshimika. Endeleeni kuomba watu wawe waoga hivi hivi ili muendelee kukaa madarakani kwa shuruti bila ridhaa yao.
Kwahiyo taifa letu halina njaa?Nalilisha Taifa langu kwa kulima kwa bidii na juhudi kubwa ili njaa isiingie katika Taifa letu,maana huwezi ukamuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula Ndio maana naiunga mkono serikali yangu kwa kufanya kazi kwa bidii
Wewe usiye muoga kwanini usianzishe maandamano? Watanzania wanajitambua na wanatambua CCM ndio chama chenye uchungu na maisha yao na chenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ambacho kimeonyesha umadhubuti katika kuwainua watu kiuchumi,watanzania hawapo Tayari kuwaunga mkono wasaka tonge kutoka upinzani wanaoshindwa hata kujiongoza wao wenyeweNarudia tena, mapinduzi au machafuko ndio yatawatoa madarakani. Hakuna mtu anayejitambua atapoteza muda wake kupanga mstari kwenye box la kura lisiloheshimika. Endeleeni kuomba watu wawe waoga hivi hivi ili muendelee kukaa madarakani kwa shuruti bila ridhaa yao.
Ndio halina njaa maana chakula kipo Cha kutosha kuanzia sokoni Hadi magodauni, Kama huna chakula au unga hapo kwako Nenda sokonoli uone Kama utakosa chakulaKwahiyo taifa letu halina njaa?
Ccm kuweka kikokotoo kwa wastaafu ni kuwasaidia au kuwakandamiza??Wewe usiye muoga kwanini usianzishe maandamano? Watanzania wanajitambua na wanatambua CCM ndio chama chenye uchungu na maisha yao na chenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ambacho kimeonyesha umadhubuti katika kuwainua watu kiuchumi,watanzania hawapo Tayari kuwaunga mkono wasaka tonge kutoka upinzani wanaoshindwa hata kujiongoza wao wenyewe
Kama vipo vya kutosha kwanini bei ya vyakula imepanda sana??Ndio halina njaa maana chakula kipo Cha kutosha kuanzia sokoni Hadi magodauni, Kama huna chakula au unga hapo kwako Nenda sokonoli uone Kama utakosa chakula
Tozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu,Ni kupitia Tozo serikali yetu Sasa inatoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita, ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20,ujenzi wa vituo vya Afya ambapo miezimichache tu kulijengwa vituo vya Afya takribani 234,utolewaji wa Ruzuku billion Mia moja hamsini katika mbolea n.k,Ndio maana unaona watanzania wakiuunga mkono serikali ya CCM chini ya Rais wetu mpendwa mama Samia.Ccm kuweka kikokotoo kwa wastaafu ni kuwasaidia au kuwakandamiza??
Kuwawekea wananchi matozo ndiko mnakoita kuwainua wananchi kiuchumi??
Huko sokoni vinatolewa bule? Maana ccm imeshindwa kutengeneza ajira wala kuongeza mishahara. Wakati huo huo bei ya vyakula inapanda kila sikuNdio halina njaa maana chakula kipo Cha kutosha kuanzia sokoni Hadi magodauni, Kama huna chakula au unga hapo kwako Nenda sokonoli uone Kama utakosa chakula
Kilimo Ni biashara,karibu na wewe ndugu yangu ulime ili uuze kwa Bei yako,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya miaka mingi kulia na kuumia kwa kulilisha Taifa letu huku wao wakiendelea kuwa maskiniKama vipo vya kutosha kwanini bei ya vyakula imepanda sana??
Akili ya ccm ndio imeishia hapo ktk tozo na mikopo ili iweze kufanya maendeleo??Tozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu,Ni kupitia Tozo serikali yetu Sasa inatoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita, ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20,ujenzi wa vituo vya Afya ambapo miezimichache tu kulijengwa vituo vya Afya takribani 234,utolewaji wa Ruzuku billion Mia moja hamsini katika mbolea n.k,Ndio maana unaona watanzania wakiuunga mkono serikali ya CCM chini ya Rais wetu mpendwa mama Samia.
Ajira zinatengenezwa na serikali ya CCM kwa Kasi ya kutia matumaini,mfano mwaka uliopita serikali ya Rais Samia imetoa ajira nyingi takribani elfu 42 za kada mbalimbali zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya, pia imeweza fanya juhudi kubwa Sana za kuimarisha sekta binafsi na kuvutia wawekezaji ambapo kupitia juhudi hizi fursa za ajira nyingi ziliweza kutengenezwa,lakini pia serikali imekuwa na miradi mingi Sana inayotekelezwa kila Kona ya nchi yetu ambayo imezalisha ajira nyingi Sana kwa vijanaHuko sokoni vinatolewa bule? Maana ccm imeshindwa kutengeneza ajira wala kuongesha mishahara. Askari huo huo bei ya vyakula inapanda kila siku
Sasa wote tukiwa tukiwa wakulima nani ananunua na nani atafanyakaziKilimo Ni biashara,karibu na wewe ndugu yangu ulime ili uuze kwa Bei yako,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya miaka mingi kulia na kuumia kwa kulilisha Taifa letu huku wao wakiendelea kuwa maskini
Unafikiri nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa kushushiwa kutoka angani,au unafikiri ziliendelea kwa miujiza pasipo wananchi wake kuwajibika kulipa tozo na kodiAkili ya ccm ndio imeishia hapo ktk tozo na mikopo ili iweze kufanya maendeleo??
🤣🤣🤣🤣🤣Ajira zinatengenezwa na serikali ya CCM kwa Kasi ya kutia matumaini,mfano mwaka uliopita serikali ya Rais Samia imetoa ajira nyingi takribani elfu 42 za kada mbalimbali zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya,pia imeweza fanya juhudi kubwa Sana za kuimarisha secta binafsi na kuvutia wawekezaji ambapo kupitia juhudi hizi fursa za ajira nyingi ziliweza kutengenezwa,lakini pia serikali imekuwa na miradi mingi Sana inayotekelezwa kila Kona ya nchi yetu ambayo imezalisha ajira nyingi Sana kwa vijana