Uchaguzi ujao utakuwa mwepesi sana kwa CCM tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini

Umma wa Lumumba Si NGUVU ya UMMA niiongeleayo mm!!
Umma wa watanzania Ndio umeipa nguvu CCM kuwepo madarakani kutokana na utendaji kazi na uchapa kazi wa serikali ya CCM katika kuleta Tabasamu na matumaini kwenye maisha yao
 
Tindo rafiki yangu naomba nikwambie kuwa hakuna wa kuleta machafuko nchii hii Wala kuingia Barabarani kuipinga serikali hii shupavu ya CCM,Kama huamini maneno yangu Basi anzisha wewe hayo maandamano na uwe mstari wa mbele, au kamuulize lisu kilichomkuta 2020 ambapo Hadi wewe ulimsaliti kwa kukataa kuingia Barabarani na kubaki umejificha chumbani kwako

Narudia tena, mapinduzi au machafuko ndio yatawatoa madarakani. Hakuna mtu anayejitambua atapoteza muda wake kupanga mstari kwenye box la kura lisiloheshimika. Endeleeni kuomba watu wawe waoga hivi hivi ili muendelee kukaa madarakani kwa shuruti bila ridhaa yao.
 
Kwahiyo wewe unaofanyia nini tanzania kea sashivi
Nalilisha Taifa langu kwa kulima kwa bidii na juhudi kubwa ili njaa isiingie katika Taifa letu,maana huwezi ukamuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula Ndio maana naiunga mkono serikali yangu kwa kufanya kazi kwa bidii
 
Narudia tena, mapinduzi au machafuko ndio yatawatoa madarakani. Hakuna mtu anayejitambua atapoteza muda wake kupanga mstari kwenye box la kura lisiloheshimika. Endeleeni kuomba watu wawe waoga hivi hivi ili muendelee kukaa madarakani kwa shuruti bila ridhaa yao.
Wewe usiye muoga kwanini usianzishe maandamano? Watanzania wanajitambua na wanatambua CCM ndio chama chenye uchungu na maisha yao na chenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ambacho kimeonyesha umadhubuti katika kuwainua watu kiuchumi,watanzania hawapo Tayari kuwaunga mkono wasaka tonge kutoka upinzani wanaoshindwa hata kujiongoza wao wenyewe
 
Kwahiyo taifa letu halina njaa?
 
Ccm kuweka kikokotoo kwa wastaafu ni kuwasaidia au kuwakandamiza??

Kuwawekea wananchi matozo ndiko mnakoita kuwainua wananchi kiuchumi??
 
Tozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu,Ni kupitia Tozo serikali yetu Sasa inatoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita, ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20,ujenzi wa vituo vya Afya ambapo miezimichache tu kulijengwa vituo vya Afya takribani 234,utolewaji wa Ruzuku billion Mia moja hamsini katika mbolea n.k,Ndio maana unaona watanzania wakiuunga mkono serikali ya CCM chini ya Rais wetu mpendwa mama Samia.
 
Ndio halina njaa maana chakula kipo Cha kutosha kuanzia sokoni Hadi magodauni, Kama huna chakula au unga hapo kwako Nenda sokonoli uone Kama utakosa chakula
Huko sokoni vinatolewa bule? Maana ccm imeshindwa kutengeneza ajira wala kuongeza mishahara. Wakati huo huo bei ya vyakula inapanda kila siku
 
Kama vipo vya kutosha kwanini bei ya vyakula imepanda sana??
Kilimo Ni biashara,karibu na wewe ndugu yangu ulime ili uuze kwa Bei yako,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya miaka mingi kulia na kuumia kwa kulilisha Taifa letu huku wao wakiendelea kuwa maskini
 
Tozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu,Ni kupitia Tozo serikali yetu Sasa inatoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita, ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20,ujenzi wa vituo vya Afya ambapo miezimichache tu kulijengwa vituo vya Afya takribani 234,utolewaji wa Ruzuku billion Mia moja hamsini katika mbolea n.k,Ndio maana unaona watanzania wakiuunga mkono serikali ya CCM chini ya Rais wetu mpendwa mama Samia.
Akili ya ccm ndio imeishia hapo ktk tozo na mikopo ili iweze kufanya maendeleo??
 
Huko sokoni vinatolewa bule? Maana ccm imeshindwa kutengeneza ajira wala kuongesha mishahara. Askari huo huo bei ya vyakula inapanda kila siku
Ajira zinatengenezwa na serikali ya CCM kwa Kasi ya kutia matumaini,mfano mwaka uliopita serikali ya Rais Samia imetoa ajira nyingi takribani elfu 42 za kada mbalimbali zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya, pia imeweza fanya juhudi kubwa Sana za kuimarisha sekta binafsi na kuvutia wawekezaji ambapo kupitia juhudi hizi fursa za ajira nyingi ziliweza kutengenezwa,lakini pia serikali imekuwa na miradi mingi Sana inayotekelezwa kila Kona ya nchi yetu ambayo imezalisha ajira nyingi Sana kwa vijana
 
Kilimo Ni biashara,karibu na wewe ndugu yangu ulime ili uuze kwa Bei yako,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya miaka mingi kulia na kuumia kwa kulilisha Taifa letu huku wao wakiendelea kuwa maskini
Sasa wote tukiwa tukiwa wakulima nani ananunua na nani atafanyakazi
 
Sijalelewa utakuwa ni uchaguzi mwepesi kushinda ule uliyoiweka serikali ya sasa madarakani?

Kama uchaguzi ccm ilishinda kuanzia vijji vyote na majimbo yote bara kasoro mawili kwamba huo sio uchaguzi mwepesi kwa ccm kushinda chaguzi zote tokea kuanzishwe vyama vingi vya siasa? Au ni Mimi ndio sielewi hapa..
 
Akili ya ccm ndio imeishia hapo ktk tozo na mikopo ili iweze kufanya maendeleo??
Unafikiri nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa kushushiwa kutoka angani,au unafikiri ziliendelea kwa miujiza pasipo wananchi wake kuwajibika kulipa tozo na kodi
 
Ajira zinatengenezwa na serikali ya CCM kwa Kasi ya kutia matumaini,mfano mwaka uliopita serikali ya Rais Samia imetoa ajira nyingi takribani elfu 42 za kada mbalimbali zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya,pia imeweza fanya juhudi kubwa Sana za kuimarisha secta binafsi na kuvutia wawekezaji ambapo kupitia juhudi hizi fursa za ajira nyingi ziliweza kutengenezwa,lakini pia serikali imekuwa na miradi mingi Sana inayotekelezwa kila Kona ya nchi yetu ambayo imezalisha ajira nyingi Sana kwa vijana
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom