Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 650
- 276
Mkenda ni smart na izo hoja ulizoweka anaweza pangua zote hata Mimi binafsi naweza kuzipangua.
Unajua umafia wa kweny biashara iwe bidhaa au elimu? Unajua izo shule wanafunzi wanalipa shilling ngapi then uje kufananisha na elimu bure? Mkenda na wenzie michezo yote wanaijui wapo kweny game kitambo hawajai kurupuka sio rahisi.
Mazingira ya izo shule na st kayumba unayajua.
Nakupa home work [emoji117] Kaangali motisha ya walimu wa izo shule kabla ya wanafunzi then uje hapa kuleta jibu.
Kwa nini walimu wa st kayumba hawapati motisha?
Mazingira ya kayumba kwa nini siyo mazuri?
Li v eight limoja 600m/=