Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

2020 twende na Lissu jamani.. Huyu mtu wa sasa so wakumpa miaka mitano tena. Hii mitano alokaa inatosha sana na hapa alipotufikisha, tunataka Jasiri kama Lissu
 
Endelea kutupatia mitindo huru hiyo
Nguvu ya uma ni watanzania sio mashoga au mabeberu.
Watanzania wote wanamuamini Raisi wa sasa hivyo hilo tundu lililochanganyikiwa soon litazibwa na hakutakua na tundu tena baada ya uchaguzi
 
Una maono mkubwa sana
 
Ila wamepigika hatari awamu hii, kumbuka maisha yao yanawategemea wa mjini
Ukweli ni kwamba siasa siyo kazi ya kuneemeka. Ni kazi ya ziada kwa mtu mwenye chanzo kingine cha kipato. Tatizo ubunge umekuwa kama ni ajira. Hadi serikali inaweka sheria kwamba ukipewa ubunge basi achana na ajira yako serikalini, ingawa wafanyabiashara wanaendelea.

Kwa wana CCM viongozi walibweteka ikawa ni kuiba toka miradi ya chama, na michango ya lazima hasa kwa wafanyabiashara. Hali ya sasa ndo halisia. Kama ni kipigo ni kwa viongozi maana mwanachama wa kijijini hajawahi pewa pesa ya chama.
 
Hakika lissu ndiyo tegemeo pekee kwa watanzania kwa sasa
2020 twende na Lissu jamani.. Huyu mtu wa sasa so wakumpa miaka mitano tena. Hii mitano alokaa inatosha sana na hapa alipotufikisha, tunataka Jasiri kama Lissu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2297][emoji2297]
 
Hotuba ya lissu ya leo haikunifurahisha. Sijui ni kwa sababu alivyokuwa akiongea leo vyote nilkuwa navijua. Ni kama vile hajaongelea kitu chochote kipya.

Ushauri wangu, CHADEMA waje na Sera zao binafsi. Waache mambo ya kuongelea sijui Magufuli kakosea hapa sisi tutafanya hivi. Hapana. Every book has its own cover. Changamoto za awamu ya 5 haziwezi kuwa sawa na zile za awamu ijayo.
 
Kwani ukiongea bila kumtukana mtu hoja yako haiwezi kusikilizwa?
Watu hawaharibu hotuba ya tundu ila wanaongea ukweli unaofahamika na watanzania wote kwamba.
Kwa sasa hakuna mtu wa kumlinganisha na Raisi wa Tanzania ukiacha huyo mtu aliechanganyikiwa na pumbavu tundu
 
Huwezi kukosa bila kujaribu na hivyo hivyo huwezi kupata bila kujaribu
Sudan pamoja na usalama wa Taifa kushiriki kwenye hujuma ila mwishoni waliishia kushindwa na kiongozi mpya aliyemtoa Al Bashir aliishia kuuvunja usalama wa Taifa uliokuwa chini ya Bashir. Saivi wana chombo kipya cha usalama wa Taifa.
 
Picha yangu pendwa

Jr[emoji769]
 
Hapa ndio nimeamini kweli mwendawazimu amjui mjomba ake... Amesamehe akati alienda ulaya kushtakia na huko Ulaya wamempuuza na corona juu watu wako busy kira mtu na ashinde mechi zake uko Marekani kumeoza kabisa hakuna uhuru mpaka Wanajeshi wako road wanavunja sheria...

Sasa mimi binafsi nasema rudi nyumbani kumenoga na uache domo domo lako wenyewe uko wana shida kama ww tu usizuzuke na weupe wa rangi kira mtu ashinde mechi zake na hakuna uliye msamehe maana ww sio muumba
 
Dume zima unakubali kutumia avatar ya mtu mwingine!
Unasikitisha sana, hivi ninyi ndio mnaaminiwa kusambaza propaganda mfu kwa akili za namna hiyo.
Hivi unawezaje kuanza kujadili picha na jina la mtu usiyemjua?
Pumba kabisa wewe pamoja na hilo tundu tuliloliziba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…