Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Nadhan atakuwa ahmaku huyu c bure
Aisee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!
Kweli wewe Fungo!Na: Generose Nsanzugwako, Dodoma
Juni 8, 2020
Leo Tundu Lissu amehutubia kile alichoita hotuba kwa watanzania kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kuchukua fomu ya kugombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA.
Kwanza nimpongeze kwa kuchukua maamuzi hayo maana ni haki na demokrasia yake japo uraisi wake ni wa mitandaoni kuanzia kutangaza nia, kuandika barua uenda hata kuchukua na kurudisha fomu.
Lakini hapa nitajikita katika vipaumbele alivyotoa katika hotuba yake iwapo itatokea akachuguliwa kuwa Rais wa nchi ya Tanzania.
Kipaumbele chake cha kwanza ni kuwa akiwa Raisi hatojificha Singida COVID-19 ikitokea. Sasa hiki ni kipaumbele au utopolo. Akili yake kwa kuwa haiko sawa anaomba Tanzania iathirike na corona atangaze vifo na wagonjwa. Hii ni akili ya mfa maji.
Kipaumbele chake cha pili ni kuwa hatolipiza kisasi akichaguliwa kuwa raisi kwa waliompiga. Hiki ndo kichekesho kwa sababu mpaka sasa a ajua waliompiga risasi ndo maana alimficha dereva wake ili asitoboe siri. Ndo maana Jeshi ya polisi linamsubiri yeye kama mhusika namba moja na dereva wake ili uchunguzi wa kesi yake ukamilike.
Kipaumbele cha tatu ni kuwa atafanya kila liwezekanalo kukuza uchumi wa nchi. Sijui ana tatizo gani au kwa kuwa akili yake kwa sasa ni mbovu. Tangu lini Lissu akawa na akili ya kukuza uchumi wa nchi wakati yeye na Zitto walikuwa makuwadi ya kampuni ya Acacia wakilipwa mabilioni ya hela ili kuhakikisha nchi inaibiwa madini. Lissu huyu huyu amelipwa pesa kuzunguka nchi za ulaya ili kupinga juhudi za Raisi Magufuli za kuibiwa madini. Sasa Lissu rudi uone kama Acacia kama bado ipo na upate takwimu za madini kwa sasa.
Ajenda yake ya nne ambayo hakuiongelea sana ni ushoga. Ikumbukwe Lissu, Maria Sarungi na Fatume Karume ni wafuasi wa ushoga na wameutetea sana kipindi cha nyuma. Anaidai akiwa Raisi ushoga utahalalishwa kama haki ya binadamu. Hili tu linatosha kukunyima kura kwa sababu taifa hili sio la mashoga bali watu wa Mungu.
Lissu ameshindwa kuelewa kuwa Uraisi ni taasisi inayohitaji mtu makini, asiyepayuka na ambaye akili yake ni timamu.
Lissu unahitaji kuelewa kuwa watanzania wanahitaji kusikia vituo vingapi vya afya vimejengwa.
Watanzania wanahitaji kusikia kuwa wana madawa ya kutosha mahospitalini.
Watanzania wanahitaji kusikia watoto wakisoma bure shule ya msingi na sekondari na walimu wakilipwa stahiki zao.
Watanzania wanahitaji kusikia wakipata maji salama kwa afya zao.
Watanzania wanahitaji kusikia wakitengenezewa miundo mbinu ya barabara, majini na angani ili kusafiri na kusafirisha bidhaa zao.
Watanzania wahitaji kusikia wakiwashiwa umeme vijijini kwao tena kwa bei rahisi.
Watanzania wanahitaji kusikia wakifaidi matunda ya rasilimali zao za madini.
Watanzania wanahitaji kusikia vibaraka vya mabeberu kama Lissu, Zitto na wengineo mnafishwa mahakama kujibu tuhuma za uchochezi na uaini.
Hayo na mengine niliyotaja hapo juu ukirudi Tanzania ndo utakuta watanzania walishayapata kwa serikali ya awamu ya tano.
Sanasana utakachovuna ni hela ya mabeberu ya kufanyia kampeni ambayo mmeivuna. Hii hela itamsaidia sana baada ya kampeini kwani hatokuwa na chanzo cha mapato na bado anahitaji matibabu ya akili.
Mwisho nikukaribishe nchini ushindane na watu wenye akili ili ugalagazwe uamini kuwa uraisi sio wa kukurupikia bali ni mkakati
Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020.
Lissu ameweza kuelezea kwa kifupi na kueleweka sana hoja zote zilizotikisa kwenye miaka hii Mitano ambazo sio tu Chadema ila hadi CCM na watanzania kwa ujumla zimewagusa sana.
Hakuna ambae hajui kuwa wafanyabiashara wakubwa na wakati wamenyanyaswa sana kwenye kipindi hiki cha miaka Mitano, kwenye hili Lissu kapiga mulemule, hakuna ambayo hajui kuwa awamu ya tano imeharibu sana kwenye uchumi, kilimo na diplomasia, kwenye haya tena Lissu kapiga mulemule.
Alipomaliza Lissu ni pale alipoelezea kwa jinsi gani suala la kuonea watu na kukiuka katiba limekuwa linaumiza watu na hapa tena Lissu amepiga mulemule.
Mwisho kuonesha jinsi gani amekomaa, pamoja na kupigwa risasi 16 amesema amesamehe na hatolipa kisasa. Hapa Lissu kawa sawa na Mandela aliyewasamehe makabulu na Papa John Paul 2 aliye msamehe kijana aliyempiga risasi. Lissu ameonesha amekomaa sio tu kiuongozi ila hata kihekima na busara.
Hotuba ya leo ya Lissu imegusia mambo mengi ikiwemo kurekebisha mfumo wa sheria na vyombo vya ulinzi na usalama ili vifanye kazi kwa weredi. Lissu kusema kweli kumaliza yote.
Ukweli lazima tuseme , Ingawa vyombo vya Habari vya Tanzania ikiwemo Azam , ITV na vingine vikubwa kuogopa hata kurusha Habari ya Lissu kutangaza nia leo. Ila hotuba yale imesikika na imewasisimua watu wengi nikiwemo mie. CCM wametumia mbinu ya kuvitisha vyombo hivi kwa makusudi ila Naona nguvu ya Lissu ni kubwa sana kuliko hujuma dhidi yake.
Itoshe kusema Lissu amethibitisha kuwa anatosha akiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020
Kura yangu anayo akipitishwa na Chadema.
Ushauri kwa Chadema. Isambazeni video ya leo ya Lissu kwenye mitandao mbalimbali kuanzia Insta, Facebook, Twitter na Whatsup’ watu wengi waione maana mkitegemea vyombo vya Habari vya Tanzania vilivyobanw na Ccm mtapoteza.
Jioni Njema!
kwa kweli hata mimi kura yangu kwa lissu tumeonewa sana na kuharibiwa kabisa mfumo wa bunge mahakama na kila idara kumserve mtu badala ya Taifa
Bado upo?Wote wameambiwa hauna kutangaza mgombea wa upinzani
Mkuu yaani umepiga penyewe sina lakuongeza ngoja waje wanasaccos ya Chadema watoe mapovu ya Omo ya kutosha.Na: Generose Nsanzugwako, Dodoma
Juni 8, 2020
Leo Tundu Lissu amehutubia kile alichoita hotuba kwa watanzania kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kuchukua fomu ya kugombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA.
Kwanza nimpongeze kwa kuchukua maamuzi hayo maana ni haki na demokrasia yake japo uraisi wake ni wa mitandaoni kuanzia kutangaza nia, kuandika barua uenda hata kuchukua na kurudisha fomu.
Lakini hapa nitajikita katika vipaumbele alivyotoa katika hotuba yake iwapo itatokea akachuguliwa kuwa Rais wa nchi ya Tanzania.
Kipaumbele chake cha kwanza ni kuwa akiwa Raisi hatojificha Singida COVID-19 ikitokea. Sasa hiki ni kipaumbele au utopolo. Akili yake kwa kuwa haiko sawa anaomba Tanzania iathirike na corona atangaze vifo na wagonjwa. Hii ni akili ya mfa maji.
Kipaumbele chake cha pili ni kuwa hatolipiza kisasi akichaguliwa kuwa raisi kwa waliompiga. Hiki ndo kichekesho kwa sababu mpaka sasa a ajua waliompiga risasi ndo maana alimficha dereva wake ili asitoboe siri. Ndo maana Jeshi ya polisi linamsubiri yeye kama mhusika namba moja na dereva wake ili uchunguzi wa kesi yake ukamilike.
Kipaumbele cha tatu ni kuwa atafanya kila liwezekanalo kukuza uchumi wa nchi. Sijui ana tatizo gani au kwa kuwa akili yake kwa sasa ni mbovu. Tangu lini Lissu akawa na akili ya kukuza uchumi wa nchi wakati yeye na Zitto walikuwa makuwadi ya kampuni ya Acacia wakilipwa mabilioni ya hela ili kuhakikisha nchi inaibiwa madini. Lissu huyu huyu amelipwa pesa kuzunguka nchi za ulaya ili kupinga juhudi za Raisi Magufuli za kuibiwa madini. Sasa Lissu rudi uone kama Acacia kama bado ipo na upate takwimu za madini kwa sasa.
Ajenda yake ya nne ambayo hakuiongelea sana ni ushoga. Ikumbukwe Lissu, Maria Sarungi na Fatume Karume ni wafuasi wa ushoga na wameutetea sana kipindi cha nyuma. Anaidai akiwa Raisi ushoga utahalalishwa kama haki ya binadamu. Hili tu linatosha kukunyima kura kwa sababu taifa hili sio la mashoga bali watu wa Mungu.
Lissu ameshindwa kuelewa kuwa Uraisi ni taasisi inayohitaji mtu makini, asiyepayuka na ambaye akili yake ni timamu.
Lissu unahitaji kuelewa kuwa watanzania wanahitaji kusikia vituo vingapi vya afya vimejengwa.
Watanzania wanahitaji kusikia kuwa wana madawa ya kutosha mahospitalini.
Watanzania wanahitaji kusikia watoto wakisoma bure shule ya msingi na sekondari na walimu wakilipwa stahiki zao.
Watanzania wanahitaji kusikia wakipata maji salama kwa afya zao.
Watanzania wanahitaji kusikia wakitengenezewa miundo mbinu ya barabara, majini na angani ili kusafiri na kusafirisha bidhaa zao.
Watanzania wahitaji kusikia wakiwashiwa umeme vijijini kwao tena kwa bei rahisi.
Watanzania wanahitaji kusikia wakifaidi matunda ya rasilimali zao za madini.
Watanzania wanahitaji kusikia vibaraka vya mabeberu kama Lissu, Zitto na wengineo mnafishwa mahakama kujibu tuhuma za uchochezi na uaini.
Hayo na mengine niliyotaja hapo juu ukirudi Tanzania ndo utakuta watanzania walishayapata kwa serikali ya awamu ya tano.
Sanasana utakachovuna ni hela ya mabeberu ya kufanyia kampeni ambayo mmeivuna. Hii hela itamsaidia sana baada ya kampeini kwani hatokuwa na chanzo cha mapato na bado anahitaji matibabu ya akili.
Mwisho nikukaribishe nchini ushindane na watu wenye akili ili ugalagazwe uamini kuwa uraisi sio wa kukurupikia bali ni mkakati
Na: Generose Nsanzugwako, Dodoma

Wewe ndiyo upoloto kabisaKweli wewe Fungo!
Umeandika nini au umechambua jambo gani? Kweli maneno ya Polepole alipokuwa timamu ni halisi.
View attachment 1472334
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.Na: Generose Nsanzugwako, Dodoma

Acha porojoNilionya na ninaendelea kuonya. Huyu asipodhibitiwa anaweza kusababisha machafuko hapa nchini. Inaonesha wazi mabeberu wanataka kumtumia kuhujumu amani yetu.
Kuhujumu amani yetu??? Yaani mnadhidi kujiaibisha kuwa hakuwezi kushindana kwa hoja bali kwa mabavu na Mtutu wa bunduki. Siku si nyingi watanzania watawachoka na kusema liwalo na liwe. Shauri yenuNilionya na ninaendelea kuonya. Huyu asipodhibitiwa anaweza kusababisha machafuko hapa nchini. Inaonesha wazi mabeberu wanataka kumtumia kuhujumu amani yetu.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.Wasalaam, Makamanda,
Kwa Jinsi ninavyoona Tundu Lissu atashinda Uchaguzi Mkuu 2020.
Hujaweka namba ya simuNa: Generose Nsanzugwako, Dodoma
Juni 8, 2020
Leo Tundu Lissu amehutubia kile alichoita hotuba kwa watanzania kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kuchukua fomu ya kugombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA.
Kwanza nimpongeze kwa kuchukua maamuzi hayo maana ni haki na demokrasia yake japo uraisi wake ni wa mitandaoni kuanzia kutangaza nia, kuandika barua uenda hata kuchukua na kurudisha fomu.
Lakini hapa nitajikita katika vipaumbele alivyotoa katika hotuba yake iwapo itatokea akachuguliwa kuwa Rais wa nchi ya Tanzania.
Kipaumbele chake cha kwanza ni kuwa akiwa Raisi hatojificha Singida COVID-19 ikitokea. Sasa hiki ni kipaumbele au utopolo. Akili yake kwa kuwa haiko sawa anaomba Tanzania iathirike na corona atangaze vifo na wagonjwa. Hii ni akili ya mfa maji.
Kipaumbele chake cha pili ni kuwa hatolipiza kisasi akichaguliwa kuwa raisi kwa waliompiga. Hiki ndo kichekesho kwa sababu mpaka sasa a ajua waliompiga risasi ndo maana alimficha dereva wake ili asitoboe siri. Ndo maana Jeshi ya polisi linamsubiri yeye kama mhusika namba moja na dereva wake ili uchunguzi wa kesi yake ukamilike.
Kipaumbele cha tatu ni kuwa atafanya kila liwezekanalo kukuza uchumi wa nchi. Sijui ana tatizo gani au kwa kuwa akili yake kwa sasa ni mbovu. Tangu lini Lissu akawa na akili ya kukuza uchumi wa nchi wakati yeye na Zitto walikuwa makuwadi ya kampuni ya Acacia wakilipwa mabilioni ya hela ili kuhakikisha nchi inaibiwa madini. Lissu huyu huyu amelipwa pesa kuzunguka nchi za ulaya ili kupinga juhudi za Raisi Magufuli za kuibiwa madini. Sasa Lissu rudi uone kama Acacia kama bado ipo na upate takwimu za madini kwa sasa.
Ajenda yake ya nne ambayo hakuiongelea sana ni ushoga. Ikumbukwe Lissu, Maria Sarungi na Fatume Karume ni wafuasi wa ushoga na wameutetea sana kipindi cha nyuma. Anaidai akiwa Raisi ushoga utahalalishwa kama haki ya binadamu. Hili tu linatosha kukunyima kura kwa sababu taifa hili sio la mashoga bali watu wa Mungu.
Lissu ameshindwa kuelewa kuwa Uraisi ni taasisi inayohitaji mtu makini, asiyepayuka na ambaye akili yake ni timamu.
Lissu unahitaji kuelewa kuwa watanzania wanahitaji kusikia vituo vingapi vya afya vimejengwa.
Watanzania wanahitaji kusikia kuwa wana madawa ya kutosha mahospitalini.
Watanzania wanahitaji kusikia watoto wakisoma bure shule ya msingi na sekondari na walimu wakilipwa stahiki zao.
Watanzania wanahitaji kusikia wakipata maji salama kwa afya zao.
Watanzania wanahitaji kusikia wakitengenezewa miundo mbinu ya barabara, majini na angani ili kusafiri na kusafirisha bidhaa zao.
Watanzania wahitaji kusikia wakiwashiwa umeme vijijini kwao tena kwa bei rahisi.
Watanzania wanahitaji kusikia wakifaidi matunda ya rasilimali zao za madini.
Watanzania wanahitaji kusikia vibaraka vya mabeberu kama Lissu, Zitto na wengineo mnafishwa mahakama kujibu tuhuma za uchochezi na uaini.
Hayo na mengine niliyotaja hapo juu ukirudi Tanzania ndo utakuta watanzania walishayapata kwa serikali ya awamu ya tano.
Sanasana utakachovuna ni hela ya mabeberu ya kufanyia kampeni ambayo mmeivuna. Hii hela itamsaidia sana baada ya kampeini kwani hatokuwa na chanzo cha mapato na bado anahitaji matibabu ya akili.
Mwisho nikukaribishe nchini ushindane na watu wenye akili ili ugalagazwe uamini kuwa uraisi sio wa kukurupikia bali ni mkakati
Kua na akiba ya maneno mkuuThubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
hata cha chaguzi zilizopita zilikuwa na wawakilishi kutoka majuu huko lakin wapiUzuri huu uchaguzi utafatiliwa kwa karibu Sana na jumuia za kimataifa,namuona Kama Bensouda atamchukua mtu wake akamuhifadhi
Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020.
Lissu ameweza kuelezea kwa kifupi na kueleweka sana hoja zote zilizotikisa kwenye miaka hii Mitano ambazo sio tu Chadema ila hadi CCM na watanzania kwa ujumla zimewagusa sana.
Hakuna ambae hajui kuwa wafanyabiashara wakubwa na wakati wamenyanyaswa sana kwenye kipindi hiki cha miaka Mitano, kwenye hili Lissu kapiga mulemule, hakuna ambayo hajui kuwa awamu ya tano imeharibu sana kwenye uchumi, kilimo na diplomasia, kwenye haya tena Lissu kapiga mulemule.
Alipomaliza Lissu ni pale alipoelezea kwa jinsi gani suala la kuonea watu na kukiuka katiba limekuwa linaumiza watu na hapa tena Lissu amepiga mulemule.
Mwisho kuonesha jinsi gani amekomaa, pamoja na kupigwa risasi 16 amesema amesamehe na hatolipa kisasa. Hapa Lissu kawa sawa na Mandela aliyewasamehe makabulu na Papa John Paul 2 aliye msamehe kijana aliyempiga risasi. Lissu ameonesha amekomaa sio tu kiuongozi ila hata kihekima na busara.
Hotuba ya leo ya Lissu imegusia mambo mengi ikiwemo kurekebisha mfumo wa sheria na vyombo vya ulinzi na usalama ili vifanye kazi kwa weredi. Lissu kusema kweli kumaliza yote.
Ukweli lazima tuseme , Ingawa vyombo vya Habari vya Tanzania ikiwemo Azam , ITV na vingine vikubwa kuogopa hata kurusha Habari ya Lissu kutangaza nia leo. Ila hotuba yale imesikika na imewasisimua watu wengi nikiwemo mie. CCM wametumia mbinu ya kuvitisha vyombo hivi kwa makusudi ila Naona nguvu ya Lissu ni kubwa sana kuliko hujuma dhidi yake.
Itoshe kusema Lissu amethibitisha kuwa anatosha akiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020
Kura yangu anayo akipitishwa na Chadema.
Ushauri kwa Chadema. Isambazeni video ya leo ya Lissu kwenye mitandao mbalimbali kuanzia Insta, Facebook, Twitter na Whatsup’ watu wengi waione maana mkitegemea vyombo vya Habari vya Tanzania vilivyobanw na Ccm mtapoteza.
Jioni Njema!
Huwa sipendi ushabiki wa mapenzi ya mtu. Naweza kupenda CCM ishindwe lakini kumbe hakuna uwezekano. Mpasuko sijui kama upo lakini kama upo ni kwa viongozi. Wale wapiga kura, kwetu vijijini hawajui lolote kiasi cha kuwafanya wawe na hasira hizo. Ukisema wanafahamu mpasuko huo, utakuwa unawapa ufahamu mkubwa sana kinyume na tunavyojifahamu wa-TZ.Ccm Kuna mpasuko hujui tu
Kuna watu watapiga kura za kukomoana subiri uone
Nina uhakika na ninachokwambia
Watu Kule chamani wametulia Kama hawajui kinachoendelea ila kichwani wana lao.
Inasemekana nae Ni mpenzi wa jinsia moja toka anasomaNa: Generose Nsanzugwako, Dodoma
Juni 8, 2020
Leo Tundu Lissu amehutubia kile alichoita hotuba kwa watanzania kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kuchukua fomu ya kugombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA.
Kwanza nimpongeze kwa kuchukua maamuzi hayo maana ni haki na demokrasia yake japo uraisi wake ni wa mitandaoni kuanzia kutangaza nia, kuandika barua uenda hata kuchukua na kurudisha fomu.
Lakini hapa nitajikita katika vipaumbele alivyotoa katika hotuba yake iwapo itatokea akachuguliwa kuwa Rais wa nchi ya Tanzania.
Kipaumbele chake cha kwanza ni kuwa akiwa Raisi hatojificha Singida COVID-19 ikitokea. Sasa hiki ni kipaumbele au utopolo. Akili yake kwa kuwa haiko sawa anaomba Tanzania iathirike na corona atangaze vifo na wagonjwa. Hii ni akili ya mfa maji.
Kipaumbele chake cha pili ni kuwa hatolipiza kisasi akichaguliwa kuwa raisi kwa waliompiga. Hiki ndo kichekesho kwa sababu mpaka sasa a ajua waliompiga risasi ndo maana alimficha dereva wake ili asitoboe siri. Ndo maana Jeshi ya polisi linamsubiri yeye kama mhusika namba moja na dereva wake ili uchunguzi wa kesi yake ukamilike.
Kipaumbele cha tatu ni kuwa atafanya kila liwezekanalo kukuza uchumi wa nchi. Sijui ana tatizo gani au kwa kuwa akili yake kwa sasa ni mbovu. Tangu lini Lissu akawa na akili ya kukuza uchumi wa nchi wakati yeye na Zitto walikuwa makuwadi ya kampuni ya Acacia wakilipwa mabilioni ya hela ili kuhakikisha nchi inaibiwa madini. Lissu huyu huyu amelipwa pesa kuzunguka nchi za ulaya ili kupinga juhudi za Raisi Magufuli za kuibiwa madini. Sasa Lissu rudi uone kama Acacia kama bado ipo na upate takwimu za madini kwa sasa.
Ajenda yake ya nne ambayo hakuiongelea sana ni ushoga. Ikumbukwe Lissu, Maria Sarungi na Fatume Karume ni wafuasi wa ushoga na wameutetea sana kipindi cha nyuma. Anaidai akiwa Raisi ushoga utahalalishwa kama haki ya binadamu. Hili tu linatosha kukunyima kura kwa sababu taifa hili sio la mashoga bali watu wa Mungu.
Lissu ameshindwa kuelewa kuwa Uraisi ni taasisi inayohitaji mtu makini, asiyepayuka na ambaye akili yake ni timamu.
Lissu unahitaji kuelewa kuwa watanzania wanahitaji kusikia vituo vingapi vya afya vimejengwa.
Watanzania wanahitaji kusikia kuwa wana madawa ya kutosha mahospitalini.
Watanzania wanahitaji kusikia watoto wakisoma bure shule ya msingi na sekondari na walimu wakilipwa stahiki zao.
Watanzania wanahitaji kusikia wakipata maji salama kwa afya zao.
Watanzania wanahitaji kusikia wakitengenezewa miundo mbinu ya barabara, majini na angani ili kusafiri na kusafirisha bidhaa zao.
Watanzania wahitaji kusikia wakiwashiwa umeme vijijini kwao tena kwa bei rahisi.
Watanzania wanahitaji kusikia wakifaidi matunda ya rasilimali zao za madini.
Watanzania wanahitaji kusikia vibaraka vya mabeberu kama Lissu, Zitto na wengineo mnafishwa mahakama kujibu tuhuma za uchochezi na uaini.
Hayo na mengine niliyotaja hapo juu ukirudi Tanzania ndo utakuta watanzania walishayapata kwa serikali ya awamu ya tano.
Sanasana utakachovuna ni hela ya mabeberu ya kufanyia kampeni ambayo mmeivuna. Hii hela itamsaidia sana baada ya kampeini kwani hatokuwa na chanzo cha mapato na bado anahitaji matibabu ya akili.
Mwisho nikukaribishe nchini ushindane na watu wenye akili ili ugalagazwe uamini kuwa uraisi sio wa kukurupikia bali ni mkakati
Siyo kama wenzetu wale wanao zidisha mihemko kadri muda unavyo kwendaAnastahili amepanga hoja zake zikapangika