Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Kweli wewe Fungo!
Umeandika nini au umechambua jambo gani? Kweli maneno ya Polepole alipokuwa timamu ni halisi.

Your browser is not able to display this video.
 
 
Mkuu yaani umepiga penyewe sina lakuongeza ngoja waje wanasaccos ya Chadema watoe mapovu ya Omo ya kutosha.
 
Wenye kaz yenu wala hamjifichi kama umeamua kuwa muuliju nan akuzuie?
 
Ila Huyu mtu ameongea sana point
Utawala wa sheria
Mihimili kutokuingiliwa
Uhuru wa mawazo (freedom of speach)
Mahusiano ya kivyama
Uhusiano wa kimataifa )diplomasia)
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
 
Nilionya na ninaendelea kuonya. Huyu asipodhibitiwa anaweza kusababisha machafuko hapa nchini. Inaonesha wazi mabeberu wanataka kumtumia kuhujumu amani yetu.
Acha porojo
 
Nilionya na ninaendelea kuonya. Huyu asipodhibitiwa anaweza kusababisha machafuko hapa nchini. Inaonesha wazi mabeberu wanataka kumtumia kuhujumu amani yetu.
Kuhujumu amani yetu??? Yaani mnadhidi kujiaibisha kuwa hakuwezi kushindana kwa hoja bali kwa mabavu na Mtutu wa bunduki. Siku si nyingi watanzania watawachoka na kusema liwalo na liwe. Shauri yenu
 
Wasalaam, Makamanda,

Kwa Jinsi ninavyoona Tundu Lissu atashinda Uchaguzi Mkuu 2020.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
 
Hujaweka namba ya simu
 
Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.

Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Kua na akiba ya maneno mkuu
 
Uzuri huu uchaguzi utafatiliwa kwa karibu Sana na jumuia za kimataifa,namuona Kama Bensouda atamchukua mtu wake akamuhifadhi
hata cha chaguzi zilizopita zilikuwa na wawakilishi kutoka majuu huko lakin wapi
 
Kuna watu wana akili za matakoni kama lissu humu. Yaan lisu alishindwa ubunge, urais ndo atauweza
 
Hakika hapa Tanzania bado tuna watu wenye uwezo mkubwa wa kujenga na kutetea hoja kama wewe, hongera sana mkuu.
 
Ccm Kuna mpasuko hujui tu
Kuna watu watapiga kura za kukomoana subiri uone
Nina uhakika na ninachokwambia
Watu Kule chamani wametulia Kama hawajui kinachoendelea ila kichwani wana lao.
Huwa sipendi ushabiki wa mapenzi ya mtu. Naweza kupenda CCM ishindwe lakini kumbe hakuna uwezekano. Mpasuko sijui kama upo lakini kama upo ni kwa viongozi. Wale wapiga kura, kwetu vijijini hawajui lolote kiasi cha kuwafanya wawe na hasira hizo. Ukisema wanafahamu mpasuko huo, utakuwa unawapa ufahamu mkubwa sana kinyume na tunavyojifahamu wa-TZ.
 
Inasemekana nae Ni mpenzi wa jinsia moja toka anasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…