Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Kabisa mkuu ili kuthibitisha hilo pitia kwenye nyuzi mbali mbali juu ya hotuba ya mh Lissu.

Leo hii mataga woote wamepangiwa zamu kuhakikisha kuwa wana haribu michango ya members wote wanao changia kuhusu hotuba ya mh Lissu.
Lumuba kunafukuta... ..
 
Si huyu jamaa ndie aliwahi kutoa kauli kwamba Baba wa taifa alikuwa dictator!

Leo amesahau tena anamsifia duh!
 
kwani wewe ungependa Lissu ashinde urais?
 
Mpe Magufuli dakika 20 na Tundu Lissu dakika 20 uone kama nyasi haziwaka moto alafu kuwepo na mdaharo live uone Magufuli kama hamjamkimbiza India.
 
Ccm Kuna mpasuko hujui tu
Kuna watu watapiga kura za kukomoana subiri uone
Nina uhakika na ninachokwambia
Watu Kule chamani wametulia Kama hawajui kinachoendelea ila kichwani wana lao.
Atalazamisha majina yake ndio yapite yaani kuwaamulia wananchi wamchague amtakae,ashaona watz ni ng'ombe za kulimia ataziburuza tu.
 
Mwandishi wa makala hii hajapata huduma ya tendo la ndoa/ngono kwa muda mrefu, ndo maana ana chuki na hasira. Msione Fisi wanacheka kila wakati, wao hupata huduma ya tendo la ndoa/ngono angalau mara 6 kwa siku!
 
Kuna watu wana akili za matakoni kama lissu humu. Yaan lisu alishindwa ubunge, urais ndo atauweza
Kama waliosukumwa kujaribu wanaweza kwann wengine, kinachoongoza ni katiba na sio mtu so yeyeto anaweza
 
Wawaulize Sudan walifanya nini
Kuhujumu amani yetu??? Yaani mnadhidi kujiaibisha kuwa hakuwezi kushindana kwa hoja bali kwa mabavu na Mtutu wa bunduki. Siku si nyingi watanzania watawachoka na kusema liwalo na liwe. Shauri yenu
 
Uchaguzi ungekuwa wa HURU na HAKI mchuano ungekuwa mkali.

Tume ya uchaguzi - sisiemu
Mahakama - sisiemu
Vyombo vya dola - (wakuu wa mikoa/wilaya)makada wa sisiemu
sasa mkuu,kama mnajua uchaguzi hautakuwa huru na wa haki ,kwa nin mnapanga kushiriki?
 
Aje tumfungishe ndoa na kamanda mbowe wapate watoto ndio tuwape Tanzania...

Hoja zake ni dhaifu sana, awamu hii Mh. Rais John Pombe Magufuli atapita kwa asilimia kubwa...
 
sasa mkuu,kama mnajua uchaguzi hautakuwa huru na wa haki ,kwa nin mnapanga kushiriki?
Hizo akili zako ni sawa na za mkulima kumkimbia nyani na kumwacha anafaidi mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…