Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Kushinda ni jambo moja lakini kutangazwa ni suala jingine kabisa.
 
Yeye mwenyewe anajua fika hawezi shinda hata chama chake.
Ni uwendawazimu kuamini eti anaweza shinda.
 
sasa mkuu,kama mnajua uchaguzi hautakuwa huru na wa haki ,kwa nin mnapanga kushiriki?
Ni rahisi sana kushinda kwenye Tume isiyo huru kwa sababu ni rahisi sana umma kusimama upande kupinga uonevu hasa pale uonevu unapovuka mipaka
 
Wawaulize Sudan walifanya nini
Sudan pamoja na usalama wa Taifa kushiriki kwenye hujuma ila mwishoni waliishia kushindwa na kiongozi mpya aliyemtoa Al Bashir aliishia kuuvunja usalama wa Taifa uliokuwa chini ya Bashir. Saivi wana chombo kipya cha usalama wa Taifa.
 
Acheni kutuzuga nyie nimeshaapa sipigi kura kwa Muundo huu wa NEC mpaka kuwe na tume huru.
 
Lissu ni sawa na wanasaccos asiye na uwezo wa kuchambua hoja ni utopolo tu umemzidi

Yaani hapa nilipo ni kama nakuona vile. Hilo sio kosa lako ni karibia la wanaccm wote. Wote mmepoteza uwezo wa kujenga hoja za ushawishi, bali mmebaki kutumia hoja za vitisho na jazba, wakati huo huo mkitegemea vyombo vya dola vibebe hilo ombwe. Kwakuwa ww ni limbukeni fulani, na ww unatumia neno utopolo ili kujifanya unaenda na fashion.
 
Lissu ukipewa paper na Lumumba yote..atawaburuza!! Hata kama paper itatungwa kwa fani yoyote ile jamaa yupo fiti...

Ongopa sana mtu aliyetaka point 7 ama 8 O' level, pale ndipo kilipo kipimo cha akili ya mwanadamu, sio hu udokta wa madesa!!
 
Maelezo memgi hoja 0.
 
Lissu ukipewa paper na Lumumba yote..atawaburuza!! Hata kama paper itatungwa kwa fani yoyote ile jamaa yupo fiti...

Ongopa sana mtu aliyetaka point 7 ama 8 O' level, pale ndipo kilipo kipimo cha akili ya mwanadamu, sio hu udokta wa madesa!!
Ndio mnavyodanganywa na huyo tundu, watu wengi hawafaulu o level sababu nyingi ikiwemo mazingira magumu, kukosa ada kwa wakati, shule kukosa walimu n.k hivyo huo upumbavu wako usiulete hapa.
 
Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.

Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Kwa taarifa yako kuna kitu kikubwa kinaweza kutokea hapa tanzania. kifo cha halali kwa mgombea flani, nakumbuka walimkejeli lowassa wote hawapo leo tukianza na celina kombani, pia freemason aliyetamka kuwa zito auwawe kazikwa yeye na watu wasiozidi 10. Pumbafu
 
Huyu mwandishi hajitambui, kile kilichosemwa na lissu Ni kidogo tu, mwelekeo mzima tutaupata pale akipitishwa na chama chake kugombea urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…