Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

Ukiingia deep zaidi utagundua wayahudi ni tamaduni ya kale iliyoishi katika misingi ya kisheria. Mwanadamu anatofautiana na wanyama pale tu anapokubali kufwata sheria zilizo pamoja. Hichi kitu wazungu wamechukua na wanakitekeleza wakati waafrika na waarabu tumebakia na makando kando ya nje ya wayahudi.
 
Uelewa wako wa sababu iliyopelekea Yesu kuja duniani na matokeo ya kufa na kufufuka kwake ni mdogo sana, completely negligible.

Ushauri wangu ni aidha uyatoe maisha yako kwa Yesu Kristo au uende ukajipatie mabikira 72 kwa Allah.
Mkuu unamuabudu Yesu au Mungu
 
Roho zidanganyazo zimekupata. Nadhani utakuwa umetembelewa na jibril. Uwe makini maana jibril alimkaba muhammad kule mapangoni hadi akarudi kwa Khadija akiomba afunikwe na mablanketi.

Jibril alikuwa anamlazimisha asome kitabu. Alikuwa hajui kama Muhammad alikuwa illiterate? Hicho kitabu ni kipi hasa wakati quran haikuwepo?

Yesu Kristo ndiye Mungu wa milele, muumba wa mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Yesu anakuwa je Mungu Sasa mkuu? Hebu nielimishe mm na baadhi ya watu
 
Nikuelewa vizur sana taikon, ila wakristo wanaoamini kama baba yao pia si wapo? Mfano, messianic jews, hapo vipi mkuu. Ila naona kwetu haipo hii dini
 
Popoma halijui kama Mungu yuko katika nafasi 3 yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu! Hakina uelewa wa Biblia! Pia halijawahi kusoma kwamba "Hapo mwanzo alikuwapo neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu! Na pasipo yeye hakikufanyika kitu kilichofanyika! Kuyaelewa maandika matakatifu ni kazi pevu! Pia mleta mada ni popoma hajui makusudi ya Yesu kuja ulimwenguni katika umwilisho wake!
Kwenye neno 'NENO' weka 'mungu' uone mazingsombwe,sharti upate kizunguzungu
 
Mkuu ulichoeleza ni Kama unaelewa upande mmoja wa shilingi alafu upande mwingine huujui.

Mungu aliumba Imani mwanadamu kupitia Imani akaunda Dini
Akaumba Akili mwanadamu akaunda Elimu
akaumba Uzuri binadamu akaunda urembo
Akaumba Sauti binadamu akaunda Lugha

Huwezi tenganisha Imani na Dini.
Ukristo ni Imani iliyounda Dini ya Ukristo.

Unapofafanua Jambo lazima ulijua Kwa mapana yake.
Sipo hapa kuleta ushabiki au kutetea kundi lolote isipokuwa Ukweli
Ulicholeta wewe hapa ni kucheza tu lugha lakini hakuna ukweli wowote,hata kabla mwanadamu hajaumbwa palikuwa na Lugha iliyokuwa ikitumika kucommunicate kati ya Mungu na Malaika. Hata baada ya Adamu kuumbwa Mungu alicommunicate na Adamu kwa hiyo palikuwa na lugha ya mawasiliano.Kwa hiyo hizo kauli za Mungu aliumba nini mwanadamu akaumba hiki ni kucheza tu na kazi za fasihi hakuna ukweli wowote.

Watu wengi mnashindwa kuulewa Ukristu kwa sababu mnauweka kundi moja na dini. Kwa namna hiyo kamwe Ukristu hauta-make sense kwenu.

Christianity is A RELATIONSHIP sio SET OF RULES ambazo zimejaa Do's and Don'ts.
Dini inaonyesha ni kwa namna gani mwanadamu atafanya kumfikia Mungu... Christianity shows us what GOD did and is Doing to reach us.

Kwa tafsiri hii DINI na Ukristu ni vitu viwili exactly opposite. Ndio mana nasema kuweka Ukristu kwenye kundi moja na DINI kunafanya watu wasielewe UKRISTU ni nini na kwa maana hiyo wasimjue Mungu.

Again narudia tena Few people here understand Christianity and that means few people here has a right to talk confidently about Christianity.
 
Kusema kila kilichopo kwenye biblia ni ukweli ni kutoijua biblia,kutoisoma Wala kujua historia yake
Mimi nimeisoma Biblia vizuri sana.Kama kuna kilichoandikwa na unakibishia leta ushahidi wa kisayansi na kihistoria tuipime.
Yeyote anayeijua Biblia anaujua ukweli huu anayebisha hana analolijua.
 
Hilo fundisho la Trinity unajua liliingia mwaka gani kwenye Ukristo?
Maana usiwe unazungumzia mambo usiyoyaju.
Ni lini mtazamo wa Mungu yupo katika Nafsi tatu uligundulika, na ipi asili ya Dhana hiyo?
Achana na hizo propaganda,mara kadhaa tangu kwenye vitabu vya agano la kale tunaona Mungu akijidhihirisha katika nafsi zaidi ya moja.Sio habari mpya.

Na hata tu baada ya Yesu kuja tumeona mara kadhaa Mungu akijipambanua katika nafsi zaidi ya Moja.

Kwa kuwa huelewi kitu kuhusu Ukristru huwezi kuona.
 
Mungu anaangalia kila resources aliyokupatia😂😂
Mwili, akili, hisia, roho, Mali, n.k.

Ni mtu mjinga pekee anayeweza kufikiri kuwa Mungu anaangalia roho pekee yake.
Mean sauli alimshundwa Goliath sababu ya nn ?
Na Daudi akaenda na manati na shuka tatu Kama za masai na akashidna ...bible ilizungumzia nn hasa.
#labda una biblia yako pekee
Mungu anaangalia kila resources aliyokupatia😂😂
Mwili, akili, hisia, roho, Mali, n.k.

Ni mtu mjinga pekee anayeweza kufikiri kuwa Mungu anaangalia roho pekee yake.
Roho na moyo Ni vitu viwili tofauti .
Naongelea Moyo.... Sauli alichoshindwa kufanya akiwa na Jeshi Daudi kafanya kwa manati ... Resource na akili zipi za kivita ambazo Daudi alimzid sauli
#Unatupiga Chai peupe hv
 
Braza angu alinipa hadithi ya Yacobo na Yusuph nikiwa chalii tukisubiri gemu za Uefa nilimuelewa sana akasema hao ni ndugu na hata hapa unaona wanatofautiana sana ni kwa kuwa wengi hawana uelewa wa hizi dini zetu wamekaririshwa kuchukiana wakati ni ndugu moja...baadae nikafatilia kwenye Biblia nikakuta ni kitu kile kile hata mitume wengi ni wale wale...
Mkuu huyu Heriel amesimulia tu na hajajenga hoja yoyote ya msingi.

Hana rejea yoyote ya msingi zaidi ya masimulizi.

Jamaa ni hodari kuandika na mimi ni mvivu kuandika ningeweza kumpa vyanzo vya dini hizi 2.

Kimsingi Ukristo na Uislam wote ni watoto wa Ibrahim.
1. Ukristo umeanzia kwa Sarah akiwa ni mke mkubwa wa Ibrahim...tokea kwa Isaka

2. Uislam umetikana na Hijiri/Hajira
Huyu alikuwa kijakazi wa Sarah mke wa Ibrahim, Sarah alipoona hazai na siku zinaenda na amekoma kuona siku zake, alimruhusu mume wake Ibrahimu kuzaa na Hijiri akazaliwa Ishmael...uzae wake ndio haswa chimbuko la Uislam.

Note; Ibrahim hakuwa Myahudi bali ni babu wa wayahudi.
 
Ukristo ndiyo uzao wa Uyahudi lakini siyo Uislam! Labda Uislam na Ukatoriki ndiyo uzao wa kitu kingine.
 
Back
Top Bottom