bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Ukiingia deep zaidi utagundua wayahudi ni tamaduni ya kale iliyoishi katika misingi ya kisheria. Mwanadamu anatofautiana na wanyama pale tu anapokubali kufwata sheria zilizo pamoja. Hichi kitu wazungu wamechukua na wanakitekeleza wakati waafrika na waarabu tumebakia na makando kando ya nje ya wayahudi.