Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

Huu Uzi kuna Watu watauchukia sana. Ila kwangu uko poa.
 
Kwanza nikushukuru,,ila kwa hii lugha ya kigeni Kuna waliokariri wengi hawajaelewa ndio maana wanajua Marko,yohana wagalatia nk nk,,na watoto wao Huwafundisha kukariri alifu be te se nk ila hawajui maana yake,,ndio maana muda mwingi husoma Biblia wajue mapungufu yake bila kujua kitabu Chao kina sura ya nge/spider,,sura ya radi,,sura ya buibui,,sura ya kichuguu surat Al maidah =sura ya meza nk nk hizi hawazielewi maana ziko kwa kiarabu na kwa kweli tafsiri huwasumbua sana,,Sasa wakileta ujuaji wao wa kukariri na sisi tuvuke mto tuwape ilimu maana wameyataka wenyewe wakidhani hatujui dini Yao waliocrem
 
Mkuu naomba niongezee kidogo,, Hilo jiwe la Hajar Al Aswad na msikiti wa Al Kaaba vilikuwepo kabla ya kuzaliwa Muhhamad,,na alipozaliwa alienda kusaliwa na kuimbiwa mashairi mazuri ndani ya Al Kaaba,,,Sasa alipokuwa mkubwa Bado alikuwa akisali huko ndani,,Cha kujiuliza alikuwa na hao wengine wakimuabudu Mungu yupi? Hasa kutokana na hao makuresh ndugu zake kuwa pia na ibada ya kusali uchi ndani ya huu msikiti,,,!! Lakini alipotokewa na yule aliemtokea pangoni Hadi akaumwa homa ndipo wakati aliuanzisha uislam na akatumia venue zile zile walizozitumia wasali uchi,,akachukua na siku zao za kufunga Ramadan bila kusahau kulizunguka jiwe la Hajar Al Aswad na kulibusu na kulisujudia,,,Na wakadai eti! Waliokuwa kabla Yao ni majahilia/wajinga,,,bila kusahau kwamba hakuna tofauti Yao na waliowatangulia labda alichoongeza Mohammad ni kwenda kuwapa habari ya uislam majini huko taif na rasmi majini yakawa ndugu ya waislam katika swala na maisha Yao yote ,, Sasa wamejaa nonsense zisizoisha wasijue hata dini Yao zaidi ya kujichosha na ligi wasioiweza ya injili.
 
Nakuonea Huruma
 
Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi.
Hapa unaonesha kuwa hujui uliloliandika!?

Quran3:65-67 inasema hivi

". Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii?

Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui.


Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina."



Hivyo basi uyahudi haukuzaa Uislam bali uislam ulikuwepo kabla ya uyahudi. Wakristo ndio wametoka ndani ya uyahudi.

Uislam ni dini ya kale kuliko dini zote hapa duniani maana ni mfumo wa maisha aliopewa baba yetu ADAM kutoka lwa Mungu. Kwa maana amuabudu Mungu mmoja tu asiye na mshirika.

Mitume yote ilikuja na ujumbe wa uislam ila kilichokuwa kikibadilika ni sheria. Kila umma ulipewa sheria na taratibu zake.


Ama kwamba ulilenga kusema kuwa Ibrahim alikuwa ni myahudi hapo utakuwa umekosea sana. Ibrahim hakuwa myahudi wala mkiristo.








 
Uongo mtupu we jamaa! Uyahudi haukuzaa uislamu hata kidogo uislamu! I
 
Acha ujuaji we mwana chadema!
 
Ukweli
Mkuu hizo dini nilishazifanyia uhakiki tangu nipo Darasa la sita miaka hiyo. Uliza wanaonijua. Hivyo ukiona Jambo naliandika ujue nimeshalipatia Hesabu yake. Wala sina ushabiki Mimi. Ninachoangalia ni ukweli tuu
Mtupu upi? Umeandika uhoro tu ujuaji mwingi hovyo kabisa we
 
Kwa kusoma tu mwenye nazo anatambua wewe ni mtoto wa nani kati ya watoto wawili na anatambua lengo lako ni nini! So utapuuzwa tu.

Amesahau kuwa kuna mtoto anaenda kulibusu jiwe huko uarabuni wakati baba yake anabusu ukuta huko Yerusalem kasahu MUNGU anae muabudu baba yake anaitwa YAHWE yeye ana muabudu mungu mwingine anaitwa Allah
 
Fasihi imemponza ROBERT HERIEL mwamba fasihi alieleta fasihi kwenye mambo ya kiimani mwisho katoka kibati, kakimbia uzi wake mwenyewe.

Rudi kwenye mahusiano na ushauri kwa masingle maza, hizi mambo waachie wajuzi mkuu, utasomewa kisomo uugeuke nyau shauri yako 😁😁
 
Mkuu ROBERT HERIERI.

Ukristo SIYO DINI...NIuhusiana wa mtu Fellowship na Mungu wake.
Na ni followers mfuasi wa Yesu Kristu Mnazareti.
Yani Mimi Kumpenda Ronaldo Haimaanishi kwamba Mimi ni Man U.

UISLAMU ni DINI iliyotengenezwa na Roman Catholic kwa lengo la kuitawala Dunia.

Quran iliandikwa na Majini, Mapepo na MASHETANI, mizimu ya RC.
 
Kama umeamua kuandika ulichokielewa kwa mtazamo wako sawa lakini usilazimishe fikra/Imani za wengine zikubaliane na mawazo yako. Yani mtu akiamini kwamba Yesu ni Mungu basi anakuwa na akili ndogo kuliko za panzi kweli? Umewahi kusoma vizuri biblia inayoaminiwa na wakristo au unaandika hisia zako ? Kama kweli umefanya utafiti kuhusu hili nipe sababu chache kwa nini unasema Yesu sio Mungu ili nijue wapi pa kuanzia kukusaidia
 
Mleta uzi wewe ni shehe unawaza mabikra 72 akhera endelea kukomaa na dini yako kama unaona iko sahihi tutakutana peponi. Ndomana nchi zenu za kiarabu vita haviishii kwasbb ya upuuzi kam huu unaouleta. Huuni ubaguzi wa kidini
 
MUNGU ni mmoja na Dini ni moja ila wajumbe wa MUNGU walibadilika kulingana na zama.. Waislamu wanaamini mitume yote ikiwemo Mosses na Yesu.. Wayahudi walitengeneza dini ambayo haipo kwenye maandiko kwa ajili ya kuweka kinga ya kumkataa Mtume wa Mwisho ambae ni Muhamad.
Soma Biblia nzima kama utagundua dini inaitwa Ukristo au yetu alileta ukiristo.. Wayahudi tu baada ya kumsulubu mtoto wa Maria ndio wakaanzisha vitu vya ajabu
 
Moses alipata maarifa ya kuabudu mungu, kutoka kwa baba mkwe wake huko jeddah,,
Abraham alibatizwa na melkizedek, mtawala wa jerusalem,, melkizedeki ni cheo , "mfalme mtukufu",,
 
Alimaanisha Yakobo na Esau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…