Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nikushukuru,,ila kwa hii lugha ya kigeni Kuna waliokariri wengi hawajaelewa ndio maana wanajua Marko,yohana wagalatia nk nk,,na watoto wao Huwafundisha kukariri alifu be te se nk ila hawajui maana yake,,ndio maana muda mwingi husoma Biblia wajue mapungufu yake bila kujua kitabu Chao kina sura ya nge/spider,,sura ya radi,,sura ya buibui,,sura ya kichuguu surat Al maidah =sura ya meza nk nk hizi hawazielewi maana ziko kwa kiarabu na kwa kweli tafsiri huwasumbua sana,,Sasa wakileta ujuaji wao wa kukariri na sisi tuvuke mto tuwape ilimu maana wameyataka wenyewe wakidhani hatujui dini Yao waliocremLabda itabidi tufike mahali tuanza kuwapa wenzetu Hawa maana ya sura/chapter zao za Quran kama surat Al baqara=Sura ya Ng'ombe,,,
surat Al nisaa = sura ya wanawake,,surat Al jinn = Sura ya majini,,Sural Al namli = Sura ya mchwa/sisimizi nk nyengine zitafuata.
Meanings of 114 Surahs of Quran
List of 114 Surahs of Quran with meaning.
Fatehah-The Opening
Baqarah-The Cow
Aal-e-Imran-The Family of Imran
NisaaThe -Women
MaidahThe -Table spread with Al-Anaam-The Cattle
Al-AraafT-he wall with Elevations
Al-Anfaal-The Spoils of War
Tawbah-The Repentance
Yunus-The Prophet [Jonah]
Hud-The Prophet Hood
Yusouf-The Prophet [Joseph]
Ar-Ra’ad-The Thunder
Ibrahim-The Prophet [Abraham]
Hijr-The Rocky Tract
Nahl-The Bee
Israa-The Journey by Night
Al-Kahf-The Cave
Maryam-Mary (Mother of Issa)
Taha-One of the Names of Prophet Muhammad
Al-Anbiya-The Prophets
Al-Hajj-The Pilgrimage
Al-Muminun-The Believers
Al-Nur-The Light
Al-Farqan-The Criterion
Ash-Shu’ara-The Poets
Al-Naml-The Ant
Al-Qasas-The Narration
Al-Ankabut-The Spider
Al-Rum-The Romans
LuqmanLuqman (A wise Man)
As-Sajdah-The Prostration
Al-Ahzab-The Confederates
Al-SabaSheba- (The Queen)
Al-Fatir-The Originator of Creation
Ya’sin-One of the Names of Prophet Muhammad
As-Saffat-Those Ranged in Ranks
SuadArabicAlphabet
Az-Zamar-The Groups
Al-Mumin-The Forgiver/The Believer
Hamim SajdahIn Detail
Ash-Shura-The Consultations
Al-Aukhruf-The Gold Adornment
Al-Dukhan-The Smoke
Al-Jathiyah-The Kneeling
Al-Ahqaf-The Curved-Sand Hills
Muhammad-The Prophet Muhammad
Al-Fath-The Victory
Al-Hujurat-The Dwellings Q’afArabic Alphabet
Al-Dhariyat-The wind that Scatters
Al-TurT-he Name of Mountain
Al-Najm-The Star
Al-Qamr-The Moon
Ar-Rahman-The Most Gracious
Al-Waqiah-The Event
Al-HadidIron
Al-Mujadila-The Disputation
Al-Hashr-The Gathering
Al-MumtahanaThe Woman to be Examined
As-Saff-The Row or The Rank
Al-JumahFriday
Al-Munafiqun-The Hypocrites
Al-Taghabun-Mutual Loss or Gain
Al-Talaq-The Divorce
Al-Tahrim-The Prohibition
Al-Mulk-Dominion
Al-Qalam-The Pen
Al-Haqqah-The Inevitable
Al-Maarij-The Way of Ascent
Noah-The Prophet Noah
Al-J’nn- The Genie, Demons
Al-Muzammil-The One wrapped in Garment
Al-Mudashir-The One Enveloped
Al-Qiyamah-The Resurrection
Al-Dahr-The Man
Al-Mursalat-Those Sent Forth
Al-Naba-The Great News
Al-Naziat-Those Who Pull Out
Al-Abasa-The Frowned
Al-Takwir-Wound Round and Lost its Light
Al-Infitar-The Cleaving
Al-Mutaffafin-Those Who Deal in Fraud
Al-Inshiqaq-The Splitting Asunder
Al-Bhruj-The Big Stars
Al-Tariq-The Night-Comer
Al-A’la-The Most High
Al-Ghashiya-The Overwhelming
Al-Fajr-The Break of the Day/The Dawn
Al-Balad-The City
Ash-Shams-The Sun
Al-Lail-The Night
Al-Duha-The Forenoon after Sunrise
Al-Inshira-The Opening Forth
Al-T’in-The Fig
Al-Alaq-The Clot
Al-Qadr-The Night of Decree (A blessed night)
Al-Beyinnah-The Clear Evidence
Al-Zilzal-The Earthquake
Al-Aadiyat-Those Who Runs
Al-Qariah-The Striking Hour
Al-Takatur-The Pilling up of Emulous Desire
Al-Asr-The Time
Al-Humazah-The Slanderer
Al-Fil-The Elephant
Al-Qureysh- The Famous Arab Tribe
Alma’un-The Small Kindnesses
Kauthar-A River in Paradise
Al-Kafirun-The Disbelievers
Al-Nasr-The Help
Al-Lahab-The Palm Rope
Al-Ikhlas-The Purity
Al-Falaq-The Day Break
Al-Nas-The People
Islamic Info
Back to top
Mkuu naomba niongezee kidogo,, Hilo jiwe la Hajar Al Aswad na msikiti wa Al Kaaba vilikuwepo kabla ya kuzaliwa Muhhamad,,na alipozaliwa alienda kusaliwa na kuimbiwa mashairi mazuri ndani ya Al Kaaba,,,Sasa alipokuwa mkubwa Bado alikuwa akisali huko ndani,,Cha kujiuliza alikuwa na hao wengine wakimuabudu Mungu yupi? Hasa kutokana na hao makuresh ndugu zake kuwa pia na ibada ya kusali uchi ndani ya huu msikiti,,,!! Lakini alipotokewa na yule aliemtokea pangoni Hadi akaumwa homa ndipo wakati aliuanzisha uislam na akatumia venue zile zile walizozitumia wasali uchi,,akachukua na siku zao za kufunga Ramadan bila kusahau kulizunguka jiwe la Hajar Al Aswad na kulibusu na kulisujudia,,,Na wakadai eti! Waliokuwa kabla Yao ni majahilia/wajinga,,,bila kusahau kwamba hakuna tofauti Yao na waliowatangulia labda alichoongeza Mohammad ni kwenda kuwapa habari ya uislam majini huko taif na rasmi majini yakawa ndugu ya waislam katika swala na maisha Yao yote ,, Sasa wamejaa nonsense zisizoisha wasijue hata dini Yao zaidi ya kujichosha na ligi wasioiweza ya injili.Uislamu imeibuka tu ukiwa na mafundisho yake wenyewe.
Ukristo ni mwendelezo wa dini ya Kiyahudi ndio maana wote wanatumia kitabu cha Biblia na kuamini manabii wake wote.
Baadhi ya mambo mapya ya Uislamu ni pamoja na
1.Kuyashirikisha Majini kwenye dini ya Kiislamua. (hili ni la ajabu zaidi)
2. Kuimba Shahada.
3. Kutufu, yaani ibada ya kulizunguka, kulirushia mawe na kulisujudia Jiwe Jeusi. linaloitwa Aswadi na kuliamini kwamba linasamehe dhambi
4. Kuhiji Maka.
5. Kufunga Ramadhani.
6. Kutawadha kama sehemu ya ibada
7. Kuimba adhana kama sehemu ya Ibada.
8. Mavazi kama sehemu ya ibada.
9. Kuswali, kutwa mara tatu, na aina za kuswali kama kupiga rakaa.
10. Kumswalia mtume Muhammadi
11. Kuswali kugeukia Maka
12. Kuswali kwa Kiarabu tu
13. Ibada ya jengo la Al-Kaaba.
Nk.
Hayo mambo hayakuwepo wakati wa Manabii wa zamani hadi katika Ukristo. Ni mambo yaliyoibuka na Uislamu.
Hakuna ushahidi wa Kihistoria Uyahudi kuzaa Uislamu. Wala Mtoto wa Ibrahim Ishmael kuwa Waarabu.
Watoto wa Ishmaeli waliitwa Waishmaeli na ndio waliomnunua Yusuf toka kwa ndugu zake.
Mwanzo 37:26 Yuda akawaambia ndugu zake, Kwafaa nini kumwua ndugu yetu, na kuificha damu yake?
27 Haya, na tumwuze kwa hawa Waishmaeli, wala mikono yetu isimdhuru, maana yeye ni ndugu yetu, na damu yetu. Ndugu zake wakakubali.
Na Waarabu walijuikana kama Waarabu hivyo hivyo, ni makabila mawili tofauti kabisa.
2 Mambo ya Nyakati 26:7
Mungu akamsaidia juu ya Wafilisti, na juu ya Waarabu waliokaa Gur-baali, na juu ya Wameuni.
(Wayahudi na Wakristo walimkataa Muhammadi kutokana na mafundisho yake yasiyolingana na Manabii wao, kama sivyo basi leo hii qurani ingekuwa sehemu ya Biblia kama Injiri)
Nakuonea HurumaMkuu naomba niongezee kidogo,, Hilo jiwe la Hajar Al Aswad na msikiti wa Al Kaaba vilikuwepo kabla ya kuzaliwa Muhhamad,,na alipozaliwa alienda kusaliwa na kuimbiwa mashairi mazuri ndani ya Al Kaaba,,,Sasa alipokuwa mkubwa Bado alikuwa akisali huko ndani,,Cha kujiuliza alikuwa na hao wengine wakimuabudu Mungu yupi? Hasa kutokana na hao makuresh ndugu zake kuwa pia na ibada ya kusali uchi ndani ya huu msikiti,,,!! Lakini alipotokewa na yule aliemtokea pangoni Hadi akaumwa homa ndipo wakati aliuanzisha uislam na akatumia venue zile zile walizozitumia wasali uchi,,akachukua na siku zao za kufunga Ramadan bila kusahau kulizunguka jiwe la Hajar Al Aswad na kulibusu na kulisujudia,,,Na wakadai eti! Waliokuwa kabla Yao ni majahilia/wajinga,,,bila kusahau kwamba hakuna tofauti Yao na waliowatangulia labda alichoongeza Mohammad ni kwenda kuwapa habari ya uislam majini huko taif na rasmi majini yakawa ndugu ya waislam katika swala na maisha Yao yote ,, Sasa wamejaa nonsense zisizoisha wasijue hata dini Yao zaidi ya kujichosha na ligi wasioiweza ya injili.
Funguka zaidi,,Unaonyesha una huruma sana,,,pia Kuna wakati huruma sio nzuriNakuonea Huruma
Hapa unaonesha kuwa hujui uliloliandika!?Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi.
Uongo mtupu we jamaa! Uyahudi haukuzaa uislamu hata kidogo uislamu! IAnaandika Robert Heriel,
Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi.
Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism).
Ukisema Ukristo ni mtoto mtundu au mkaidi aliyegundua mavumbuzi mengi hautokuwa unakosea. Labda kwa vile ni mtoto wa kwanza. Uislam ni lastborn wa Uyahudi ambao umeendelea kushika baadhi ya Falsafa na principles za baba yake.
Dini ni maadili ambayo yamejengwa kwa msingi wa imani. Kuamini katika miungu, lakini lengo kuu la dini ni ishu ya maadili.
Ukristo na Uislam hauwezi kusimama wenyewe bila kutegemea Uyahudi, hiyo haiwezekaniki kwani huyo ndiye baba yao. Hata hivyo kama utatazama kwa jicho lisilo la makengeza, unaweza kuona bila ya shaka kuwa Ukristo unahangaika kujitegemea wenyewe pasipo kufuata misingi ya baba yake Uyahudi.
Licha ya kuwa lastborn Uislam anaonekana kuwa alimpinga na hamtaki baba yake Myahudi lakini ukiangalia mtazamo na falsafa zake bado zinajikita kwa baba yake. Wakati huo Ukristo yeye kwa vile ni firstborn ambaye kisheria ndiye mrithi kwa nje anaonekana kumkubali baba yake Myahudi lakini kimatendo na kifalsafa anampinga baba yake.
Baada ya watoto kukua wanahama na kwenda kuanzisha miji yao. Ukristo boma/mji wake aliuita KANISA
Uislam boma/mji wake akauita MSIKITI. Wakazaliwa watoto, Ukristo ukazaa Wakristo wakati Uislam ukazaa watoto Waislam ambaye babu yao ni Uyahudi.
Falsafa chache za baba Uyahudi ukilinganisha na watoto wake wawili:
1. Mungu ni mmoja,
Ukristo hauamini katika Mungu mmoja isipokuwa mmoja katika utatu Mtakatifu. Baba, mwana, na roho mtakatifu.
Uislam unaungana na Baba yake Uyahudi kuwa Mungu ni mmoja na wapekee asiye na mshirika. Yaani hakuna cha utatu wala upili. Katika falsafa hii Ukristo unapingana na baba yake huku Uislam ukiungana na Baba yake.
2. Mungu ni mtakatifu/msafi
Ukristo: Mtoto huyu anasema kwa mdomo jambo hilo lakini kivitendo anapingana nalo.
Ukristo huweza kumruhusu hata mtu aliyejinyea asimame madhabahuni, mtu mchafu wa mwili na mavazi.
Ukristo mtu huweza kwenda kanisani akaingia na viatu lakini akifika kwake akavua viatu.
Ukristo umejijenga zaidi katika kanuni ya kusafisha ndani zaidi kuliko nje. Lakini umesahau kuwa uchafu unatokea nje kwenda ndani.
Ukristo unaruhusu mtu kula jambo lolote kwa imani, siyo ajabu Ukristo mtu kula nguruwe au panya au mbwa kwa sababu ni kwa imani.
Uislam: Mtoto huyu anasema mdomoni na kutekeleza kwa vitendo. Falsafa na kanuni hizi amezitoa kwa baba yake aitwaye Uyahudi. Mungu ni msafi/mtakatifu na anataka watu wake wawe watakatifu/wasafi.
Uislam umeiga tabia ya baba yake kugawa vitu visafi na vichafu. Kipi chafaa kula na kipi hakifai. Uislam hauwezi kula uchafu.
3. Ndoa na mahusiano.
Ukristo: Mtoto huyu amemuasi baba yake dhahiri shahiri. Uyahudi kuna sheria ya talaka lakini Ukristo kaamua kuiweka kapuni. Hii inafanya watu wawe watumwa kwenye mahusiano yasiyo na tija.
Ikiwa siyo lazima kuwa na mahusiano na Mungu iweje iwe lazima ukioa mke au kuolewa na mume muishi maisha yote? Ndoa ni mkataba wa hiyari kwasababu unahusu upendo. Upendo ni hiyari, kama watu watapishana waachane. Uyahudi unaeleza hivyo, Ukristo hautaki.
Ukristo huyu mtoto kapingana na baba yake. Uyahudi haukatazi mtu kuoa wake wengi, unaruhusu ndiyo maana kunasheria zinazohusu mtu atakayetaka kuoa wake wengi.
Ukristo hautaki na umepinga jambo hilo.
Uislam: Mtoto huyu licha ya kuonekana kama muasi kwa babaye lakini bado anatumia kanuni zilezile za baba yake.
Mtoto huyu anaruhusu Talaka kama kuna mambo yanaenda ndivyo alivyo. Pia mtoto huyu anaruhusu wake wengi ingawaje ameweka kikomo kuwa ni wake wanne.
4. Mavazi
Ukristo: Mtoto huyu anatumia u-firstborn wake vibaya. Ukristo unaruhusu mtu avae atakavyo kwani Mungu haangalii mavazi, anaangalia moyo wa mtu.
Siyo ajabu wafuasi wa Ukristo kuwaona wakivaa nguo zisizo na stara.
Hii ni tofauti na baba yake Uyahudi ambaye alikuwa na sheria za mavazi na kusisitiza watu wavae kwa adabu hasa wanawake wajistiri kutokana na maumbile yao kuwa na ushawishi.
Uislam: Mtoto huyu mwenye madeko ambaye yeye kila kitu lazima aone anaonewa, yeye anaungana na baba yake katika hilo. Uislam unazingatia maadili ya mavazi. Wafuasi wa mtoto huyo wamekuwa wastaarabu/waungwana sana katika hilo.
5. Mwanaume ndiye kuhani.
Ukristo: Ukristo kadiri siku zinavyoenda unazidi kuonyesha kupuyanga na kutumia urithi wa u-firstborn vibaya kama alivyofanya Esau. Ukristo unaruhusu mtu yeyote kuwa kuhani hata kama ni mwanamke. Wakati baba yake Uyahudi jambo hilo kwake kamwe lisingewezekana.
Nafasi ya mwanaume kwenye Ukristo huchukuliwa kuwa sawa na mwanaume. Wakati mzee Uyahudi hilo kwake lilikuwa ni ushetani.
Uislam: Ni kufuru kubwa kwa mtoto wa kike kusimama madhabahuni kuwahutubia wanaume. Hilo uislam alilichukua kama lilivyo na analitekeleza. Uislam umempa nafasi kubwa mwanaume kama ilivyo kwa baba yake Uyahudi.
6. Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa.
Ukristo: Unatanabaisha kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, kupitia kwa Bikra Maria aliyepewa mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu. Hoja hii ndiyo mzizi wa utatu mtakatifu na wengine hufikia hatua ya juu kabisa kufikiri au kusema Yesu ni Mungu, ilhali hilo kamwe hata kwa akili ya panzi haliwezekaniki.
Baba yao Uyahudi kama ungesikika ukisema maneno hayo, basi ilikuwa umeamua kutaka kuuawa kwa kupiga mawe kwani ungekuwa umekufuru na kufanya dhambi kubwa mno.
Uislam: Mtoto huyu yeye anabaki na msimamo wa baba yake kuwa Mungu hajazaa wala hajazaliwa. Na Hilo ni kosa kubwa la kukufuru.
7. Neema
Ukristo: Ukristo huu ndiyo msingi namba moja yaani huwezi tenganisha Ukristo na neema.
Kwamba mtu akifanya kosa basi anastahili kupewa nafasi ya pili, neema pasipo kuhukumiwa.
Wakati baba yake Uyahudi yeye kanuni yake ni haki. Kwamba mtu akikosea basi aadhibiwe, na mtu akipatia basi apewe zawadi yake (thawabu).
Uyahudi ulijikita kwenye mwili na roho. Wakati Ukristo unajikita katika roho pekee. Hii ni kumaanisha kinachopewa neema ni roho sio mwili. Yaani mtu akiomba neema ya msamaha, basi roho yake ndio ipewe second chance lakini mwili uadhibiwe.
Lakini wafuasi wa Ukristo wakalazimisha kuwa mwili na roho vyote vipewe neema😂😂. Huku wakishikilia kanuni isemayo usihukumu usije ukahukumiwa au samehe saba mara sabini. Wakisahau kuwa mwili ndio unafanya makosa wakati huo roho ndiyo hufanya dhambi😂😂. Mwili huadhibiwa na dunia kwa makosa yake wakati huohuo roho huadhibiwa na Mungu kwa dhambi zake.
Uislam: Mtoto huyo yeye kafuatisha kwa kiasi kikubwa kanuni na sheria na falsafa za baba yake. Mwenye makosa aadhibiwe kulingana na makosa yake na vile sheria zisemavyo.
Zingatia, binadamu hawezi kusamehe dhambi isipokuwa Mungu. Ila anasemehe makosa kwa sababu ya mwili ndiyo hufanya makosa na roho ndiyo itendayo dhambi. Kumaanisha, roho ndiyo inamuasi Mungu halafu mwili unamfanyia makosa binadamu mwenzako au kiumbe au mazingira yanayokuzunguka.
8. Hukumu
Ukristo: Mtoto huyu anajieleza kuwa atakayehukumu ulimwengu ni Kristo/Yesu.
Na Yesu ndiye atakuwa mtawala wa kila kitu. Hii ni tofauti na falsafa ya baba mtu Uyahudi. Yeye anajua Mungu ndiye mtawala na ndiye atakayehukumu viumbe vyake kwa haki. Zingatia neno viumbe inamaanisha vinavyoonekana na visivyoonekana. Hata Yesu pia ni kiumbe.
Uislam: Huyu mtoto anaungana na baba yake Uyahudi kwa kusema, hukumu atakayoitoa ni Mungu. Na kila kiumbe atahukumiwa kulingana na yale aliyoyafanya.
9. Urithi na mirathi
Ukristo: Umejikita zaidi katika mambo ya kiroho na kusahau mambo ya kimwili. Ukristo unajikita katika urithi wa Ufalme wa mbinguni pekee. Ilhali baba yake akijikita kwa yote mawili.
Uyahudi ilitoa utaratibu wa namna ya kurithisha mali kwa haki, na namna ya kutoa mirathi endapo mtu atakufa.
Ukristo jambo hilo limeachwa liamuliwe kidunia, hapohapo dunia kwa mujibu wa Ukristo inaongozwa na shetani😂😂. Unaona mambo hayo!
Uislam: Mtoto huyu kamuiga baba yake na kuongeza baadhi ya vitu. Kajikita kiroho na kimwili.
Urithi na mirathi kwa uislam imefafanuliwa namna itakavyogawiwa. Uislam haujaliacha jambo hilo liamuliwe na walimwengu kwani shetani ndiye mlimwengu mwenyewe.
Mpaka hapo sina la ziada, siyo kazi yangu kukuambia kipi chakuamini au kipi ni sahihi na kipi sio sahihi. Nilikuwa naeleza habari za watoto hao wawili wenye wafuasi wengi.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Anaandika Robert Heriel,

Mtupu upi? Umeandika uhoro tu ujuaji mwingi hovyo kabisa weMkuu hizo dini nilishazifanyia uhakiki tangu nipo Darasa la sita miaka hiyo. Uliza wanaonijua. Hivyo ukiona Jambo naliandika ujue nimeshalipatia Hesabu yake. Wala sina ushabiki Mimi. Ninachoangalia ni ukweli tuu
Kwa kusoma tu mwenye nazo anatambua wewe ni mtoto wa nani kati ya watoto wawili na anatambua lengo lako ni nini! So utapuuzwa tu.
Kama umeamua kuandika ulichokielewa kwa mtazamo wako sawa lakini usilazimishe fikra/Imani za wengine zikubaliane na mawazo yako. Yani mtu akiamini kwamba Yesu ni Mungu basi anakuwa na akili ndogo kuliko za panzi kweli? Umewahi kusoma vizuri biblia inayoaminiwa na wakristo au unaandika hisia zako ? Kama kweli umefanya utafiti kuhusu hili nipe sababu chache kwa nini unasema Yesu sio Mungu ili nijue wapi pa kuanzia kukusaidiaUkristo: Unatanabaisha kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, kupitia kwa Bikra Maria aliyepewa mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu. Hoja hii ndiyo mzizi wa utatu mtakatifu na wengine hufikia hatua ya juu kabisa kufikiri au kusema Yesu ni Mungu, ilhali hilo kamwe hata kwa akili ya panzi haliwezekaniki
Amechanganya mafileUongo! Hapo Yakobo na Yusuf ni nani Muislim? Unamaanisha Yusuf yupi?
Mleta uzi wewe ni shehe unawaza mabikra 72 akhera endelea kukomaa na dini yako kama unaona iko sahihi tutakutana peponi. Ndomana nchi zenu za kiarabu vita haviishii kwasbb ya upuuzi kam huu unaouleta. Huuni ubaguzi wa kidiniAnaandika Robert Heriel,
Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi.
Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism).
Ukisema Ukristo ni mtoto mtundu au mkaidi aliyegundua mavumbuzi mengi hautokuwa unakosea. Labda kwa vile ni mtoto wa kwanza. Uislam ni lastborn wa Uyahudi ambao umeendelea kushika baadhi ya Falsafa na principles za baba yake.
Dini ni maadili ambayo yamejengwa kwa msingi wa imani. Kuamini katika miungu, lakini lengo kuu la dini ni ishu ya maadili.
Ukristo na Uislam hauwezi kusimama wenyewe bila kutegemea Uyahudi, hiyo haiwezekaniki kwani huyo ndiye baba yao. Hata hivyo kama utatazama kwa jicho lisilo la makengeza, unaweza kuona bila ya shaka kuwa Ukristo unahangaika kujitegemea wenyewe pasipo kufuata misingi ya baba yake Uyahudi.
Licha ya kuwa lastborn Uislam anaonekana kuwa alimpinga na hamtaki baba yake Myahudi lakini ukiangalia mtazamo na falsafa zake bado zinajikita kwa baba yake. Wakati huo Ukristo yeye kwa vile ni firstborn ambaye kisheria ndiye mrithi kwa nje anaonekana kumkubali baba yake Myahudi lakini kimatendo na kifalsafa anampinga baba yake.
Baada ya watoto kukua wanahama na kwenda kuanzisha miji yao. Ukristo boma/mji wake aliuita KANISA
Uislam boma/mji wake akauita MSIKITI. Wakazaliwa watoto, Ukristo ukazaa Wakristo wakati Uislam ukazaa watoto Waislam ambaye babu yao ni Uyahudi.
Falsafa chache za baba Uyahudi ukilinganisha na watoto wake wawili:
1. Mungu ni mmoja,
Ukristo hauamini katika Mungu mmoja isipokuwa mmoja katika utatu Mtakatifu. Baba, mwana, na roho mtakatifu.
Uislam unaungana na Baba yake Uyahudi kuwa Mungu ni mmoja na wapekee asiye na mshirika. Yaani hakuna cha utatu wala upili. Katika falsafa hii Ukristo unapingana na baba yake huku Uislam ukiungana na Baba yake.
2. Mungu ni mtakatifu/msafi
Ukristo: Mtoto huyu anasema kwa mdomo jambo hilo lakini kivitendo anapingana nalo.
Ukristo huweza kumruhusu hata mtu aliyejinyea asimame madhabahuni, mtu mchafu wa mwili na mavazi.
Ukristo mtu huweza kwenda kanisani akaingia na viatu lakini akifika kwake akavua viatu.
Ukristo umejijenga zaidi katika kanuni ya kusafisha ndani zaidi kuliko nje. Lakini umesahau kuwa uchafu unatokea nje kwenda ndani.
Ukristo unaruhusu mtu kula jambo lolote kwa imani, siyo ajabu Ukristo mtu kula nguruwe au panya au mbwa kwa sababu ni kwa imani.
Uislam: Mtoto huyu anasema mdomoni na kutekeleza kwa vitendo. Falsafa na kanuni hizi amezitoa kwa baba yake aitwaye Uyahudi. Mungu ni msafi/mtakatifu na anataka watu wake wawe watakatifu/wasafi.
Uislam umeiga tabia ya baba yake kugawa vitu visafi na vichafu. Kipi chafaa kula na kipi hakifai. Uislam hauwezi kula uchafu.
3. Ndoa na mahusiano.
Ukristo: Mtoto huyu amemuasi baba yake dhahiri shahiri. Uyahudi kuna sheria ya talaka lakini Ukristo kaamua kuiweka kapuni. Hii inafanya watu wawe watumwa kwenye mahusiano yasiyo na tija.
Ikiwa siyo lazima kuwa na mahusiano na Mungu iweje iwe lazima ukioa mke au kuolewa na mume muishi maisha yote? Ndoa ni mkataba wa hiyari kwasababu unahusu upendo. Upendo ni hiyari, kama watu watapishana waachane. Uyahudi unaeleza hivyo, Ukristo hautaki.
Ukristo huyu mtoto kapingana na baba yake. Uyahudi haukatazi mtu kuoa wake wengi, unaruhusu ndiyo maana kunasheria zinazohusu mtu atakayetaka kuoa wake wengi.
Ukristo hautaki na umepinga jambo hilo.
Uislam: Mtoto huyu licha ya kuonekana kama muasi kwa babaye lakini bado anatumia kanuni zilezile za baba yake.
Mtoto huyu anaruhusu Talaka kama kuna mambo yanaenda ndivyo alivyo. Pia mtoto huyu anaruhusu wake wengi ingawaje ameweka kikomo kuwa ni wake wanne.
4. Mavazi
Ukristo: Mtoto huyu anatumia u-firstborn wake vibaya. Ukristo unaruhusu mtu avae atakavyo kwani Mungu haangalii mavazi, anaangalia moyo wa mtu.
Siyo ajabu wafuasi wa Ukristo kuwaona wakivaa nguo zisizo na stara.
Hii ni tofauti na baba yake Uyahudi ambaye alikuwa na sheria za mavazi na kusisitiza watu wavae kwa adabu hasa wanawake wajistiri kutokana na maumbile yao kuwa na ushawishi.
Uislam: Mtoto huyu mwenye madeko ambaye yeye kila kitu lazima aone anaonewa, yeye anaungana na baba yake katika hilo. Uislam unazingatia maadili ya mavazi. Wafuasi wa mtoto huyo wamekuwa wastaarabu/waungwana sana katika hilo.
5. Mwanaume ndiye kuhani.
Ukristo: Ukristo kadiri siku zinavyoenda unazidi kuonyesha kupuyanga na kutumia urithi wa u-firstborn vibaya kama alivyofanya Esau. Ukristo unaruhusu mtu yeyote kuwa kuhani hata kama ni mwanamke. Wakati baba yake Uyahudi jambo hilo kwake kamwe lisingewezekana.
Nafasi ya mwanaume kwenye Ukristo huchukuliwa kuwa sawa na mwanaume. Wakati mzee Uyahudi hilo kwake lilikuwa ni ushetani.
Uislam: Ni kufuru kubwa kwa mtoto wa kike kusimama madhabahuni kuwahutubia wanaume. Hilo uislam alilichukua kama lilivyo na analitekeleza. Uislam umempa nafasi kubwa mwanaume kama ilivyo kwa baba yake Uyahudi.
6. Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa.
Ukristo: Unatanabaisha kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, kupitia kwa Bikra Maria aliyepewa mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu. Hoja hii ndiyo mzizi wa utatu mtakatifu na wengine hufikia hatua ya juu kabisa kufikiri au kusema Yesu ni Mungu, ilhali hilo kamwe hata kwa akili ya panzi haliwezekaniki.
Baba yao Uyahudi kama ungesikika ukisema maneno hayo, basi ilikuwa umeamua kutaka kuuawa kwa kupiga mawe kwani ungekuwa umekufuru na kufanya dhambi kubwa mno.
Uislam: Mtoto huyu yeye anabaki na msimamo wa baba yake kuwa Mungu hajazaa wala hajazaliwa. Na Hilo ni kosa kubwa la kukufuru.
7. Neema
Ukristo: Ukristo huu ndiyo msingi namba moja yaani huwezi tenganisha Ukristo na neema.
Kwamba mtu akifanya kosa basi anastahili kupewa nafasi ya pili, neema pasipo kuhukumiwa.
Wakati baba yake Uyahudi yeye kanuni yake ni haki. Kwamba mtu akikosea basi aadhibiwe, na mtu akipatia basi apewe zawadi yake (thawabu).
Uyahudi ulijikita kwenye mwili na roho. Wakati Ukristo unajikita katika roho pekee. Hii ni kumaanisha kinachopewa neema ni roho sio mwili. Yaani mtu akiomba neema ya msamaha, basi roho yake ndio ipewe second chance lakini mwili uadhibiwe.
Lakini wafuasi wa Ukristo wakalazimisha kuwa mwili na roho vyote vipewe neema[emoji23][emoji23]. Huku wakishikilia kanuni isemayo usihukumu usije ukahukumiwa au samehe saba mara sabini. Wakisahau kuwa mwili ndio unafanya makosa wakati huo roho ndiyo hufanya dhambi[emoji23][emoji23]. Mwili huadhibiwa na dunia kwa makosa yake wakati huohuo roho huadhibiwa na Mungu kwa dhambi zake.
Uislam: Mtoto huyo yeye kafuatisha kwa kiasi kikubwa kanuni na sheria na falsafa za baba yake. Mwenye makosa aadhibiwe kulingana na makosa yake na vile sheria zisemavyo.
Zingatia, binadamu hawezi kusamehe dhambi isipokuwa Mungu. Ila anasemehe makosa kwa sababu ya mwili ndiyo hufanya makosa na roho ndiyo itendayo dhambi. Kumaanisha, roho ndiyo inamuasi Mungu halafu mwili unamfanyia makosa binadamu mwenzako au kiumbe au mazingira yanayokuzunguka.
8. Hukumu
Ukristo: Mtoto huyu anajieleza kuwa atakayehukumu ulimwengu ni Kristo/Yesu.
Na Yesu ndiye atakuwa mtawala wa kila kitu. Hii ni tofauti na falsafa ya baba mtu Uyahudi. Yeye anajua Mungu ndiye mtawala na ndiye atakayehukumu viumbe vyake kwa haki. Zingatia neno viumbe inamaanisha vinavyoonekana na visivyoonekana. Hata Yesu pia ni kiumbe.
Uislam: Huyu mtoto anaungana na baba yake Uyahudi kwa kusema, hukumu atakayoitoa ni Mungu. Na kila kiumbe atahukumiwa kulingana na yale aliyoyafanya.
9. Urithi na mirathi
Ukristo: Umejikita zaidi katika mambo ya kiroho na kusahau mambo ya kimwili. Ukristo unajikita katika urithi wa Ufalme wa mbinguni pekee. Ilhali baba yake akijikita kwa yote mawili.
Uyahudi ilitoa utaratibu wa namna ya kurithisha mali kwa haki, na namna ya kutoa mirathi endapo mtu atakufa.
Ukristo jambo hilo limeachwa liamuliwe kidunia, hapohapo dunia kwa mujibu wa Ukristo inaongozwa na shetani[emoji23][emoji23]. Unaona mambo hayo!
Uislam: Mtoto huyu kamuiga baba yake na kuongeza baadhi ya vitu. Kajikita kiroho na kimwili.
Urithi na mirathi kwa uislam imefafanuliwa namna itakavyogawiwa. Uislam haujaliacha jambo hilo liamuliwe na walimwengu kwani shetani ndiye mlimwengu mwenyewe.
Mpaka hapo sina la ziada, siyo kazi yangu kukuambia kipi chakuamini au kipi ni sahihi na kipi sio sahihi. Nilikuwa naeleza habari za watoto hao wawili wenye wafuasi wengi.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Moses alipata maarifa ya kuabudu mungu, kutoka kwa baba mkwe wake huko jeddah,,MUNGU ni mmoja na Dini ni moja ila wajumbe wa MUNGU walibadilika kulingana na zama.. Waislamu wanaamini mitume yote ikiwemo Mosses na Yesu.. Wayahudi walitengeneza dini ambayo haipo kwenye maandiko kwa ajili ya kuweka kinga ya kumkataa Mtume wa Mwisho ambae ni Muhamad.
Soma Biblia nzima kama utagundua dini inaitwa Ukristo au yetu alileta ukiristo.. Wayahudi tu baada ya kumsulubu mtoto wa Maria ndio wakaanzisha vitu vya ajabu
Alimaanisha Yakobo na Esau.Yakobo na Yusuph hawa sio brothers bali ni baba na mwanaye.(Next time msizungumze vitu sensitive wakati wa kusubiri game ya UEFA).
Pengine ulitaka kusema Isaka na Ishmael.Hawa kweli walikuwa watoto wa baba mmoja ingawa mmoja alikuwa ni mtoto wa mke halali na mwingine mtoto wa kijakazi.
Kimsingi ahadi zote ambazo Mungu alimpa Abraham zilikuwa juu ya uzao wake kupitia kwa Isaka lakini ndugu zetu walipokuja baadaye wakatwist kwamba ahadi zote zile zilikuwa ni kwa Ishmael.
Biblia yote kimsingi inazungumzia uzao wa Isaka kisha Yakobo mwanawe. Baada ya hapo story yote ya Israel inatoka na watoto wa Yakobo ambaye alibadilishwa jina na kuitwa ISRAEL na Mungu (Hence the nation ISRAEL)
Kimsingi both can't be true. So kama tukitaka kupata ukweli tutatumia ushahidi wa kihistoria na pengine hata kisayansi kuujua ukweli ni upi. But,the is no need kwa sababu majibu yalishatafutwa na ukweli ushajulikana.
The bible has never been Wrong and hence everything written in there is an ABSOLUTE TRUTH.