Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

Dunia ya sasa inahitaji watu wababe wanao jitegemea,hasa kiuchumi na kijeshi. Congo wametegemea wanajeshi wa msaada leo wanahaha,zelensky alimtegemea Biden leo ana haha…wazungu waliitegemea gas ya Russia baada ya mtifuano wakahaha,richa ya kuwa na uwezo wa kifedha. Leo una chanzo cha nishati ya umeme,hutaki kukisambaza eti unakwepa gharama.

Huko tunako nunua siku yakitokea machafuko basi hata sisi tutahaha,iwe mtifuano wetu na wakenya ama waethiopia wenyewe,tutakatiwa umeme.

Kwahiyo ukiwa na mke aliye mfanyakazi,ikitokea amehamishiwa kigoma nawe upo mbeya utafanyaje siku ukihitaji sex. Utamtokea mke wa jirani akusave?

Au utapaswa kukuza uchumi wako uwe unapanda ndege kumfuata faster.

Ujamaa/upepari wa sasa ni Kujitegemea kwa supply ya vyanzo vya UCHUMI

Mpumbavu uchwara wewe…tengeneza network ya huduma na njia za uchumi maji,umeme na barabara
Kwa nguvu zote.
 
Fundi, Issue ya Ku Outsource ni Muhimu sana kwenye Uchumi, Tatizo ni pale ambapo tunaona Gharama kwenye kutengeneza na kuendeleza vya kwetu lakini hatuoni Gharama za kununua na Service za Ma V8, while kuna cheap cars ambazo zinaweza fanya kazi hiyo hiyo!
 
Nyumba ya Mungu na Hale haya mabwawa yalikwisha kauka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Hebu jaribu ku update ubongo wako.

Usipime distance kutoka Addis Ababa pima kutokea Namanga. Tanzanania wananchi wana vichwa vigumu
 
Una mawazo mgando sana
 
50000 x 600 ni 3,000,000 x 2400 ni 720Bil....nilikosea kidogo..
* 50,000 x 600 = 30,000,000 (Milioni thelathini).
* 3,000,000 x 2400 = 7,200,000,000 (Bilioni saba milioni mia mbili)
 
Nimesoma komenti hapa , nilichoona wanaopinga huu umeme kununuliwa nje wapo sahihi kwa hoja zao zenye mantiki.
 
Kumbe kuimbishwa kote kwamba bwawa la Rugiji likikamilika matatizo ya umeme itakuwa mwisho ilikuwa ni siasa tu!
 
This Gov are not Serous kabisaa huwezi kuwa na maendeleo kama huna ENERGY .ENERGY ndio mpango mzima .Hii nchi ni tajiri kushinda DUBAI lkn viongozi ZEROOOO hawana VISION .DUBAI kauli mbiu yao ni kuwa NOTHING INPOSIBLE huo msamiati washafuta ktk kamusi yao (kusema kitu hakiwezekani hawanaga hilo neno)
 
Nakazia mkuu huyo fundi mchundo wa veta asipokuelewa basi apige magoti
 
SWALI DOGO: Kuna transmission lines (400kv) zilizojengwa toka Iringa kupitia Singida Babati hadi Arusha katika mradi wa East Africa Power Pool; hizo hazitoshi kufikisha umeme kaskazini?
Tena hizi zilijengwa mwaka 1996 na kampuni ya Denmark kama sijakosea jina ilikuwa ikiitwa Danish Rules bila shaka, na pia miaka ya hivi karibuni ulifanyika ujenzi wa njia nyingine tena na kampuni ya kihindi, sasa unajiuliza hizi zilijengwa kwa malengo yapi ambayo kwa sasa yatupasa kuacha kuzitumia njia hizi??
 
Sociology na umeme wapi na wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani umeme uvuke nchi nzima ya Kenya na huku kwetu ni kuutoa morogoro tu
 
The failed state
 
Kuna ufisadi utafanyika hapo. Hela za kununulia umeme zitatiwa mfukoni na Kaskazini watapata umeme wa humu humu ndani.
Nikweli mkuu Tanesco watapeleka Ngunzo za mchongo mpaka mpakani na Transfoma mbovu zitafungwa Ili kuonyeshwa Umeme unatoka Kenya uku pesa zinaingia mifukoni kwa Mafisadi, Na huyu Mama alivyomzito kufatilia Mambo yete atakua ana Safari za kwenda Ulaya na Uarabuni.
 
😂😂😂😂 Nimecheka sana! MKUU usikute anaamini Rais anaakili kupta watanzania wote....
 
Serikali haijasema ina bomoa miundombinu iliyopo itaendelea kutumika!
Lakini walichoangalia kwasasa unafuu wa upatikanaji wa umeme!

Hata hivyo zunguka duniani utaona hata nchi zilizoendelea zinanunua umeme kutoka nje!

Hata marekani nao wananunua umeme kutoka inje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…