Huenda kulikuwa na mgonjwa mwingine amekaa kwenye kiti ndiye aliyewarekodiHuyo aliyerecord video anakesi ya kujibu. Huyo hajui ethics za kazi?
Unapobaini kuna dawa zimeisha muda wake, kama mfanyakazi nenda kwenye uongozi husika. Sasa unakimbilia kuchukua video na kurusha mtandaoni.
Angefanya hivyo mwananchi wa kawaida hapo sawa.
Hili tukio lilikuwa limepangwa kama huyu dada lazima tumkomeshe.Huenda kulikuwa na mgonjwa mwingine amekaa kwenye kiti ndiye aliyewarekodi
Haruhusiwi kivipi kwani aliwaambia, Si wamegombana mbele yake akaamua kurekodi kimya kimya, na inaweza ikawa hata wafanya kazi wenzao! Au kuna mmoja arekodi kwa siriHili tukio lilikuwa limepangwa kama huyu dada lazima tumkomeshe.
Mwananchi wakaida haruhusiwi kuchukua video hospitalini au kwenye taasisi yoyote ya serikali bila idhini ya wahusika. Waliorekodi ni hao hao wafanyakazi.
Kila kazi ina maadili yake ni vyema wafanyakazi wakayamaliza wenyewe ofisini na ikishindikana waende kwenye ngazi husika.
Kashawasimamisha kazi wote wawili! Maana yake wote wapo sahihi na wote wana makosaNasubiri tamko la kiongozi wa hovyo
Huwa mnataka traffic na walimu tu ndiyo warekodiwe wakifanya madudu.
Wanajua wangemuacha wataibua mazito zaidiHii nchi imejaa ujinga na roho mbaya sana.
Kwani mtu wa maabara alifanya kosa gani kukataa kutumia vipimo vilivyo expire hadi asimamishwe kazi?
Kama ni video,je mna uhakika gani alipiga yeye na kusambaza?
Kitendo cha kumsimamisha kazi mtu aliyesimamia haki ni cha kishetani.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Naona uko sensitive na kabila huyo dada Ni mchaga umemuona. Nishasemaga wachaga hawanaga utu. Ukitaka kulijua Ilo ongea na wachaga masikini watakuambia wanavyofanywa huko kwao na December hawaendagi home Mana wataishia kutumwa Kama watoto.binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA
Sema yule dada pis kali sana
Na ndo anastahili adhabu zaidi kwasabbu kafanya hivyo kwa chuki tuMwishoni atayeadhibiwa ni aliye record Video na Kuisambaza
Nimesema mwenye rafudhi ya KIJITA au ukuryaniNaona uko sensitive na kabila huyo dada Ni mchaga umemuona. Nishasemaga wachaga hawanaga utu. Ukitaka kulijua Ilo ongea na wachaga masikini watakuambia wanavyofanywa huko kwao na December hawaendagi home Mana wataishia kutumwa Kama watoto.
Wakurya Ni watu wazuri sema umguse tu Ni sawa na nyuki mkuu. Ila sio kuwa hawana utu,wanao wa kutosha waulize waliowahi kuishi nao.
Mwishoni atayeadhibiwa ni aliye record Video na Kuisambaza
Acha watu waibue maovu, tumechoka kupoteza ndugu na jamaa zetu huko ma hospitalini.Me sitaki kujua nani mwenye tatzo ila yule jomba ni Tackle sana mwanume unakuwa kama unalowekwa bwana
Haya asubiri kupandishwa cheo
Na mie nashangaa hapo.Hii nchi imejaa ujinga na roho mbaya sana.
Kwani mtu wa maabara alifanya kosa gani kukataa kutumia vipimo vilivyo expire hadi asimamishwe kazi?
Kama ni video,je mna uhakika gani alipiga yeye na kusambaza?
Kitendo cha kumsimamisha kazi mtu aliyesimamia haki ni cha kishetani.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wachagaa hawana Utu.Naona uko sensitive na kabila huyo dada Ni mchaga umemuona. Nishasemaga wachaga hawanaga utu. Ukitaka kulijua Ilo ongea na wachaga masikini watakuambia wanavyofanywa huko kwao na December hawaendagi home Mana wataishia kutumwa Kama watoto.
Wakurya Ni watu wazuri sema umguse tu Ni sawa na nyuki mkuu. Ila sio kuwa hawana utu,wanao wa kutosha waulize waliowahi kuishi nao.
Nimesema mwenye rafudhi ya KIJITA au ukuryani
Unaweza ukawa Mnyiramba lakini ukawa na rafudhi ya kisukuma kama Mwigulu
Na ndo anastahili adhabu zaidi kwasabbu kafanya hivyo kwa chuki tu
Labda huyo dada ndio awe incharge wa kituo ila kama sio alinuambia yeye kama nani
makosa tunayo sisi wanaume kukubali watoto wa kiume walelewe na mama zao (single mother) na mama zao wakagoma kuongeza watoto wengine kiasi kwamba hawa watoto wakawa na uwezo mkubwa wa kujitegemea.Sema kale kajamaa kalikomrekodi huyo dada kana usen** fulani hivi na possibly kana personal conflicts na yule dada
Kama alijua vifaa vina shida si angetoa taarifa kwa incharge tu.