Wanarudi wote, na wanapangiwa vituo tofauti!Mimi sio muhusika lakn yule dada kosa lake n lipi wakati yeye sio incharge
Anyway tusubiri tuone yup atakaye rud kazin🤔🤚
Niwatetee kuna ndugu yangu paleMazembe kazini mnateteana.
Na amesem bohar kuu Mdrt zipo za kutosha kwa hyo hapo lazm uumize akili kujua kunani hapo kati katiWanarudi wote, na wanapangiwa vituo tofauti!
Waziri tayali kashakanusha Wakati hata uchunguzi bado!
HAKUNA KIFAA KILICHOISHA MUDA WAKE NCHI NZIMA
Huyo INCHARGE pia achunguzwe.Niwatetee kuna ndugu yangu pale
Huyo aliyerekod kwann asiende kwa incharge wa zam amrecord kama alivyofanya kwa huyo dada
Halafu kumbuka watu wanakundi kubwa sana lipo nyum yao linawategemeana kuwekeana dosar HAIFAI
Acha undezi,kupija ndo kufanyaje?.Mother tongue usilete kwenye kiswahili.hata huyo aliyerekodi iwe ni mafanyakazi au mgomjwa kupija picha au kuchukua video hospitalii ninkosa kubwa
Yule nd wakuulizwa maswal yote hayo bhsHuyo INCHARGE pia achunguzwe.
Kama alishatoa hiyo taarifa kwanini aende kumdhalilisha huyo dada? Kwani yeye ni incharge?Labda washatoa! Bora angeenda kuwaomba wagonjwa wanunue vifaa tiba
Umeona kama mimi.Sema yule dada pis kali sana
Baharia kama bahariaUmeona kama mimi.
Unadhani hizo scenarios hazitumiki nchi nzima?Haya unaweza tu ukayasema KAMA VIFAA VILE HAVIJAMUUA MTU WA KARIBU SANA NA WEWE..!! Imejini, vimuuwe mkeo/mumeo/mama yako au baba yako etc..!! Vile vifaa vikitokea kumuuwa wa karibu yako, HUO USENGEFU ULIOUONA HUTAUONA WALLAH NAKUAMBIA..!!
ni kosa kwa sheria gani, na je ni eneo lipi la hospitali hasa linahusu hilo katazo kama lipo?Watu wanajitoa akili kama ilikuwa anania ya kukosoa hakutakiwa kurekodi....kurekodi au kupija picha hospitali ni kosa kubwa sana
Point kubwa sana hii.A) Anaepinga vifaa vilivyoisha visitumike!
Mawazo ya afisa huyu yapo sahihi lakini sehemu pasipo sahihi! Naposema usahihi wake ni sahihi pasipo sahihi namaanisha aliyemwambia (Binti) Je, alikuwa mtu sahihi kufanya maamuzi yoyote ya kubadilisha? Je kulikuwa na mbadala?, Je taarifa za ukomo wa matumizi mganga mkuu wa hospital alikuwa nazo? Je Shifting ya Jana yake siku hiyo walitumia nini? Kwanini havikuondolewa kama vimeisha muda wake? Ukitafta majibu ya hayo unaona kabisa yule afisa alikuwa sahihi lakini pasipo sahihi!
Angeenda kureport kwa mkuu wake wa kituo cha Afya..ambaye ndo mganga mfawidhi wa kituo.Haya unaweza tu ukayasema KAMA VIFAA VILE HAVIJAMUUA MTU WA KARIBU SANA NA WEWE..!! Imejini, vimuuwe mkeo/mumeo/mama yako au baba yako etc..!! Vile vifaa vikitokea kumuuwa wa karibu yako, HUO USENGEFU ULIOUONA HUTAUONA WALLAH NAKUAMBIA..!!
Yeye siyo kazi yake! Unazani wenye kazi yao hawapo au hawajui!Angeenda kureport kwa mkuu wake wa kituo cha Afya..ambaye ndo mganga mfawidhi wa kituo.
Nipo idara ya Afya mkuu,mabishano kama hayo yanafanywa kila siku huku makazini na mwisho mnakubaliana kutumia vipimo vilivyo expire ama msitumie na maisha yanaendelea. Makosa makubwa yapo kwenye kurekod hilo tukio la mabishano na hatimaye kulisambaza mitandaoni.Yeye siyo kazi yake! Unazani wenye kazi yao hawapo au hawajui!
Ndiyo maana wengine wamegoma kuchoma sindano ya uzazi wa mpango na ile ya UVIKO 19 Kwasababu ya ujanja ujanja wa bora liendeNipo idara ya Afya mkuu,mabishano kama hayo yanafanywa kila siku huku makazini na mwisho mnakubaliana kutumia vipimo vilivyo expire ama msitumie na maisha yanaendelea. Makosa makubwa yapo kwenye kurekod hilo tukio la mabishano na hatimaye kulisambaza mitandaoni.
Jibu short and clear, kwa sababu hapo hakuna superior kwa mwenzie ni jibu jepesi tu mimi sifanyi hivyo halafu unaenda kutumia wifi ya bure kuingia insta.Jamaa kaamua kumuharibia tu kwa sababu maoni ya huyo nesi haya wezi kumfanya abadilishe maaumuzi yake kwa vyovyote vile. Angemuambia tu sipimi katoe taarifa kwa mkubwa wako basi.
Kali pale,, sema yule dada ni wakawaida tu sio Mbaya sio mzuri.. kwanza hata Demu wangu hamfikiiSema yule dada pis kali sana
Una demu kwaniHamna pisi
Kali pale,, sema yule dada ni wakawaida tu sio Mbaya sio mzuri.. kwanza hata Demu wangu hamfikii