Kwanini ubalozi haukumchukilia hatua kama mashitaka yao yalikuwa credible?Walalamikaji wanatoka Uingereza, Ujerumani, Nigeria, Ghana na nchi nyingine.
Baadhi ya hao Waingereza waliripoti hayo matukio katika ubalozi wao baada ya kutoroka katika makao ya TB Joshua walipokuwa wanafungiwa/wanafugwa.
✅🙏🙏🙏Mbona kama ushahidi hauna nguvu, mtu yoyote anaweza kuzungumza.
N.B MIMI SI MFUASI WA TB JOSHUA
✅🙏🙏🙏Upuuzi mtupu. Hakuna uchunguzi wowote wala kitu cha maana, ni siasa tu za umiliki wa mali za kanisa kati ya Mke wa TB Joshua na Baraza la Wazamini wa Kanisa kwani mama aliwashinda waliokuwa wanategemea kujichotea manoti ya kanisa baada ya jamaa kufa. Sasa wanapambana kuona namna gani wataliyumbisha kanisa mbele ya jamii.
Hapa hakuna uchunguzi wa maana na huo uchunguzi ni aibu kwa BBC. Uchunguzi ungetakiwa usiwe wa maneno tu bali uwe na ushahidi tosha kama:
1. Taarifa za kidaktati zinazoonesha namna hao waathirika waliathiriwa na Nabii.
2. Case zilizofunguliwa Mahakamani na mashtaka yaliyopelekwa polisi.
3. Namna Balozi za UK,NAMIBIA na nchi nyingine zilipokea malalamiko na kurespond kuhusu malalamiko ya waathiriwa.
4. Picha na vielelezo toka kwa waathirika.
Simtetei TB Joshua kwani naye ni Bunadamu na alikuwa na mapungufu ila hiki walicholeta BBC ni blah blah na hadithi tu, kwanini wasingechunguza na kuja na hizo blah blah muhusika akiwa hai?
Blah blah hizi zinahusu mtu aliyekufa direct asiyejitetea na hazihusu taasisi. Wajunga wasiojitambua wala wenye uwezo wa kufikiria kizazi cha 1990's to 2000's ndio mtashadadia ila kwa mtu mwenye utulivu wa kiakili, hakuna kitu cha maana hapa.
Mkuu,Nimeziona hizo documentaries,
Lakini hakuna mahala ambapo ubalozi wa Uingereza ulialifiwa lakini ukashindwa kumchukulia hatua yungali hai!
Nipe ushahidi wa hilo, msilazishe mambo tu!
Wacha weeeeeeKweli dunia ina mazezeta mengi no wonder hawa manabii feki wanaendelea ku exist, btw sidhani kama umezitazama documentrary zote tatu ama yawezekana ulizitazama tayari ukiwa na majibu yako kichwani. Kondoo mtaendelea kuliwa supu hadi akili ziwakae sawa
Wewe nilishakupuuziaga. Huna ujualo humu duniani. Hilo bichwa limejaa makamasi. Kuargue na wewe ni kupoteza muda na ni bora niargue na mwanangu manka.Umetazama hizo episodes zote tatu za BBC?
Kuna mtu kasema hapo juu eti hii sio uchunguzi, ni ubuyu wa Dada yetu Nifah . Hapa watalishika puuzi Kiranga tu ila mtu mwenye akili timamu hawezi ukubali huu ushuzi.Mtu mzima miaka 12 unafanyiwa ukatili na umetulia tu.
Unaenda sokoni unarudi ndani kufanyiwa ukatili.
Unaenda kanisani unarudi kufanyiwa ukatili.
Unaenda mjini unapita vituo vya polisi kibao unarudi ndani kufanyiwa ukatili.
Huu sio ukatili ni makubaliano.
Hapa mtu anataka Urithi wa Mali tu.
1. Hujajibu swali nililouliza.Wewe nilishakupuuziaga. Huna ujualo humu duniani. Hilo bichwa limejaa makamasi. Kuargue na wewe ni kupoteza muda na ni bora niargue na mwanangu manka.
Inawasaidia mbuzi wengine wastuke wasiwe wapumbavu wa kuliwa na hao matapeli.Hii inawasaidia nini wakati the guy is already dead?
Wanasema za kuambiwa changanya na zako,
Wangekupa kazi hii sister.Aliyekuambia ubuyu wangu hauna uchunguzi nani?
Hivi mnafikiri naandika tu blah blah?
Mngejua!
Ubalozi hauwezi kumchukulia hatua mtu katika nchi nyingine hasa akiwa sio raia wao na katika mambo tata kama hayo yanoyohusu cults. Kuchukuliwa hatua ni kazi ya polisi na mamlaka za Nigeria, TB Joshua alikuwa ameiweka serikali ya Nigeria mfukoni kwake ndio maana hata jengo lake lilipoanguka na kuua mamia ya raia hakuchukuliwa hatua yoyote japo taarifa ya wazi kabisa ilionyesha kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za ujenzi.Kwanini ubalozi haukumchukilia hatua kama mashitaka yao yalikuwa credible?
Waulize wafanyakazi wa ndani wanaofanyiwa hivyo uarabuni kama huwa inakuwa ni makubaliano. Human trafficking, na ubakaji uliochanganyika kwenye cults sio jambo rahisi kwa waathirika kutoka kama unavyofikiri.Mtu mzima miaka 12 unafanyiwa ukatili na umetulia tu.
Unaenda sokoni unarudi ndani kufanyiwa ukatili.
Unaenda kanisani unarudi kufanyiwa ukatili.
Unaenda mjini unapita vituo vya polisi kibao unarudi ndani kufanyiwa ukatili.
Huu sio ukatili ni makubaliano.
Hapa mtu anataka Urithi wa Mali tu.
Baada ya kutipoti kwenye ubalozi wao , ubalozi wao ulichukua hatua gani? Ubalozi wa Uingereza nchini Nigeria ungeweza kuibua kama kulikuwa na uhalifu dhidi ya raia wake at a diplomatic level na hatua stahiki kuchukuliwa.Walalamikaji wanatoka Uingereza, Ujerumani, Nigeria, Ghana na nchi nyingine.
Baadhi ya hao Waingereza waliripoti hayo matukio katika ubalozi wao baada ya kutoroka katika makao ya TB Joshua walipokuwa wanafungiwa/wanafugwa.