Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
hahahahaha
na hao kumi watakuwa ni wale kundi la lema.
Hakuna mtu mwenye utimamu anaweza kukubaliana na huu uzushi wa chadema. Cha kushangaza zaidi sijaona sehemu ambapo walisema waliwapa nafasi ya kuwa sikiliza.
Cc
THE BIG SHOW, Mamndenyi, sixgates, CHAMVIGA.
Mkuu Kitila Mkumbo najua upo jamvini hapa lakini hujachangia uzi wowote karibia wiki sasa. Kama ulihudhuria kikao vipi ilukuwaje haukupewa hata nafasi kujitetea?
Hivi hizi story za waraka na report za siri mtaziacha lini chadema?
Hahahaaaa Ikulu imeandaa tafrija kubwa ya kukupokea Mh.Zitto,mgeni rasmi atakuwa Rais wa JMT akisindikizwa na Juliana Shonza,Mtela Mwampamba...Zitto wewe ni jembe...unauzika popote...karibu sana CCM zitto.....Tunakuhitaji huku......hatuna watu wenye uwezo kama wa kwako
the beginning of the end for chadema