Haah haaa nyie wehu sana.Zito mwenyewe kakubali mpaka kuomba ajiuzuru.Leo unataka nani mwingine.
Naona leo mashabiki w dkt slaa watashinda baa kula kitimoto na bia
Naona malengo ya Lema yametimia.
One thing is for sure.
CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.
Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?
Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.
Instead tunaona yaleyale tu.
Ni kweli Mkuu kila kitu kiwekwe, Mchuzi hulkwa ungali moto!Kurugenzi ya habari ingetuwekea waraka moja kwa moja kwani naamini tayari inao. Hii habarii ya kusema utasambazwa kwenye vyombo vya habari inaleta mashaka. After all, vyombo vya habari vilikuwepo wakati haya maazimio ya kamati kuu yakitolewa kwa hiyo kusingekuwa na sababu ya kusema waraka utasambazwa kwenye vyombo vya habar. Vipi, lini, nk
Asante kwa kunitakia subira. Ila Kwa nini kurugenzi ya habari haikuuweka moja kwa moja?Vyombo vya habari waliokuwa kwenye press conference wamepewa...wewe shida yako nini? uwe na subira bhanaaaa...alaaaaaa
Katumwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!Mimi sio mwanasiasa ila comment yako imenishtua kidogo! Kwanini Mwampamba na Shonza wapokelewe kwa mbwembwe na ccm lakini zitto mwenye ushawishi mkubwa hawataki kumpokea wanataka apiganie haki yake?
na kuhakishia kuwa chadema ni kikundi cha watu na ndio maaana hawa walivyo tuhumiwa walikaa kimya kumbe wao ndio wali watuma.
Chadema waliogopa kuikubali hile report ya siri maana ilikuja vibaya na kumbe walikua wana andaa njia za kuwafukuza watu wanao hoji yafuatayo.
.matumizi ya ruzuku.
.uongozi ndani ya chama.
.kukopeshana ndani ya chama.
.kuvunjwa kwa katiba ya chama.
.chama kuendelea kupangisha ofisi wakati dr slaa alikopa ndani ya chama na akajenga.
Chama hichi cha kina lema na akina kilewo+joshua nassary.
Ebu tuone watamtumia kwa kazi baada kugharimika mamilioni sijue watampika mchuzi wamlie ubwabwa
YametimiaNjoo na habari kamili mbona una haraka sana baba anguu we Kurugenzi ya Habari.
Akili ndogo kachukue buku7...Ya huo waraka tunajua chadema wame utengeneza wenyewe hili kuhakisha zitto na kitila wana fukuzwa.
Chadema amuoni aibu?
Chadema hii dhambi itawatafuna sana.
wachagaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa taarifa tu ni kwamba zito alifika katika kikao hicho usiku wa manane akitokea Sudan ila hawajampa nafasi yeyote ya kujitetea.
Kama Shibuda ivi.hapana ye hayupo makao.labda makao ya Lumumba.cjui nani huyu