meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Kirusi wa chadma ni demokrasia wameshindwa kuishi demokrasia wanashika uchawi watu.
Naona leo mashabiki w dkt slaa watashinda baa kula kitimoto na bia
Hajatukanwa mtu hapo kaambiwa ukweli hakuna tusi hapo...Mkuu ni bora usimjibu mtu kuliko kuandika utumbo kama huu, ninyi ndo mnakiharibu chama kwa matusi na kuwafanya wanachama wenu waonekane wehu. Ukikaa kimya kama huna hoja ni welevu pia.
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
huu waraka ni mrefu sana...ngoja niu-print nijisomee taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu
soma post 566 upo hapo
Mhudumu,ongeza vinywaji kwa kila mtu hapa..! Tuitie na mtu wa jikoni.
hahhaha kumbe waraka wenyewe ndio huo.yani chadema imejifia. hivi nani hawezi kutunga waraka kama huo?huu waraka ni mrefu sana...ngoja niu-print nijisomee taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu
mchawi mkuu kakili mwenyewe kwamba amekuwa akifanya jaribio la kuloga; sasa hapo demokrasia ya CDM inaingiaje?Kirusi wa chadma ni demokrasia wameshindwa kuishi demokrasia wanashika uchawi watu.
Hivi kwa nini hii habari imewasikitisha sana CCM??
Kwahiyo wewe uliyeondoka Chadema ni zuzu?
huu waraka ni mrefu sana...ngoja niu-print nijisomee taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu