chadema kinakufa polepole
Sasa wewe na lissu nani wakudanganywa wewe mpemba?Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh
CHADEMA kinakufa polepole
dah..........yani zitto kimwili ndo alikua nasi CDM kiroho yuko kile chama kingine cha akina sita CCJ
hahhaha kumbe waraka wenyewe ndio huo.yani chadema imejifia. hivi nani hawezi kutunga waraka kama huo?
waraka huu umechomolewa kwenye laptop ya Kitila Nkumbo, alipobanwa akakubali mwenyewe.
Na ndivyo tunavyotaka.....kama vp hamia CCM au kajinyonge kabisa ili usione Mbowe anavyoongoza kwa miaka buku
Mods tusaidieni kuunganisha his updates. Invisible
CCM Lazima huko kusini washinde kwa kishindo wewe ukipewa T-shirt iliyonunuliwa kwa pesa za gesi ambayo ni lazima itoke utalainika tuu naomba umark haya maneno yanguSasa Mbowe na Slaa nyinyi si mnahubiri demokrasia??
Kwanin linapokuja suala la kupokezana vijiti mnakuwa wakali??kwanini??
Demokrasia ya ukweli inaenda na kuachiana madaraka na sio kurefusha wigo wa kukaa madarakani,kwanin hamjifunzi kuwa kama nyerere na mandela??
VYOVYOTE VILE MUWAZIAVYO HAPO JUU MUDA UKIFIKA MTABANDUKA TUH,UKWELI NDIO HUO HATA KAMA NI MCHUNGU,ACHEN PROPAGANDA CHAFU,MNAKUWA KAMA MAFISADI WA CCM??TOFAUTI YENU NA YAO NI IPI SASA??
ILA,SISI TUNAWAAHIDI,KAMA FITNA NA SISI TUNAZIJUA SANA.WAULIZEN CCM WANAKIPATA NINI HUKU KUSINI,WANAJUTA,NA TUTAWAGEUKIA WANASIASA WOTE WENYE MAONO YA ULAFI NA UCHUMIA TUMBO KWA HILA ZA KUTUMIA UMASKIN WA WATANZANIA NA KUJIFANYA WAZALENDO NA WANA DEMOKRASIA,