Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Tundu Lissu anaanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imenasa waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua Chama vipande vipande unaohusisha watu wanne ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana.
unapikwa kabla ya kusambazwa,Tunausubiri ukiifa uleteni, nasi kabla hatujautafuna na kuumeza tutauchambua kama wali uliopikwa kwa mchele wa shinyanga enzi za national Milling!Subiri wewe waraka utasambazwa. Afu mbona kiherehere na chama kisichokuhusu
Huu siyo ushindi wa CHADEMA ni makosa makubwa tukisema hivi huu ni ushindi wa WATANZANIA WOTE WANYONGE
Lakini nani anaweza kuwa kauanda huu waraka wa siri, maana mm hayuko katika kuuandaa zaidi ya kuujua.
Akili za muuandaji vipi? maana kumtafutia mm2 na mm3 million 2 mbili halafu utegemee wa kusaidie kukamilisha jukumu zito na kubwa hivi ni wendawazimu wa aina fulani hivi.
Said arf anasema amemua kujiuzulu umakam mwenyekiti kwa sababu maamuzi na uchaguzi wa viongozi yanafanywa na mtei kutokea tengeru
nipo safarini kidharura muda sio mrefu nitakuwa angani kiasi cha masaa takriban 8 hivi; Zitto alikuwa naibu katibu mkuu? sikulijua hilo; ninavyojua mimi akisafiri mchumba majumu alikuwa naachiwa John Mnyika; mtatengeza kila aina ya hadithi lakini kwa wenye akili timamu wanaujua ukweli; mkuu Ritz nilindie mchumba asijipoteze nitalipia usumbufu wowote utakaojitokeza.
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;
1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.
2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.
3.
Mm,mm1,mm2,mm3.
mkuu kama ulifuatilia vizuri Zito alikili kuhusika na waraka uliomuondoa, hilo silo jambo la kutilia shaka. Amevuna alichopanda.
The rise and fall of zitto kabwe, kuna watu wamemwaga damu kwa ajili ya ukombozi, mizimu yao inakesha nyumbani kwa zitto kabwe, ofisini, katika gari,mpaka kieleweke na haki ionekane
hata mwenye mtindio wa ubongo anajua hila Zitto kuwa ni msaliti