Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
Uwajibikaji...
Hapa ndo penye pont, kumbe walikuwa wameshajua kinachotokea..
Utakufa na Bp wewe,imeundwa tume dogo kumtafuta M2 ili nae achukuliwe hatua elewa kiswahili hatua inachukuliwa akishajulikana,huwezi kipangia chama...nyie kurugenzi habari acheni utoto yani mnadiliki kusema mwingine hajajulikana, ina maana mme mhukumu mtu msiye mjua?
hili tulilijua toka mwanzo na hii dhambi itawatafuna na tunajua kosa la zitto na kitila ni kuhoji matumizi ya ruzuku na posho na uchaguzi ndani ya chama.
Tunaomba mmpe lema au kilewo huo unaibu katibu mkuu.
hapa ndipo pamebeba maana kubwa ya mzozo huu, na kama hili ni kweli na ushahidi upo basi pole dr. Na zzk. Haikufaa kukubali lkn kama ni siasa basii dr. Na zzk hapa ndipo pa kutokea.
Kumbe na wewe wa NKUU SINDE KWETU umechapia tu!! Acha uvivu wa kufikiri is Tundu Lissu a chagga?? Myopic mind..... Mfyuuuuu!! Haya mchukueni Zitto aje CCM sasa
Hivi nataka ninunue mvinyo lita tatu kwa ajili ya kufurahia weekend kuuWeekend hii itakuwa murua.
Kwahiyo hawataki viongozi hao waheshimiwe...
Kurugenzi ya Habari tunaomba kujua wale waliokuwa wanasema hivyo mitandaoni Kama Lema na Kilewo wao adhabu yao nini??Asante sana Kurugenzi ya Habari kwa kazi nzuri ya updates!
Ni kwasababu hujawahi kumjua Kitila ndio maana unaamini uzushi huo.kitila ni level nyingine hata huyo Slaa haingii kabisa hapo.Huu uwongo wa siasa chafu utawashuka soon
Pia Kamati Kuu imeagiza mchakato wa kumvua Zitto nafasi yake ya Unaibu wa Kambi ya Upinzani Bungeni.
HaswaaNataka nijua zito anatumiwaje na Ccm?