Source of Everything hajatengenezwa na kitu, yeye ndo aliyeandika code ya kilakitu hadi jinsi akilinyako inavyofanya kazi, ndo maana unazidi kumtafuta within sehemu unayoweza kuifikiri
ukitaka mlolongo wa moja katengenezwa na mwingine, na mwingine katengenezwa mwingine, huo mlolongo utaenda bila mwisho...
na kama ukienda hadi mwisho kungekua hakuna chochote kwasababu hakuna wa kuanzisha mlolongo huo kwakua kila moja anategemea atengenezwe na mwingine, na mwingine hivyo kungekua hakuna kitu.
nawe nijibu, how did the universe begin ?