Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

Mkuu hii hoja yako ni dhaifu ni imekaa kama excuse ya kukwepa uwajibikaji.
Yaani maneno yako mfano wake ni kama mpo ndani ya nyumba kisha mkasikia sauti ya honi ikilia kutokea nje kisha watu wakaanza kujadili.
Wa kwanza:Hiyo ni gari aina ya Nissan
Wa pili:Hiyo ni gari aina ya Toyota
Wa tatu:Hiyo ni gari aina ya Benz
Wewe:Hakuna gari(swali la kujiuliza kama hakuna gari ile honi imetoka wapi?)
umejuaje honi ni ya gari mkuu? na si pikipiki , bajaji, kifaru, helicopter na vitu vingine.

key note: mmekaa ndani mkasikia --- nje
 
Sasa kama sio gari anatakiwa aseme hiyo sio gari ila ni train badala ya kusema hakuna kabisa.
Umeelewa hoja yangu sasa
kama ni treni au kitu kingine ambacho si gari --- kimsingi anakua sahihi kusema hakuna gari

Gari imeundwa na binadamu.
Binadamu ameumbwa na Mungu kisha akapewa akili japo wengine hutumia vibaya hiyo akili kama nyinyi mnavyoitumia akili yenu kumpinga aliyewaumba.
mkuu maneno kwenye bold yana mgogoro
 
umejuaje honi ni ya gari mkuu? na si pikipiki , bajaji, kifaru, helicopter na vitu vingine.

key note: mmekaa ndani mkasikia --- nje
Sasa anayepinga anatakiwa atoe solution ya kwamba hii sio gari ila ni train na sio kupinga tu kwa kusema hakuna
 
Ulicho kifanya na wewe ni kubadilisha jina tu , ila bado haujathibitisha

Kila kitu kina chanzo hiyo ni special pleading.

Haujathibisha kuwa nguvu ipo wala ulazima wa uwepo wake .
Stephen Hawking ambaye alikua atheist mkubwa sana aliandika swali hili: "What is it that breathes fire into the equations and makes a universe for them to describe?" Alikiri kwamba sayansi halijawahi kulijibu.

sasa kijana wangu Min me ukiwa unaamini hayupo lakini hauwezi kuthibitisha kuwa hayupo HIYO PIA NI IMANI. inaitwa " Faith in Absence"

tukubaliane jambo moja: si kila kitu kinahitaji kuthibitishwa moja kwa moja ili kiwe na mantiki ya kuaminiwa. Sayansi yenyewe mara nyingi huanza na inference (kuhitimisha kutokana na dalili), sio kuona chanzo moja kwa moja.
 
siamini hayupo ni kwamba hayupo , kama hakuna uthibitisho tutajuaje kama yako au ya waumin wa dini yapi ni ya kweli?
 
hatuongekei dini, au mimi hapa siongelei dini ndio maana nilisema atheist na theist wengi wanapenda kuchanganya dini na Mungu hadi kuvuka mipaka kwenye maswali kama haya

theits kiujumla ni imani kwenye uwepo wa Supreme Power ambayo ndo chanzo cha vitu vyote

kwaiyo hapa usiulize kuhusu dini ipi ni sahihi maana hakuna iliyo sahihi 100% zote ni njia tu za kibinadamu ku conect na Nguvu hiyo iliyo chanzo cha kila kitu ambavyo sasa kila dini ina taratibu zake

kwaiyo huu mjadala ningependa uwe kwenye muelekeo wa Atheist na Theist na sio kuingia kwenye mambo ya dini
 
Wote tuwaweke kapu moja tu , haya thibitisha uwepo wa Mungu(supreme power)
 
  • Thanks
Reactions: Lax
safi mimi kama Ignosticism nimekubali hoja yako ya kuanza kuelezea kuhusu Hoja hizi kwa kueleea maana ya Mungu...
swali hiyo nguvu yenyeww ilitoka wapi?
Sasa doctor mimi nyuma ya Big bang kulikua na nini, na nyuma ya hicho na nyuma, hili swali litaenda hadi infinity

na kama mlokongo ni huo kwamba kila kitu kina kitu cha nyuma yake, na kitu nyuma yake to infinity.

Maana yake kusingekua na kitu kwasababu hakuna kitu cha kuanzisha hiyo loop kwasababu na chenyewe kinategemea kuanzishwa ( ulimwengu ulimwengu usingekia na kitu )

Je big bang ilianzaje ? na kwanini tupo ?

kwa wanaoamini uwepo wa Supreme Power, hili swali linajibika ...
 
kila mtu ana starting point aliyeikubali --- wenye nafuu ni wanaosema ipo hivyo tulivyoikuta
 
Baden of prove, mzigo wa kuthibitisha upo kwako

Kwa nini tusiwaze kua hakuna chanzo cha ulimwengu upo hivyo tu?
no mzigo wa kuthibitisha haupo kwangu pekeyangu. na atheist ndipo mnapenda kukimbilia ipo hivi: wewe kama hauna uwezo wa kuthibitisha hayupo lakini unasema hayupo hiyo ni imani inaitwa " Faith in Absence"

ambacho nitakuelewa kwasasa ni ukisema hauna uhakika kama yupo au hayupo kwasababu hujathibitisha kuwa hayupo. (Vinginevyo unaamini hayupo. Faith in Absence)

Mimi theist naamini kutokana na dalili ambazo tayari zipo kwenye ulimwengu
 
Madai ya uwepo wa Mungu umeyatoa wewe , mfano wewe umenishataki kuwa nimeiba unapaswa kuweka ushahidi wa wazi kabisa wa kuaonyeaha kuwa nimeiba.

Sitaki kuamini nataka kujua, kwanini napaswa kuamini?
 
wewe mwenyewe ulipo unaamini kua hayupo

Je unauhakika na unajua kua Mungu hayupo au unahisi ?

mtu akisema "usiku kuna Mbalamwezi" na wewe upo ndani sehemu ambayo huwezi kuona na anayekwambia ameshindwa kukutoa nje ukaione

je utakua unauhakika kua haipo au unaamini tu kua inaweza kuwepo au isiwepo.

ndo maana nakuuliza swali langu, kama mimi naamini yupo Je wewe unaesema hayupo una uhakika na uthibitisho kuwa hayupo au na wewe unaamini hayupo ?
 
Nataka kujua kama yupo sitaki kuamini , hayupo kama yupo thibitisha kipi kiarabu hapo?
 
Sasa doctor mimi nyuma ya Big bang kulikua na nini, na nyuma ya hicho na nyuma, hili swali litaenda hadi infinity

na kama mlokongo ni huo kwamba kila kitu kina kitu cha nyuma yake, na kitu nyuma yake to infinity.

Maana yake kusingekua na kitu kwasababu hakuna kitu cha kuanzisha hiyo loop kwasababu na chenyewe kinategemea kuanzishwa ( ulimwengu ulimwengu usingekia na kitu )

Je big bang ilianzaje ? na kwanini tupo ?

kwa wanaoamini uwepo wa Supreme Power, hili swali linajibika ...
Hahahahahaha
umenikumbusha mbali sana kipindi nasoma Theology na kipindi nikiwa mwanatheolojia... kuna dhana moja inaitwa "God of the gaps" unaijua hii dhana? yaani ni kuamini kama unavyoamini wewe kwamba kwa kuna infinity cycle basi kuna filler of the gap cycle ambaye lazima awe ni mkubwa kuliko wote...katika moja ya logical fallcy kubwa ni hiyo sasa..kwamba lazima kuwe kuna devine intervation kwa mambo yote ambayo ubongo wetu umeshindwa kuyatatua..tunashindwa kuchosha ubongo...
ukimaliza kusoma God of the Gaps nenda katafakari kwa kusoma theory of desire yaani tusiamini kwenye vile tunavyohisi sisi ni sawa basi tunaamini mimi hata science siiamini kwa 100%

mimi huwa ninasemsa kila siku " Argumentum ad Ignorantiam" yaani Argument from Ignorance Hii ni kosa la kimantiki (logical fallacy) yaani Kwa sababu hatujui chanzo cha jambo hili, basi lazima chanzo chake kiwe fulani..

vipi kuhusu Big bangs

BIg bangs kwa mujibu wa science ndiyo chanzo cha universe chanzo cha Space ndo chance cha time so ni chanzo cha Time and space kwahyo hakukuwa na kabla endapo hakukuwa na space wala time..
when the singularity was there muda ulikuwa hauhesabiki hakukuwa na time wala hakukuwa na universe hakukuwa na chochote its just a singularity hakuna kabl;a hakuna zaidi ya baada..

na ushsahidi wa kisayansi wa Bigbang upo kasome kuhusu Redshift na Cosmic Microwave Background (CMB)....
na kwakuendelea kujibu swali lako The bigbang theory....
ina theory 3 maarufu kazisome zimeelezea vizuri sana nilichokieleza hapo juu..

1. Niliposema Muda haukuwepo katafute ( The "North Pole" Analogy)
2.Tafuta theory nyingine ("The Big Bounce")
3.Multiverse and the cosmic inflation theory of the bigbang

shukrani
 
Back
Top Bottom