Sasa nikuulize boss, vitisho na ahadi vinavyotumika vimebase kwenye faith au logic?Udhaifu upo kwa watu wa imani hakuna Atheist hata mmoja anahubiri imani kwenye logic ila kuna maelfu na makumi elfu ya theist wanahubiri imani kama logic , wanatumia vitisho na ahadi ili kupumbaza wanaotaka kuhoji
Source of Everything hajatengenezwa na kitu, yeye ndo aliyeandika code ya kilakitu hadi jinsi akilinyako inavyofanya kazi, ndo maana unazidi kumtafuta within sehemu unayoweza kuifikiriTusiende mbali sana sana yeye Mungu unaemdai katengezwa na nani?
Special pleadingSource of Everything hajatengenezwa na kitu, yeye ndo aliyeandika code ya kilakitu hadi jinsi akilinyako inavyofanya kazi, ndo maana unazidi kumtafuta within sehemu unayoweza kuifikiri
ukitaka mlolongo wa moja katengenezwa na mwingine, na mwingine katengenezwa mwingine, huo mlolongo utaenda bila mwisho...
na kama ukienda hadi mwisho kungekua hakuna chochote kwasababu hakuna wa kuanzisha mlolongo huo kwakua kila moja anategemea atengenezwe na mwingine, na mwingine hivyo kungekua hakuna kitu.
nawe nijibu, how did the universe begin ?
Swali halijibiwi kwa swali,ilitakiwa ujibu kwanza kisha ndipo uulize swalisame old logical fallacy aliyekuambia kuwa Mungu ametengeneza Dunia ni nani na yeye aliambiwa na nani? tuanzie hapo halafun tutaendelea...
vipi nikikuambia mimi ndo nimetengeneza dunia utaamini??
Ndio uwaaulize theists kwa nini wanalamisha imani zao ziwe logicSasa nikuulize boss, vitisho na ahadi vinavyotumika vimebase kwenye faith au logic?
Mkuu, nikikwambia usipomkiri YESU kuwa ni MUNGU, ukabatizwa kwa jina la BABA,MWANA na ROHO basi siku ya mwisho utachomwa moto.Ndio uwaaulize theists kwa nini wanalamisha imani zao ziwe logic
Thibitisha Mungu yupoMkuu, nikikwambia usipomkiri YESU kuwa ni MUNGU, ukabatizwa kwa jina la BABA,MWANA na ROHO basi siku ya mwisho utachomwa moto.
Hapa nimetumia Logic au nimetumia imani kukutisha kuhusu moto?
kasome Logical na Philosophy maswali mengi yanajibiwa kwa maswali hasa Swali lisilo wazi (ambiguous question), au swali la kifalsafa na lenye mjadala (philosophical question) kama hili pia swali la kupima mtazamo wa muulizajiSwali halijibiwi kwa swali,ilitakiwa ujibu kwanza kisha ndipo uulize swali
Sasa kama ni hivyo hatufiki mwisho na mimi nitakujibu kwa swali tutakesha hadi keshokasome Logical na Philosophy maswali mengi yanajibiwa kwa maswali hasa Swali lisilo wazi (ambiguous question), au swali la kifalsafa na lenye mjadala (philosophical question) kama hili pia swali la kupima mtazamo wa muulizaji
Lakini hujajibu swali boss. Swali ni, moto ninaoutumia kukushawishi ni logic au imani?Thibitisha Mungu yupo
Swali lako unapaswa uwaambie watu wa imani yako katika mipaka ya imani yako
Nnje na hapo haupo sahihi
Kwa mtu anayeelewa special pleading ni nini, maneno yako hayo mawili yana uzito sana, yanavunja hoja ambayo inaweza kuandikwa kwa kitabu kizima.Special pleading
Itabidi utoe uthibitisho kwanza mimi sitaki kuamini nataka kujuaLakini hujajibu swali boss. Swali ni, moto ninaoutumia kukushawishi ni logic au imani?
🤔 ndio maana wanalalamika tunawauliza maswali yale miaka nenda rudiKwa mtu anayeelewa special pleading ni nini, maneno yako hayo mawili yana uzito sana, yanavunja hoja ambayo inaweza kuandikwa kwa kitabu kizima.
Kwa mtu ambaye hajui special pleading ni ini, au hata logical fallacy ni nini, maneno yako mawili hayo hayana maana.
Hapa tunabishana na watu wasioelewa special pleading ni nini.
I suspect hawaelewi hata logical fallacy ni nini.
Ndiyo tatizo.
Otherwise, wangerekebisha hoja zao za kijinga kama za kusema kila kitu kina mwanzo ila Mungu hana mwanzo.
Wakati hawawezi kuthibitisha hata kama Mungu yupo.
🤔 ndio maana wanalalamika tunawauliza maswali yale miaka nenda rudi
Ok, kama hutaki kuamini, kutaka kuletewa prove ya anachoamini inamaanisha unachotaka ni kubishana na anayeamini. Sasa Hiyo ni logic?Itabidi utoe uthibitisho kwanza mimi sitaki kuamini nataka kujua
Ndio maana kuna nyumba za ibada na zina mahubiri na hazina ubishi na hakuna Atheist yeyote anaye wafuata humo, hata kwenye jukwaa la dini nafikiri hakuna, ila nnje na hapo ukileta sehemu ambazo yoyote tu anaweza kuhoji ile mamlaka yako ya privacy inavunjika..Ok, kama hutaki kuamini, kutaka kuletewa prove ya anachoamini inamaanisha unachotaka ni kubishana na anayeamini. Sasa Hiyo ni logic?
inaonekana hujui maana ya special pleading, kaisome upya au muulize doctor. kama mnasena hiyo ni special pleaading basi nitajua naongea na watu wa namna ganiSpecial pleading
Nikuulize, siku ya ibada mhubiri akienda na time bomu, akaset dakika 5 ili baada ya hapo lilipuke, akawaambia waumini likilipuka tu mtamuona MUNGU halafu yeye akakimbia, akirudi baada ya dakika 5 unadhani nini kitakuwa kimetokea?Ndio maana kuna nyumba za ibada na zina mahubiri na hazina ubishi na hakuna Atheist yeyote anaye wafuata humo, hata kwenye jukwaa la dini nafikiri hakuna, ila nnje na hapo ukileta sehemu ambazo yoyote tu anaweza kuhoji ile mamlaka yako ya privacy inavunjika..
Asante kwa ushiriki wako👏inaonekana hujui maana ya special pleading, kaisome upya au muulize doctor. kama mnasena hiyo ni special pleaading basi nitajua naongea na watu wa namna gani