Sitaki kuamini, imani unaruhusiwa kuamini chochote hata uongo. Jiyo ni haki yako ya kikatiba na kiutu.Yani mm nikose kazi kukudhibitishia uwepo wa Mungu na imani ni swala binafsi.
Ukitaka kuamini
Soma
Uzi wangu nimekutana naye
Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote
Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi. ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO. Hii SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization. Muunganiko ila sehem zinazofuata zinaelezea kwa kina na undani A,B,Cssss Mm IIT. Niligundua sio tuu kuwa chosen one ila...share.google
Na maelekezo aliyompa sasa hilo ni kwangu tuuuuu
Unataka udhibitishiwe ww sasa hapo ndipo unapokosea.
Soma kwanza then encounter yourself
nimefanya comparison ya vyote na nimekuja na conclusion ya jibu japo sitaki tuchimbe sana huko kwenye mazazi ya yesu Maana ni mtihani...Nimeandika chap chap ila hilo hesabu lako bila mwinjili luka.
Mwangalie na mathayo
Nimeshakujibu ni swala binafsi nimekupa uzi wangu njoo ujisomeeeSitaki kuamini, imani unaruhusiwa kuamini chochote hata uongo. Jiyo ni haki yako ya kikatiba na kiutu.
Na kama unaruhusiwa kuamini hata uongo, imani ni irrelevant kwangu. Sitaki kuzungumzia imani.
Si unaruhusiwa kuamini hata uongo, si jambo la binafsi?Sisumbuki na imani.
Hapa naongelea facts.
Thibitisha Mungu yupo, factually.
Njoo pia soma maono Niliyopewa.nimefanya comparison ya vyote na nimekuja na conclusion ya jibu japo sitaki tuchimbe sana huko kwenye mazazi ya yesu Maana ni mtihani...
na jibu la miaka liko sawa
Hapana Mkuu you are absolute wrong..usijiweke kuwa mwenye mentalty ya kupinga kila kitu wewe kama msomi nilivyosema ni research tu ungeelewa na hakungekuwa hilo swali lako
Anyway
Zaman elimu ya uandishi haikuwa kama sasa ivi, kwa mfano injili ya luka ule ni utafiti wake binafsi ya mtu ambaye habari zake zilikuwa na uvumi mwingi baada ya kufariki hivyo akaamua kuwatafuta watu ambao walishuhudia matukio ya mtu huyo ambaye ni yesu( alikutana na watu wake wa karibu sana) na ndio maana unaona simulizi ya yesu inasimuliwa tangu mwanzo wa kuzaliwa kwake(hapa mwandishi inaonekana alikutana na wazazi wa yesu ndio waliomsimulia habari za kuzaliwa kwake), pia aliwahoji wanafunzi wake na walimsimulia mengi
KWaiyo baada ya luka kuwa na taarifa za kutosha kumuhusu yesu ndio alipoamua kuandika matokeo ya tafiti yake ambayo leo tunaiita kitabu cha luka na kinatambulika kama injili
hili andiko lako nililisoma ila sikuelewa mayb nilikuwa na haraka harakaNjoo pia soma maono Niliyopewa.
Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote
Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi. ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO. Hii SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization. Muunganiko ila sehem zinazofuata zinaelezea kwa kina na undani A,B,Cssss Mm IIT. Niligundua sio tuu kuwa chosen one ila...share.google
Research hata mm nimefanya sana mpaka sasa n research iko mbele yanngu
Pitia tena polepole.hili andiko lako nililisoma ila sikuelewa mayb nilikuwa na haraka haraka
You are a boring troll.Nimeshakujibu ni swala binafsi nimekupa uzi wangu njoo ujisomeee
Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote
Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi. ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO. Hii SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization. Muunganiko ila sehem zinazofuata zinaelezea kwa kina na undani A,B,Cssss Mm IIT. Niligundua sio tuu kuwa chosen one ila...share.google
Huo ndio uthibitisho juu ya Mungu kwangu we utajijua
Nashukuru kwa kunisahihisha ni kweli luka hakukutana na wazazi kwasababu hakuna sehem aliyotaja moja kwa moja kwamba alikutana na wazazi wa yesu ila kwa simulizi za kuzaliwa inaonekana kama hakukutana na wazazi basi alikutana na watu wa karibu sanaHapana Mkuu you are absolute wrong..
Luka was Just a Doctor yaani Physician na alikuwa Daktari wa paulo na hakuwahi kukutana na wazazi wa Yesu..
Ila luka alikutana na wakristo wa mwanzoni ambao na wenyewe walihadithiwa Habari za yesu kutoka kwa wale walio ona na kushuhudia...
na hata aliyeandika kitabu cha Yohana pia na yeye hakuwa yohana ila alisimuliwa na watu waliokutana na yohana na ndiyo akaandika
hapana mkuu..Nashukuru kwa kunisahihisha ni kweli luka hakukutana na wazazi kwasababu hakuna sehem aliyotaja moja kwa moja kwamba alikutana na wazazi wa yesu ila kwa simulizi za kuzaliwa inaonekana kama hakukutana na wazazi basi alikutana na watu wa karibu sana
Kama kila kitu kina mwanzo, Mungu mwanzo wake ni nin?Kama ambavyo wewe unaniona ni mjinga wa kuamini Mungu hayupo kwakuwa kama kila kitu kinachotokea basi lazima kiwe na chanzo chake,na chanzo kitakuwa na chanzo chake
Nami nakuona wewe ni mjinga wa kutoamini kuwa lazima somewhere kutakuwa na source ya kila kitu,lazima kila kitu kina mwanzo wake,hiyo ipo hivyo,sasa utaamini au huamini it's not my problem
1.Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,hapana mkuu..
luka ni Era ya Paulo ,rafiki wa Paulo na daktari wa Paulo..LUka alifanya research na kuuliza au kutafuta watu kuwauliza ila hakuwahi kuuliza jamii ya Kiyahdi kuna ushahidi huo kabisa..
kwa sababu hata kwenye generation ya yesu According to luka ni moja ya weakest genealogy ever..
Muulize Mwanatheolojia yoyote asiyetaka kufuata upande Muulize kuhusu the weakest Jesus geneology atakuambia ya Luka..kwa sababu kwanza haifanani na agano la kale na haina uhusiano wa moja kwa moja na maandiko ya masihi...
naomba nishie hapo kwanza
Uko tayari tuexpose Uongo wa Luka???1.Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:1
2 kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:2
3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
Luka 1:3
Kwenye huo mstari wa tatu luka anasema amejitafutia usahihi wa hayo mambo. Ina maana kwamba hata yeye alikuwa anasikia tu ila akaamua kuutafuta ukweli, sasa huo ukweli aliupatia wapi kama sio kutoka kwa watu wa karibu
bila shaka nitakuwa nimeeleweka, halafu inatakiwa utambue luka hakujifunga na torati ndio maana fafanuzi zake nyingi ni za kirohoUko tayari tuexpose Uongo wa Luka???
kwenye hiyo research yake??
ok sawa!bila shaka nitakuwa nimeeleweka, halafu inatakiwa utambue luka hakujifunga na torati ndio maana fafanuzi zake nyingi ni za kiroho
Anyway weka huo utata nitakujibu kulingana na vile ninafahamu
Mungu alitokana na nini..?Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu mara nyingi hujikita kwenye kutumia akili (Aql) na mazingira yanayotuzunguka (Fitra).
Hapa kuna mbinu na hoja unazoweza kutumia:
1. Hoja ya Uwepo wa Ulimwengu (The Argument from Creation)
Hii ni hoja ya msingi inayouliza: "Je, kitu kinaweza kutokea bila muumbaji?"
Mantiki: Kila kilichochongwa kina mchongaji, na kila jengo lina mjenzi.
Ulimwengu ni mfumo tata sana; hivyo basi, ni muhali (haiwezekani) kuwa umetokea kwa bahati mbaya tu.
Mfano: Ikiwa utamkuta mtu ameweka simu ya kisasa mezani na akakuambia kuwa vipande vya chuma na kioo vilijikusanya vyenyewe na kutengeneza simu hiyo kwa mamilioni ya miaka, huwezi kumwamini. Je, ulimwengu ambao ni tata kuliko simu unawezaje kutokea bila mpangaji?
2. Mpangilio na Uwiano wa Ulimwengu (Fine-Tuning)
Wanasayansi wanakubali kuwa ulimwengu una sheria thabiti (kama nguvu ya mvuto - gravity).
Hoja: Ikiwa nguvu ya mvuto ingepungua au kuongezeka kidogo sana, nyota zisingetokea na maisha yasingewezekana. Uwiano huu unaitwa "Fine-Tuning."
Mantiki: Huu usahihi uliokithiri unaonyesha kuwa kuna "Akili" (Intelligence) iliyoweka viwango hivyo, na si vurugu ya bahati mbaya.
3. Asili ya Binadamu (Fitra)
Hii inahusu lile hitaji la ndani la binadamu kutafuta kitu kikuu zaidi (Transcendence).
Hoja: Hata watu wasioamini, wanapopata majanga makubwa (kama ndege inapotaka kuanguka), mara nyingi hujikuta wakitafuta msaada kutoka kwa nguvu iliyo juu yao.
Mantiki: Hisia hii ya ndani ni utambulisho uliowekwa ndani ya roho ya kila binadamu kumtambua Muumba wake.
4. Maadili na Utu (Objective Morality)
Hoja: Ikiwa hakuna Mungu, na sisi ni matokeo ya mageuzi (evolution) ya kikemikali tu, kwa nini tunaamini kuwa kuua au kudhulumu ni "kibaya"?
Mantiki: Bila Mungu, maadili yanakuwa ni maoni tu ya watu. Lakini binadamu wote wanaelewa kuwa kuna haki na batili. Haki hii ya asili inatoka kwa Muumba aliyeweka sheria za kimaadili.
Jinsi ya Kuzungumza Nao kwa ufanisi:
Tumia Lugha ya Mantiki: Atheists wengi huamini katika sayansi na ushahidi. Badala ya kusema "Kitabu kinasema hivi," sema "Tazama mfumo wa DNA, je, unawezaje kuwa na maelekezo tata kiasi hicho bila mwandishi wa kanuni hizo?"
Kuwa na Adabu na Subira: Lengo liwe ni kufahamishana, si kushinda vita ya maneno. Quran inatuhimiza tujadiliane kwa namna iliyo bora zaidi.
Kubali Mipaka ya Sayansi: Eleza kuwa sayansi inajibu maswali ya "Vipi" (Vipi mvua inanyesha?), lakini dini inajibu maswali ya "Kwa nini" (Kwa nini tuko hapa na nini hatima yetu?). Sayansi haiwezi kuthibitisha au kukanusha uwepo wa Mungu kwa sababu Mungu hayuko ndani ya maabara.
Ni hayo tu!
Bwana Kiranga sayansi haiwezi kudhibitisha uwepo wa Mungu au kutokuwepo kwake,kwahiyo usijipe ushindi ambao haupoMpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
Hujaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa njia yoyote.Bwana Kiranga sayansi haiwezi kudhibitisha uwepo wa Mungu au kutokuwepo kwake,kwahiyo usijipe ushindi ambao haupo
Hapa nakuletea hoja ambazo zitaonyesha kwamba sayansi inamipaka na sio suluhisho la kila kitu,kwahiyo kama mnadhani kupitia sayansi mtaweza kuamini kuwa Mungu hayupo mnajidanganya
Kama sayansi ina mapungufu basi msiipe umuhimu wa kuwafanya msione uwepo wa Mungu,kwasababu kipimo mnachotumia hakina majibu ya kila kitu
Ingawa sayansi ni zana yenye nguvu sana ya kuelewa ulimwengu wa kimaumbile, ina mipaka yake ya kimsingi. Hapa kuna sababu kuu kwa nini sayansi haina majibu ya kila kitu:
1. Sayansi Inajikita katika Ulimwengu wa Kimaumbile (Natural World)
Sayansi inategemea uchunguzi, majaribio, na vipimo. Ili kitu kidhibitishwe kisayansi, lazima kiweze kupimika au kuonekana kwa namna fulani (empirical evidence).
Mambo yaliyo nje ya maumbile: Maswali kuhusu mambo ya kiroho, uwepo wa Mungu, au maisha baada ya kifo yako nje ya uwezo wa darubini au maabara. Sayansi haiwezi kuyathibitisha wala kuyakanusha kwa sababu hayawezi kupimika.
2. Maswali ya Maadili na Thamani (Ethics and Values)
Sayansi inaweza kutuambia jinsi ya kufanya kitu, lakini haiwezi kutuambia kama tunapaswa kukifanya.
Kwa mfano, sayansi inaweza kutuonyesha jinsi ya kutengeneza silaha za nyuklia au jinsi ya kubadili vinasaba vya binadamu (cloning), lakini haiwezi kutoa uamuzi wa kimaadili kama kufanya hivyo ni "sahihi" au "makosa." Maadili yanategemea falsafa, utamaduni, na imani.
3. Hisia na Urembo (Subjective Experience)
Sayansi inaweza kueleza michakato ya kemikali inayotokea kwenye ubongo unapokuwa na furaha au unapoona rangi fulani, lakini haiwezi "kudhibitisha" kiasi cha uzuri wa kito cha sanaa au uchungu wa mapenzi kwa namna ya jumla. Hizi ni tajriba za kibinafsi (subjective) ambazo hazina kipimo kimoja cha ulimwengu mzima.
4. Mantiki na Hisabati (Logic and Mathematics)
Inashangaza kidogo, lakini sayansi yenyewe inategemea hisabati na mantiki, ambazo ni mifumo inayojithibitisha yenyewe. Huwezi kutumia majaribio ya kisayansi kudhibitisha kuwa 1 + 1 = 2; hiyo ni kanuni ya kihisabati ambayo sayansi inaitumia kama msingi.
5. Asili ya Sayansi: "Daima Inabadilika"
Sayansi haitoi "ukweli wa mwisho" usiobadilika. Badala yake, inatoa nadharia bora zaidi kulingana na ushahidi uliopo kwa wakati huo.
Zamani sayansi iliamini kuwa Jua linazunguka Dunia. Ushahidi mpya ulipopatikana, nadharia hiyo ilibadilika. Kwa hiyo, sayansi inajisahihisha yenyewe, jambo linalomaanisha kile tunachokiona kama "uthibitisho" leo kinaweza kuboreshwa au kubadilishwa kesho.
Sayansi ni kama tochi: inamulika vizuri sana maeneo yenye giza katika ulimwengu wetu wa kimaumbile, lakini haiwezi kumulika kila kona ya uwepo wa mwanadamu, hususan maswali ya "kwa nini" (madhumuni) badala ya "vipi" (mchakato). Kwa maswali ya maana ya maisha, uzuri, na maadili, mwanadamu hulazimika kutafuta majibu kwenye falsafa, dini, na sanaa.
Comment yangu ya mwisho imeonyesha mapungufu ya Sayansi,kwahiyo ukweli utabakia pale pale Sayansi ambayo ndio mnaitumia kudhibitisha uwepo wa Mungu haiwezi kutoa majibu ya kila kitu ikiwemo kudhibitisha uwepo au kutokuwepo kwa MunguHujaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa njia yoyote.
Hata kwa uchawi, achilia mbali sayansi tu.
Bila kwenda kwenye sayansi pure logical thinking inaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote muumba wa vyote hawezi kuwapo.Comment yangu ya mwisho imeonyesha mapungufu ya Sayansi,kwahiyo ukweli utabakia pale pale Sayansi ambayo ndio mnaitumia kudhibitisha uwepo wa Mungu haiwezi kutoa majibu ya kila kitu ikiwemo kudhibitisha uwepo au kutokuwepo kwa Mungu
Asante.