Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

Mungu yupi Kaumba Dunia na ulimwengu?

Usije sema tuu Mungu ni Mmoja. Kwa sababu hapo utakuwa umejichanganya zaidi kuliko Yule asiyeamini kabisa kama Mungu au miungu ipo
Kuamini ulimwengu umeumbwa na mungu ni jambo moja, kukupata mungu wa uhakika ni jambo jingine...

Nadhani jamaa kabase kwenye uwepo wa mungu, mungu yupi hilo ni jambo jingine
Yaani ile nguvu ya asili.

Mfano kwa wale wenye imani za kishirikina, kuamini mganga anatibu ni ishu nyingine, kupata sasa mganga wa ukweli ni ishu nyingine.( lengo ni kuamini kitu kipo, kupata kitu sahihi ni ishu nyingine)
 
Sayansi ikishindwa kuelezea jambo fulani, haimaanishi jibu la jambo hilo ni Mungu.
Hapa dini ina majibu yake,kwamba tumeumbwa kwa mataifa ili tufahamieni tu lakini katika wote hao mbora wao ni mchamungu tu
Dini hazina majibu yenye ushahidi na uthibitisho.

Dini zina assumptions tu.
Kwahiyo kwa sayansi kushindwa kuthibitisha kwanini kuna waupe weusi au brown haimaniishi kwamba asili yetu sio moja
Kama unajua asili yetu sio moja na Sayansi imeshindwa kuthibitisha, Wewe unayejua asili ya Binadamu toa uthibitisho sasa.
 
Futu kwanza kauli ya kuna kitu sikijui kwenye hayo uliyo eleza eleza hapo halafu tuendelee,kwa sababu hakuna kipya hapo
 
Futu kwanza kauli ya kuna kitu sikijui kwenye hayo uliyo eleza eleza hapo halafu tuendelee,kwa sababu hakuna kipya hapo
kama unajua basi nimekukumbusha kwa maneno mengine na kama umesoma hadi mwisho nashukuru
 
kama unajua basi nimekukumbusha kwa maneno mengine na kama umesoma hadi mwisho nashukuru
Ulicho kifanya na wewe ni kubadilisha jina tu , ila bado haujathibitisha

Kila kitu kina chanzo hiyo ni special pleading.


Haujathibisha kuwa nguvu ipo wala ulazima wa uwepo wake .
 
Na wewe unaamini Mungu wako wengi?Kama wako wengi dunia inaendeshwa na nani?au wanashirikiana vipi kuiendesha dunia maana ingekuwa hivyo ingetokea siku wakakwaruzana na dunia ingesimama.
 
Inabidi mpatane kwanza imani zaidi ya 200000 mje na Mungu mmoja kwanza , ili mje na hoja zenye mashiko.
Mkuu hii hoja yako ni dhaifu ni imekaa kama excuse ya kukwepa uwajibikaji.
Yaani maneno yako mfano wake ni kama mpo ndani ya nyumba kisha mkasikia sauti ya honi ikilia kutokea nje kisha watu wakaanza kujadili.
Wa kwanza:Hiyo ni gari aina ya Nissan
Wa pili:Hiyo ni gari aina ya Toyota
Wa tatu:Hiyo ni gari aina ya Benz
Wewe:Hakuna gari(swali la kujiuliza kama hakuna gari ile honi imetoka wapi?)
 
Kama kuna gari hiyo gari imetoka wapi?
 
karibu!
swali la kwanza huoni kama Dini imekuwa submanipulative tools ya kutumanipulate tushindwe kutafuta ukweli wa sisi ni nani na tumetokea wapi kwa kutupa majibu mepesi ambayo ni very confusion?
unaamini wewe ni udongo? unaweza kunipa evidence kwamba wewe ni udongo?
unaamini kwamba binadamu aliumbwa kipi kinafanya aliyeumba ashindwe kuumba tena ila atumie njia nyingine?
nilichosema ni kuthibitisha uwepo wa kila kitu akiwemo Mungu,malaika na vitu vyote bila kutumia manipulative tools zozote kama biblia au qurani tumia hoja za mazingira na experiences
 
safi mimi kama Ignosticism nimekubali hoja yako ya kuanza kuelezea kuhusu Hoja hizi kwa kueleea maana ya Mungu...
swali hiyo nguvu yenyeww ilitoka wapi?
 
Mkuu kulingana na HOja yako inaweza ikawa sio gari kweli, siku hizi boda boda wanaweza kuweka Honi ya gari kwenye pikipiki au huyo anayesema hakuna Gari huenda ameona nini kilichotoa mlio unaoitwa honi ndo maana akasema hakuna gari
 
Mkuu kulingana na HOja yako inaweza ikawa sio gari kweli, siku hizi boda boda wanaweza kuweka Honi ya gari kwenye pikipiki au huyo anayesema hakuna Gari huenda ameona nini kilichotoa mlio unaoitwa honi ndo maana akasema hakuna gari
Sasa kama sio gari anatakiwa aseme hiyo sio gari ila ni train badala ya kusema hakuna kabisa.
Umeelewa hoja yangu sasa
 
Kama kuna gari hiyo gari imetoka wapi?
Gari imeundwa na binadamu.
Binadamu ameumbwa na Mungu kisha akapewa akili japo wengine hutumia vibaya hiyo akili kama nyinyi mnavyoitumia akili yenu kumpinga aliyewaumba.
 
Gari imeundwa na binadamu.
Binadamu ameumbwa na Mungu kisha akapewa akili japo wengine hutumia vibaya hiyo akili kama nyinyi mnavyoitumia akili yenu kumpinga aliyewaumba.
Mungu kaumbwa na nani?
 
Kila kitu kiliumbwa. Perfect! Nani alimuumba Mungu?
Pia kama unaona kuwa dunia ilivyo kuna akili kubwa sana imetumika, kwa nini unasema Mungu ni mmoja? Kwa hii hoja yako unajuaje kama sio akili zaidi ya 1000 zilikaa na kuunganisha idea ya kuumba ulimwengu, kwa nini isiwe ni Miungu aftatu ndio iliumba ulimwengu. Kwa nini mnasema ni mmoja. Huyu mmoja ni yupi, na vigezo gani vinafanya muamini ni yeye peke yake tu ndio anastahili hizo sifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…