Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Magufuli hafanani na netanyauWakija watu kama Magufuli mnaanza kulia lia tena.
Netanyau ndo anayejua kudeal na wahuni😀😀😀 pole kwa kuteseka 😀😀😀
Haiwezekani inafikia hatua timu ya mpira inashinda kombe watu wanaenda kuchoma nchi ni mambo ya ajabu sanaHuko mbeleni nafikiri kila nchi zitaanza kuzuia watu .Ili china wameweza wahamiaji haramu na wahamiaji bila sababu
Mbali na hayo ya itikadi paris machinga wamekuwa wengi sana wanaharibu ustaarabu wa mji huoUkiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau
Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi
Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi
Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea
Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco french wanafeli sana
Machinga utafikiri upo kariakooMbali na hayo ya itikadi paris machinga wamekuwa wengi sana wanaharibu ustaarabu wa mji huo
Yaan nilisikitika na wengi wanaofanya hivyo ni foreignerMachinga utafikiri upo kariakoo
Johannesburg na paris zimeharibiwa na wamachinga
Magufuli huyu alieipenda ccm kuliko nchiWakija watu kama Magufuli mnaanza kulia lia tena.
Ahsante sana huo utofauti wake na netanyauMagufuli huyu alieipenda ccm kuliko nchi
Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau
Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi
Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi
Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea
Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco french wanafeli sana
Makobaz yapi? Mbona alimsaidia kobaz wa Al Qaeda Al Jolani kuchukua nchi ya Syria? Pia anasaidia magaidi wa Kurdistan kupambana na uturuki na Iran alafu unasema ndio dawa ya kobazi?Netanyahu ndio kiboko ya MAKOBAZ
Wahuni gani? Yaani unasifia mtu kuua watoto na wamama? Yaani dini zimefanya watu tunaona werevu kuwa ni vil.aza tu.Netanyau ndo anayejua kudeal na wahuni
Angekua anazuia wahuni asingekua na tamasha la watu wanao sagana na kufiranaNetanyau ndo anayejua kudeal na wahuni
Kwa maana hiyo Hamas waliolianzisha ni watu wema? Sisi hatujali, mnatabia ya kupiga halafu mnakimbilia kujificha msikitini na kwenye shule za watoto, hukohuko netanyahu anapiga makombora.Wahuni gani? Yaani unasifia mtu kuua watoto na wamama? Yaani dini zimefanya watu tunaona werevu kuwa ni vil.aza tu.
Netanyahu ni muuaji na ana kesi ya ICC. Aisee nyie jamaa dawa yenu alikua Hitler tu na Martin Luther.