Magaidi? Mbona Al Qaeda imechukua serikali ya Syria kupitia Ahmed Al Sharaa mwenyekiti wa Al Qaeda/Islamic State huko Syra ila huyo Netanyahu amekaa kimya tu?? Au magaidi ni pale tu wakipingana na Israel ila wakiwa upande wa Israel wanakuwa "malaika".