Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

Akili huna,na wewe kakope basi👇







 
Nchi inatafunwa
Kwani deni la Taifa litaendelea kuwa himilivu mpaka lini ? Maana kama ni kweli Hao jamaa wameamua kuitafuna nchi basi hata hiyo mikopo ipo siku tutanyimwa !! Hapo sasa nadhani ndio tutatia Akili kichwani !! Na kuanza kushikiana kiboko kwa wale wabadhirifu wa Mali ya Umma, !!!
 
WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAO TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI usipotajirika TANZANIA wewe ni KICHAA
 
Kaka Musiba leo siku nzima umeamua kuanzisha nyuzi za kuitukana serikali, umefulia sana mkuu.
 
We jamaa umemkomalia Samia hata hakohoi wala hahemi.

Nyuzi za bandika bandua.

Hii ID ni ya shirika sii ya mtu mmoja
Musiba huyo alitukana sana watu awamu ya JPM akisahau kuwa hata mfalme anayezungukwa na walinzi huwa anakufa.
 
Hao wabunge na madiwani wanao uwezo wa kuwawajibisha wakuregenzi?
Najua hawawezi kumfukuza kisheria ila wana influence kubwa sana ya kumwajibisha mkurugenzi, madiwani kazi yao moja kubwa legally ni kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, madiwani kuripoti takururu au vyombo vya sheria na kumobilize wananchi wao kuhusu ufisadi huoni kama ni mwanzo wa kuzuia upigaji, tuna katiba mbovu lakini hata iliyopo inaweza kusaidia level ya wananchi chini kabisa kuzuia upigaji wa hawa maofisa njaa, watu lazima wawe na uchungu na maendeleo yao na sio maneno tuu na wananchi kutumia madiwani ndio njia ya kwanza kabisa kuzuia upigaji, Raisi au mawaziri ni ngumu sana kupigania kila halmashauri
 
Hii legacy unayoipambania itakutia ukichaa 🤣🤣🤣
 

Dhalimu alinajisi uchaguzi akajaza wanaccm kila mahali, sasa hao wanaccm ambao alisema ni wazalendo wahoji huo wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…