Jinsia yako ni gani ilituweze kukushauri....
nitafute kupitia 0657317631 nitakusaidia kwa supplementsNaomba msaada....nini tiba ya vijinyama sehemu ya haja kubwa?
na je...nini inapelekea kutokwa majimaji sehemu ya haja kubwa? nikiwa na maana kwamba...when i go for stool...nikimaliza najisafisha vizuri na kujikausha, lakini baada ya muda nakuta nina majimaji (kind of mucus) ambayo yanatoa harufu....nisaidieni niweze kupata tiba mapema.
Asante.
Wadau wa jf mwenzenu jana nimeenda chooni kujisaidia haja kubwa cha ajabu nilipomaliza niliisi maumivu kidogo nilipofika ndani sehem za mkundu kwa nje kulikua kumevimba sana na kunauma... Hadi leo hii nahisi maumivu je hili ni tatizo gani na anaejua dawa itakayosaidia uvimbe upungue na maumivu yaishe naomba msaada wenu jamani sina raha
How old are you? Tumia tafsida... Ila kinachokumbua ni bacteria flani ambao umewapata kutokana na contamination... Nenda kwa daktari kwa maelezo zaidi..
Pamoja na hayo;
CC: [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=issa]#issa [/URL] RAMADHAN kwa ushauri zaidi..
Wadau wa jf mwenzenu jana nimeenda chooni kujisaidia haja kubwa cha ajabu nilipomaliza niliisi maumivu kidogo nilipofika ndani sehem za mkundu kwa nje kulikua kumevimba sana na kunauma... Hadi leo hii nahisi maumivu je hili ni tatizo gani na anaejua dawa itakayosaidia uvimbe upungue na maumivu yaishe naomba msaada wenu jamani sina raha[/
Ni bacteria tu mkaka. Halafu huo uvimbe ukizidi utafanyiwa operation ndogo unaenda unautanua unapasuliwa...wahi pharmacy
ah watajuana tu huko wenyewe... wapiemiane tu...
kamuoneni daktari atawasaidia zaidi
afu kwa nini unamuita mpenzi wako 'kazi'?
Unaishi Dar? Kama upo Dar nicheck kuna daktari specialist atakusaidia unaweza kupona kwa dawa tu.Wadau wa jf mwenzenu jana nimeenda chooni kujisaidia haja kubwa cha ajabu nilipomaliza niliisi maumivu kidogo nilipofika ndani sehem za mkundu kwa nje kulikua kumevimba sana na kunauma... Hadi leo hii nahisi maumivu je hili ni tatizo gani na anaejua dawa itakayosaidia uvimbe upungue na maumivu yaishe naomba msaada wenu jamani sina raha
Watu kama Ndodi hawatomwona Mungu kamwe wacha aendelee kujificha kwenye Biblia.Hili ni tatizo sugu kwa wanaume wengi ila wanaona aibu kujitokeza kupata matibabu kwakuwa jamii aina uelewa wa kutosha juu ya swala hili kwa kuwa wengi hudhania ni ushoga,pili gharama za matibabu kuna rafiki yangu tulimpeleka muhimbili ili afanyiwe operations na gharama aliambiwa laki 4,ok tukaenda kwa dk Ndodi akambiwa atoe million 2 tukashindwa jamaa mpaka naachana naye mwaka jana hajapata tiba na ameona aendelee kuishi hivyo hivyo pia nilimuuliza tatizo limemuanza lini akanijibu toka 2002 Habari ndiyo hiyo ushauri wizara ingelitangaza matibabu ya bure ya tatizo hili na itashangaa idadi itakayo jitokeza.
BAWASIRI AINA YA UGONYWA UNAOWEZA KUKUFANYA KUA NA AIBU YA KUTOA TAARIFA KUA UNUMWA KUA MAKINI JALI AFYA YAKO.Nataka kujua hivi ni nini kinachosababisha bawasir au haemorhoids kwenye njia ya haja kubwa? Ziko aina ngapi ya bawasir? Je inatibika bila ya operation? Wanawake nao huwa wanaupata ugonjwa huu? Kwa nini baada ya kumaliza haja kubwa huanza kuwasha na kuwa kero? Na kwa nini wakati mwingine huwa haitokei? Has it to do with type of foods/drinks?
Anaejua anielimishe.