Hiyo ni Bawasili....... ila nina swali
Hivyo Vinyama Alishawahi kufanyiwa Uchunguzi kwenye kitengo cha Kansa (histopathology)?? Au walivikata tu..... akaambiwa atapona
chukua ubani chemsha na mizizi ya mkomamanga,kwisha khabari yake na hii dozi anza leo kaka,baada ya wiki utaleta mrejesho hapa
Mara ya kwanza kuregister na nimeanza kimatatizo.
Mwana JF mwenzenu kwa kipindi cha miezi kama miwili hivi, nimekuwa nikipata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa. Maumivu haya yanakuja nikiwa na choo kigumu au chepesi.
Huwa ni maumivu kama kuna kitu kinakwanguliwa au kuna kidonda hivi. Lakini pindi nikimaliza haja kubwa sisikii tena na wala sihisi kama kuna maumivu!
Hivi karibuni nilipata vurugu tumboni baada ya food poisoning, ile combination ya maumivu kwa kweli hailezeki. sehemu inayouma ni kwenye outlet (anus) pale pale na si kwingine.
Maana ningekuwa nayasikia hata kwente rectum ningeweza sema, ila ni juu kabisa wakati wa defacation.
Nilikwenda mwona Doctor, yeye aliniandikia flagyls ambazo nilizinywa wala sijapata nafuu. Alihisi kuna infection au inflammation. Sasa niko njia panda, nifanyeje? Sijui hata huko hospital nielezeje hasa hali yangu?!
Naomba mawazo pa kuanzia. Asanteni.
========= Majibu========
Pole sana Ndugu ila naamini shida yako imefika mahali sahihi.
Jaribu kubadili mfumo wa ulaji wako wa chakula. Inaonekana unapataga choo kigumu sana, ndo kinasababisha mchubuko na hatimae kupata choo
chenye damu. Na huo mchubuko unazua sugu ndo vinakua vinyama vinaitwa haemorroids.
Kula matunda na mbogamboga katika kila mlo wako na maji ndo yawe ulevi wako. Epuka vyakula vikavu sana, hasa fried foods.
For the time being tumia anusol sappositories kupunguza huo msuguano au haemorroid cream nadhani kwenye pharmacy zipo. Ikiwezekana uminyie huko kwa twako 2hrs kabla hujaenda choo itakusaidia kupata smooth poop.
Kila la heri
Mi sina ujuzi ila ngoja nikupe pole mkuu kwa hilo tatizo
Asanteee mkuu nilitumia anusol bt Bdo tatizo likabak pale pale na kuhusu kula mboga za majan nakula kila ck lakin sion dalili yyte ya kupona