itagata
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 210
- 71
Ndugu wana JF, natumaini hamjambo wote! Mzazi wangu amekuwa na tatizo la kuota nyama nyama kwenye njia ya haja kubwa na ameshafanyiwa upasuaji hospital lakini hali hiyo imejirudia tena baada ya muda mfupi.
Naomba msaada wenu kwa mtu anaejua njia nyingne ya kutibu ugonjwa huu badala ya upasuaji kwani umri wake umekuwa mkubwa hivyo upasuaji unamweka katika hatari zaidi. Najua humu kuna madaktari wazuri naomba msaada wenu tafadhari.