Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Pakaa lip bam ya forever living inasaidia sana
 
Tumia Anusol ointment au zile zakupenyeza huko kwenye njia ya haja kubwa (suppositories). Hakikisha choo ni laini kwa kula vitu laini, mboga mboga na matunda, kunywa maji kwa wingi, usile pilipili
 
Ndio na ni dawa ataleta mrejesho... Mwanzo avumilie maumivu. Imesaidia watu ninaowajua
Haitaji kuvumilia maumivu, akitumia dawa insitwa anusol, maumivu yanaisha na kinyama kama ni kidogo huwa kinarudi.
 
Wakuu nawashukuru sana kwa misaada yenu ya kitabibu, yote nimeipitia na nimepata vitu vingi vya msingi. Nimeanza kuvifanyia kazi, nitarudi tena jukwaani na kutoa mrejesho kuhusu tatizo langu.
Kiukweli nilikuwa gizani kuhusu hili tatizo, Mungu awabariki wote.Muwe na siku njema.
 
Pole asee , mm nakumbuka ilinitoka wakt niko Mdogo. Ilisababishwa na kula sna nyama za mafuta..ila nilitibiwa na miti shamba sikumuliza mzee ngoja nitamuuliza ni miti gani...ila kwasasa kamuone doctor.
 
UGONJWA WA BAWASILI

(Kinyama njia ya Haja kubwa)

Huu ni ugonjwa ambao kinyama hujitokeza nje baada ya kupevuka lakini kabla utakua unapata maumivu makali ndani pindi unapojisaidia. Kwa kiingereza unajulikana Kama Haemorrhoids au Piles.
Bawasili inasababisha upungufu wa damu mwilini kwakiasi kikubwa.

SABABU ZA BAWASILI
-Kujisaidia choo kigumu
-Kufanya mapenzi kinyume na maumbile
-kuharisha muda mrefu
-kurithi
-Kunyanyua vyuma
-Uzee

DALILI
-Maumivu makali wakati wakujisaidia
-Kunuka damu kipindi unajisaidia
-Muwasho sehemu za haja kubwa
-Kinyama kujitokeza wakt wakujisaidia
-Haja kubwa kujitokea tu

MATIBABU
Mara zote hutibiwa na asali ya nyuki wadogo unapochanganya na...............

Chukua asali lita moja( asali ya kienyeji ya nyuki wadogo)

igawe mara mbili upate nusu lita moja, changanya na........
Koroga mchanganyiko huo mpaka uchanganyike vizuri,
Ukiamka Asubuhi mapema, chukua kijiko kimoja kikubwa cha mchanganyiko huo
kunywa kila baada ya masaa manne,
Ukimaliza kunywa maji ya vuguvugu Glasi moja kila baada ya kutumia dawa hiyo.

Dawa hiyo itakutibu...
Bawasili
Sihiri mwilini
Itakusaidia KUONDOA sumu mwilini
Itakusaidia kusafisha uchafu mwilini
Itaupa mwili nguvu
Itakufanya upate choo kwa wakati na kusafisha kibofu cha mkojo
N.k

Ushauri...
Tumia asali sana ya nyuki wadogo itakusaidia kujikinga na magonjwa mengi sana mwilini, haswa watoto wenu walindeni na asali ya nyuki wadogo kwa kuwalambisha kila asubuhi, itawakinga na magonjwa nyemelezi.
Ili kujikinga na ugonjwa huu
- jitahidi utumie dawa hii mara moja kwa mwaka
-kunywa maji mengi
- Acha mapenzi ya jinsia moja
-kma unandugu wanatatizo hilo tumia dawa hiyo mara kwa mara

Utapaje na kuijua asali inayofaa kwa ajili ya tiba?
Sisi tunayo asali ya kienyeji ya nyuki wadogo safi sana na salama kwa matumizi ya binaadamu kama dawa
Haijachakachuliwa wala kuongezewa kitu chochote.
Ukinunua kwetu kuwa na Amani sana umenunua asali bora.

Wasiliana nasisi tukusogezee uweze kujipatia asali ya nyuki wa dogo ya kienyeji kama dawa yako.

Asali ya nyuki wadogo lita moja ni... 32,000/= elfu thelathibi na mbili
Asali ya nyuki wakubwa elfu 15,000/= elfu kumi na tano
Tunapatikana kibaha ila tunaweza kukusogezea wasiliana nasi kupiti

0689 55 44 38

Tuma hata meseji utajibiwa au piga simu
NB: Muone Daktari/fika hospitali kabla haujaanza tiba yetu
 
Asali yako umevuna mwenyewe au umelangua?

Kwa uzoefu wangu mdogo, asali halisi bila mchanganyo huwa ikishuka chini inashuka yote (haiachi stains ninazoziona hapo kwenye picha)
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,bawasiri inasababishwa na nini hasa,na je tiba yake ni kukata tuu au kuna njia mbadala.Na nini sababu ya kuwapata wajawazito wengi au wale waliotoka kujifungua
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,bawasiri inasababishwa na nini hasa,na je tiba yake ni kukata tuu au kuna njia mbadala.Na nini sababu ya kuwapata wajawazito wengi au wale waliotoka kujifungua
Tiba mpyani kuimeguwa kwa lazer !! Hospitali za kisasa ni dakika 15~20 tu !!
 
Kiongozi FIBA nzuri ya bawasiri ni Aloe vela, chukua jani kata kata vipande then saga, usichemshe. Then kunywa juice yake nusu glass Mara mbili kutwa kwa siku tano mfululizo. Leta mrejesho.
 
Kiongozi FIBA nzuri ya bawasiri ni Aloe vela, chukua jani kata kata vipande then saga, usichemshe. Then kunywa juice yake nusu glass Mara mbili kutwa kwa siku tano mfululizo. Leta mrejesho.
au apake huko mkundu.ni asubuh mchana na jioni. asisahau kusukumizia dawa vizuri
 
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA (HEMORRHOID) NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles
~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50
AINA ZA BAWASIRI
~Kuna Aina mbili za bawasiri
(A) BAWASIRI YA NDANI
~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
~Aina hii imegawanyika katika madaraja manne
(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahal pale panapohusika
(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia
(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi
(B)BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
KUHARISHA KWA MUDA MREFU
TATIZO LA KUTOPATA CHOO
MATATIZO YA UMRI
KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
UZITO KUPITA KIASI
MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

DALILI ZA BAWASIRI
Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa aina ya TCM CAPSULE kwani ni nzuri huwa zinatibu chanzo na kumaliza tatizo kabisa
~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia yafuatayo
KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
FANYA MAZOEZI MEPESI
EPUKA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI ugonjwa wa Bawasiri usipotibiwa huleta athari zifuatazo Kwa Mgonjwa
kupata upungufu wa damu (anemia)
Kupata tatizo la kutokuweza kuhimili choo
hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake kwasababu husababisha maumivu Kwa Mwanamke wakati wa tendo la ndoa
kuathirika kisaikolojia
kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
NOTED :NDUGU RAFIKI KAMA UNA UGONJWA HUU EPUKA KULA NYAMA NYEKUNDU NA PILIPILI PIA UNAWEZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…