Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Mbona kwenye page yako unatumia picha za mitandaoni kwamba ndio wateja wanakupa feed back,huo si uhuni na kujaribu kuwatapeli watu?

Yani mtu umtibie vizuri then akadownload picha akutumie kukushukuru ,inawezekana kweli?


Acha ujanja ujanja mkuu utaitua nuksi biashara yako
 
Ila kweli we sema tu dawa watu wakanunue usiwe kama wale waganga wa instagram wasaidie wenzio si unaona wanavyo tiririka
 
Watalaamu naomba mnisaidie, nina tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa damu huanza kutoka sekunde chache baada ya kuanza kujisaidia, huendelea hata nikimaliza kujisaidia huchukua dakika chache ndipo hukata.

Hii hutokea baada ya kipindi fulani, inaweza kutokea Leo ikajirudia tena baada ya miezi miwili au mitatu

Kilichonifanya niombe ushauri kwenu ni leo imetoka lakini nyingi sana mpaka nimegopa, naomba ushauri huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake nimeficha sana lakini nimeona niseme ili nisaidiwe.

Naomba wataalum mnisaidie tafadhali.
 
Nenda Hospital kijana.... Unaweza chukulia poa ukija kwenye hospital ukambiwa tatizo lako halitibiki tena umesha chelewa kulitibu....


Yaani mda wote huo na bado umekula jiwe kimya dah.....
 
Umejaribu kwenda hospitali?
 
utajibiwa majibu mengi lakini uwe mvumilivu! kwangu nakushauri yauatayo:-
  • punguza uzito kama wewe ni mnene.
  • ongeza kiasi cha maji ya kunywa kwa siku.
  • punguza wanga ikiwezekana tumia donna
  • kula papai kipande kikubwa ikiwezekana nusu papai asubuhi na jioni nusu papai kubwa kama huwezi kula zima.
  • punguza au acha pombe ikiwezekana achana na pombe kali
  • ongeza matumizi ya mboga za majani hapa bamia,nyanya chungu, matembele yanakuhusu.
  • fanya mazoezi na kila siku.
  • mwanzo muone daktari kwa hatua za haraka
 
Sina uzito ni kama unavyoniona kwa profile, situmii pombe yyte
 
Yawezekana ukawa na internal hemorrhoids zimepasuka hivyo kuvuja damu unapo-strain kutoa haja. Hemorrhoids Mara nyingi utaona damu unayotoa ni fresh blood ikiwa katika colour yake ya bright-red, lakini kama damu inayotoka imeganda au ni nyeusi then unaweza kusema huenda imtoka kenye stomach au duodenum suggestive of peptic/ duodenal ulcer. Nikushauri uende Hosp umuone daktari.
 
constipation

zingatia maji
kula matunda kwa wingi hasa yenye nyuz kama maembe hata mapapai
kula mboga mboga mkuu

hali ikizidi nenda kamuone dokta kwa msaada zaidi
Inasababishwa na nini?
 
Hiyo mkuu inaitwa lkila nenda hospital utafanyiwa upasuaji tatizo litakwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…