Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejaribu kwenda hospitali?Watalaam naomba mnisaidie nina tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa. Damu huanza kutoka sekunde chache baada ya kuanza kujisaidi, huendelea hata nikimaliza kujisaidia ...huchukua dakika chache ndipo hukata.
Hii hutokea baada ya kipindi fulani, inaweza tokea Leo ikajirudia tena baada ya miezi miwili au mitatu..
Kilichinifanya niombe ushauri kwenu ni leo imetoka lkn nyingi sana mpaka nimegopa..naomba ushauri, huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake.
Nimeficha sana lkn nimeona niseme ili nisaidiwe...
Naomba wataalum mnisaidie tafadhali.
Sijaenda badoUmejaribu kwenda hospitali?
Nakushauri ufanye haraka uende kabla mambo hayajazidi kuharibika...Sijaenda bado
Sina uzito ni kama unavyoniona kwa profile, situmii pombe yyteutajibiwa majibu mengi lakini uwe mvumilivu! kwangu nakushauri yauatayo:-
- punguza uzito kama wewe ni mnene.
- ongeza kiasi cha maji ya kunywa kwa siku.
- punguza wanga ikiwezekana tumia donna
- kula papai kipande kikubwa ikiwezekana nusu papai asubuhi na jioni nusu papai kubwa kama huwezi kula zima.
- punguza au acha pombe ikiwezekana achana na pombe kali
- ongeza matumizi ya mboga za majani hapa bamia,nyanya chungu, matembele yanakuhusu.
- fanya mazoezi na kila siku.
- mwanzo muone daktari kwa hatua za haraka
utajibiwa majibu mengi lakini uwe mvumilivu! kwangu nakushauri yauatayo:-
- punguza uzito kama wewe ni mnene.
- ongeza kiasi cha maji ya kunywa kwa siku.
- punguza wanga ikiwezekana tumia donna
- kula papai kipande kikubwa ikiwezekana nusu papai asubuhi na jioni nusu papai kubwa kama huwezi kula zima.
- punguza au acha pombe ikiwezekana achana na pombe kali
- ongeza matumizi ya mboga za majani hapa bamia,nyanya chungu, matembele yanakuhusu.
- fanya mazoezi na kila siku.
- mwanzo muone daktari kwa hatua za haraka
Sio kweli vidonda vya tumbo hutoi damu choo kinakuwa na usaha tuNi vidonda vya tumbo hivyo,kamuone daktari
Yawezekana ukawa na internal hemorrhoids zimepasuka hivyo kuvuja damu unapo-strain kutoa haja. Hemorrhoids Mara nyingi utaona damu unayotoa ni fresh blood ikiwa katika colour yake ya bright-red, lakini kama damu inayotoka imeganda au ni nyeusi then unaweza kusema huenda imtoka kenye stomach au duodenum suggestive of peptic/ duodenal ulcer. Nikushauri uende Hosp umuone daktari.Watalaam naomba mnisaidie nina tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa. Damu huanza kutoka sekunde chache baada ya kuanza kujisaidi, huendelea hata nikimaliza kujisaidia ...huchukua dakika chache ndipo hukata.
Hii hutokea baada ya kipindi fulani, inaweza tokea Leo ikajirudia tena baada ya miezi miwili au mitatu..
Kilichinifanya niombe ushauri kwenu ni leo imetoka lkn nyingi sana mpaka nimegopa..naomba ushauri, huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake.
Nimeficha sana lkn nimeona niseme ili nisaidiwe...
Naomba wataalum mnisaidie tafadhali.
Inasababishwa na nini?constipation
zingatia maji
kula matunda kwa wingi hasa yenye nyuz kama maembe hata mapapai
kula mboga mboga mkuu
hali ikizidi nenda kamuone dokta kwa msaada zaidi
unapata choo kigumu sana? kama ni ndio zingatia hayo niliokuambia ila nenda hospital kwa msaada zaidiInasababishwa na nini?