Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Wadada wengi wanasumbuliwa kimyakimya na tatizo la constipation kwa sababu ya kula vyakula ovyo kama vile chips,sembe,wali,burgers e.t.c!!
kama choo anachopata ni kigumua jitahidi kunywa maji sana matunda kama mapapai au maembe ale kwa wingi mboga mboga pia ale kwa wingi

nakubaliana na wewe
 
-Je damu ni fresh nyekundu (haematochezia) au rangi kama "damu ya mzee" au nyeusi (melaena).
-Je hiyo damu imechanganyika na kinyesi au ipo juu juu?
-Kama unatumia "toilet paper" je kuna damu inabaki ukijisafisha.
-Damu nyekundu uwezekano inatoka kwenye lower GI tract(rectum - piles, saratani ya colon nk, kama rangi ni "damu ya mzee" au nyeusi ya mgando basi inatoka upper GI (kwenye tumbo) bacteria na acid za kwenye tumbo wameshaishughulikia.
-Je unapata maumivu wakati wa haja kubwa?- Annal fissure etc.
-Je unamaumivu ya tumbo?
-Je tumbo lako huwa linafura? hususan baada ya chakula?
-Choo unapata kama kawaida?- Google "Bristol stool chart" halafu ufananishe na choo unachopata.
-Je choo kinatoka na vitu kama "makamasi"(mucus)?
-Je umepungua uzito bila kupanga? (unintentional weight loss).
-Damka kesho ukamuone Daktari.
 
fata huu ushauri ni mzuri saana. Kwanza angalia na dalili( clinical sign) je ukiwa chooni
Ukiwa una jisaidia huwa una skia maumivu makali..!? Au damu ina toka bila maumivu..!?? @leah2
 




Pole Lea2 !
Inawezekana una Tatizo la Piles (Bawasiri) au Vidonda vya tumbo !!
Hii in a long run inaweza sababisha hata upungufu wa damu au Cancer !!
Ni vizuri uende hospital mapema ili kujua tatizo na kupata tiba sahihi !!
 
Daa..pole sana mkuu ila kwa ushauri zaidi nenda kwa doctor
 
tupo pamoja mkuu iyo hata mimi nahs ni internal hemorrhoids kikubwa hyo preparation H na anusol zitamsadia lasivyo aende hospital
 
kunywa maji mengi
kula matunda
tumia mbogamboga
tumia unga wa dona kwa ugali
upuka/kula kwa kiasi kidogo vyakula vigumu
 
constipation

zingatia maji
kula matunda kwa wingi hasa yenye nyuz kama maembe hata mapapai
kula mboga mboga mkuu

hali ikizidi nenda kamuone dokta kwa msaada zaidi
Pole sana Dada hilo tatizo lilishanisumbua muda mrefu baadae kitaota kinyama!

Nilienda hospatali nilishauliwa nibadili mfumo wa ulaji wangu hasa niachane na Sembe.
Badala yake nitumie DONA na matunda na mboga mboga nasitumie Nyama nyekundu!!

Ilinisaidia japo kile kinyama kilitokea nikafanya upasuaji lakini kimejirudia tena ila cpati maumivu kama ilivyokuwa mwanzo!!
 
mimi sijasema naumwa mkuu
 
Pole sana mkuu,

Kuna ndugu yangu alipata hilo tatizo ila alikuwa na Bawasili(uvimbe), nae alikuwa akijisaidia vijidamu vilikuwa vinamtoka kwa vipindi fulani fulani lakini alimuona jamaa mmoja yupo geita alimpa dawa ya kupaka na ya kuchemsha unakunywa KAPONA KABISAA.....na alimtoza sh. 20,000/= kama utahitaji ni PM, yupo Geita.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…