Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
hahahahaa sjui umewaza niniinaonekana huyu dada ni kinara wa kula chips!!....Anafikiri chips ni chakula!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaa sjui umewaza niniinaonekana huyu dada ni kinara wa kula chips!!....Anafikiri chips ni chakula!!
inasababishwa na kula vyakula ovyo kama vile chips!Inasababishwa na nini?
Wadada wengi wanasumbuliwa kimyakimya na tatizo la constipation kwa sababu ya kula vyakula ovyo kama vile chips,sembe,wali,burgers e.t.c!!hahahahaa sjui umewaza nini
kama choo anachopata ni kigumua jitahidi kunywa maji sana matunda kama mapapai au maembe ale kwa wingi mboga mboga pia ale kwa wingiWadada wengi wanasumbuliwa kimyakimya na tatizo la constipation kwa sababu ya kula vyakula ovyo kama vile chips,sembe,wali,burgers e.t.c!!
fata huu ushauri ni mzuri saana. Kwanza angalia na dalili( clinical sign) je ukiwa chooniYawezekana ukawa na internal hemorrhoids zimepasuka hivyo kuvuja damu unapo-strain kutoa haja. Hemorrhoids Mara nyingi utaona damu unayotoa ni fresh blood ikiwa katika colour yake ya bright-red, lakini kama damu inayotoka imeganda au ni nyeusi then unaweza kusema huenda imtoka kenye stomach au duodenum suggestive of peptic/ duodenal ulcer. Nikushauri uende Hosp umuone daktari.
Watalaam naomba mnisaidie, nina tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa. Damu huanza kutoka sekunde chache baada ya kuanza kujisaidia, huendelea hata nikimaliza kujisaidia ...huchukua dakika chache ndipo hukata.
Hii hutokea baada ya kipindi fulani, inaweza kutokea Leo ikajirudia tena baada ya miezi miwili au mitatu..
Kilichonifanya niombe ushauri kwenu ni leo imetoka lakini nyingi sana mpaka nimegopa, naomba ushauri huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake.
Nimeficha sana lakini nimeona niseme ili nisaidiwe...
Naomba wataalum mnisaidie tafadhali.

Daa..pole sana mkuu ila kwa ushauri zaidi nenda kwa doctorWatalaam naomba mnisaidie, nina tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa. Damu huanza kutoka sekunde chache baada ya kuanza kujisaidia, huendelea hata nikimaliza kujisaidia ...huchukua dakika chache ndipo hukata.
Hii hutokea baada ya kipindi fulani, inaweza kutokea Leo ikajirudia tena baada ya miezi miwili au mitatu..
Kilichonifanya niombe ushauri kwenu ni leo imetoka lakini nyingi sana mpaka nimegopa, naomba ushauri huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake.
Nimeficha sana lakini nimeona niseme ili nisaidiwe...
Naomba wataalum mnisaidie tafadhali.
tupo pamoja mkuu iyo hata mimi nahs ni internal hemorrhoids kikubwa hyo preparation H na anusol zitamsadia lasivyo aende hospitalInasikia maumivu au kuwashwa eneo husika wakati wa kujisaidia?
Kama ndiyo basi hiyo ni constipation inayopelekea internal hemorrhoids.
Tiba yake ni kuongeza vyakula vya nyuzi nyuzi kama papai na tikiki pamoja na mboga za majani kwa wingi. Kunywa maji ya kutosha na kama unapenda ubwabwa basi uwe unatumia brown rice.
Pia waweza kutumia suppositories kama anusol na preparation H.
Kwa usalama zaidi kamcheki daktari
mkuu umeua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]yawezekana ni kichocho mkuu, nenda hospital mkuu
Pole sana Dada hilo tatizo lilishanisumbua muda mrefu baadae kitaota kinyama!constipation
zingatia maji
kula matunda kwa wingi hasa yenye nyuz kama maembe hata mapapai
kula mboga mboga mkuu
hali ikizidi nenda kamuone dokta kwa msaada zaidi
mimi sijasema naumwa mkuuPole sana Dada hilo tatizo lilishanisumbua muda mrefu baadae kitaota kinyama!
Nilienda hospatali nilishauliwa nibadili mfumo wa ulaji wangu hasa niachane na Sembe.
Badala yake nitumie DONA na matunda na mboga mboga nasitumie Nyama nyekundu!!
Ilinisaidia japo kile kinyama kilitokea nikafanya upasuaji lakini kimejirudia tena ila cpati maumivu kama ilivyokuwa mwanzo!!