Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Asante na wewe. ukiona unakwama kuipata tuwasiliane kwa 0787371186. Wikiendi iliyopita tu kuna jamaa zangu nimewaletea Dar. mimi sifanyi biashara, kwangu ni Tanga, nafanya kazi hapa Dar, hivyo nakuchukulia kwa bei hiyo hiyo ya Dukani. Mimi niliwahi kupata tatizo hilo, nillipona ndani ya wiki, nikaendelea tu kuitumia kwa ajili ya kukamilisha ratiba.Aksante sana!!!!
Mkuu we kweli unasaidia watu iyo black seed oil so ndo mafuta ya mzaituni kwa kibongo au sio ?Asante na wewe. ukiona unakwama kuipata tuwasiliane kwa 0787371186. Wikiendi iliyopita tu kuna jamaa zangu nimewaletea Dar. mimi sifanyi biashara, kwangu ni Tanga, nafanya kazi hapa Dar, hivyo nakuchukulia kwa bei hiyo hiyo ya Dukani. Mimi niliwahi kupata tatizo hilo, nillipona ndani ya wiki, nikaendelea tu kuitumia kwa ajili ya kukamilisha ratiba.
hapana. siyo mafuta ya mzeituni. Ni mafuta ya mmmea mmoja una Sativa Nigella kwa jina la kisayansi kama sijaikosea namna ya kuiandika. Mbegu zake zinapatika Tanga katika maduka ya Wahindi. Ni mbegu ndogo ndogo na nyeusi kweli kweli. Zao hili linapatika Afrika ya Kaskazini na Mashariki ya kati na katika nchi za Spain na Pakistan. Waaarabu wanapenda kuliita "Habbat Soda Oil". Kwa kiingereza ndo hiyo Black Seed Oil.Mkuu we kweli unasaidia watu iyo black seed oil so ndo mafuta ya mzaituni kwa kibongo au sio ?
Okay mkuu bac nitakucheki nijue napataje hayo mafuta mkuuhapana. siyo mafuta ya mzeituni. Ni mafuta ya mmmea mmoja una Sativa Nigella kwa jina la kisayansi kama sijaikosea namna ya kuiandika. Mbegu zake zinapatika Tanga katika maduka ya Wahindi. Ni mbegu ndogo ndogo na nyeusi kweli kweli. Zao hili linapatika Afrika ya Kaskazini na Mashariki ya kati na katika nchi za Spain na Pakistan. Waaarabu wanapenda kuliita "Habbat Soda Oil". Kwa kiingereza ndo hiyo Black Seed Oil.
Msaada wa namba kiongoziWala sio tapeli ila huwezi kuanika namba ya mtu hadharani. Ila kama ana shida kweli atanifuata tu na hakika atapona kabisa
Vip mkuu inaweza kutumika kama kinga pia ?Asante na wewe. ukiona unakwama kuipata tuwasiliane kwa 0787371186. Wikiendi iliyopita tu kuna jamaa zangu nimewaletea Dar. mimi sifanyi biashara, kwangu ni Tanga, nafanya kazi hapa Dar, hivyo nakuchukulia kwa bei hiyo hiyo ya Dukani. Mimi niliwahi kupata tatizo hilo, nillipona ndani ya wiki, nikaendelea tu kuitumia kwa ajili ya kukamilisha ratiba.
OkMitazamo hutofautiana. Kutazama na kuona ni mambo mawili tofauti lakini yenye kutegemeana.
-Kaveli-
Hata yeye hajui inatengenezwaje. Cha zaidi aende kwa Shangaz yake akajifunze....then aje apige notiHahahaa, mkuu kweli hii ni biashara half-mubashara. Ndo maana hataki kuelezea maandalizi/formula ya hiyo dawa, analenga watu wamfuate pm.
Eti aliletewa dawa iliyo kwenye kichupa kidogo. Lol. Mitapeli kama hii ni ya kuchapa makofi.
Maboya watapigwa tu hapa.
-Kaveli-
matumizi yake yanakuaje mkuu
Tafuta hii dawa ni kiboko inaiuzwa bei ya 3500/=(elfu tatu mia tano tu)
Inapatikana karikoo kwenye maduka ya dawa za kiarabu yaliyopo karikoo kwenye stand ya mabus ya kwenda tegeta nyuki.
Jitahidi uipate ukitumia baada ya week tu utaona mabadiliko chanya tena makubwa sana.
Biidhni llah
Matumizimatumizi yake yanakuaje mkuu
Shukrani ngoja niitafuteMatumizi
Hiyo dawa ipo kama unga wenye chenga chenga flani hivi so unachanganya na maji kwenye kikombe.
Dawa unaweka kijiko kimoja cha chakula kwenye maji ya kunywa kutwa mara tatu
Asubuhi mchana jion.
Sio chungu wala sio tamu ni nzuri tu
Ebu ijaribu
Kwa maelezo zaidi waone wauzaji wenyewe pale karikoo na pia unaweza kugoggle hiyo dawa utaiona inatibu magonjwa gani.