Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Hiyo tiba yote atapona ndani ya muda gani?
 
Kwa hiyo pesa si aende hospitali? Kwani utabibu unatokana na nani? Kama knowledge ya utabibu imetoka kwa Mungu, TB naye unadai ni mtumishi wa Mungu, Kwa nini unamshauri kwenda kwa mtumishi wa Mungu aliyeko Nigeria, na awaache watumishi wa Mungu (madaktari) waliopo Tanzania?.
 
Hiyo inaitwa haemorrhoid

Huwa inasababishwa na kubeba vitu vizito au kupata choo ngumu


Tiba yake ni kuiondoa kwa operation au haemorrhoidectomy
 
Jambo jema kumtumainia Mungu lakini hiyo pesa nusu yake au pungufu anaweza pata tiba ya hospital hapa nyumbani akaokoa muda na pesa huku akiendelea kumwomba Mungu mwenyewe au kwa wachungaji wa jirani na kwake.
 
Dah ahsante mkuu, yaani amani imetoweka, ilikuwa wiki iliyopita nilipata maumivu sana nikaamua kupotezea, sasa leo nikaona wacha nijicheki ndo nakuta hali hiyo....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Ni ugonjwa uliompata mdogo wangu...alipata sana shida wakati wake haja....dawa yake ni opereshen tu na alifanyiwa na doctor fulani hapa dar....kama upo Tayali nikutumie no zake mpange...
naiomba hiyo namba mkuu, waweza nitumia PM
 
Kama kweli anaweza kumtibu hebu mlipie wewe kila kitu aende akipona ndio alipe gharama

Mnataka watu waingie gharama kubwa kwenda huko na hakuna chochote baadaye mnawaambia hawana imani

Huo ugonjwa akienda hospital hautazidi sana laki tano kama ni serious sana kuhitaji operation lkn kama upo kwenye hatua za awali anaweza kupewa dawa na ushauri juu ya chakula sasa wewe unamtangazia USD 1,500 unadhani ataitikisa kwenye mti tu aipate
 
khaa[emoji15]
 
Mm wakat nipo tanga hicho kitu kilinianza nilichofanya nikaenda hospita ya jeshi wakanipa vidonge flan yaaan hata vilivyopotea sijajua, hiyo ni minyooo ambayo ipo ndani ya ngoz dct alivyoniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…