si mpenzi wa ugali, napendelea sana kula wali, kidogo na chipsi, viazi na maghimbi.Alafu mkuu unakulaga ugali wa unga uliokobolewa au ugali mweupe??
Ni pm Hanna shida nikutumie picha hata sasa kumbe ipo. Ukachume mwenyewe nikupe na maekezo.naomba msaada kiongozi please nateseka sana mda huu
Wali nao mkuu hautakiwidah ahsante sana kiongozi, kwa kweli nimefarijika sana na ushauri wako..lakini naomba niulize vyakula kama wali nayo kwa sasa naweza kustop?
Kuna mtu alisema kama unakula vyakula vya nafaka iliyokobolewa kuanzia ugali, wali, ngano ndio vinaleta hiyo shida!!si mpenzi wa ugali, napendelea sana kula wali, kidogo na chipsi, viazi na maghimbi.
kwa mara ya mwisho kula ugali ni mwezi wa kwanza!
ahsante sana kwa ushauri kiongozi Mungu akubariki sanaKuna mtu alisema kama unakula vyakula vya nafaka iliyokobolewa kuanzia ugali, wali, ngano ndio vinaleta hiyo shida!!
Ila ushajua tatizo ni nin nenda hospital...
NB: kama una bima itakusaidia sana kupunguza gharama za matibabu!! Kama huna omba ya mtu au kata ndio uende kwenye hospital wanayotumia bima.... Pole sana na kila la heri!!
I love JF. The home of great thinkers. metusaidia wengi. Dr. MUNGU akupe umri uendelee kutulisha utaalam.Pole sana mkuu
Bila shaka hiyo ni Hemmorhoids au bawasili kwa kiswahili ni ugonjwa unaotokea sehemu ya haja kubwa katika nyama za misuli ya haja kubwa huwa inavimba
Kwa kuangalia hiyo pic yako inaonyesha upande wote wa hiyo misuli ya anus imevimba ina maana hapo hemorhoids yako ipo katika stage ya tatu huwa wanaiita thembosd hemmorhoids yaani vimbe zipo zaidi ya moja
Na kawaida huwa hawafanyi upasuaji kwa vimbe zaidi ya mbili kwa wakati mmoja na ww hapo picha inaonyesha una vimbe zaidi ya moja mean anus area yote imevimba
Kikubwa nenda hospitali doctor atakufanyia uchunguzi then atajua kama ufanyiwe surgey au akupe dawa za kupakaa na vidonge na ushauri wa lishe bora
Kikubwa watu wengi wasichokijua ni huu ugonjwa huwa unaweza kuisha au kupona wenyewe kwa kuzingatia lishe kama mboga mboga kwa wingi matunda kama papai,parachichi,maembe
Unapokuwa na huu ugonjwa usitumie
*chumvi nyingi
*kahawa
*chai
*vyakula vya ngano
*soda/pombe
*nyama nyekundu,pilipili
*maziwa
-maziwa huwa baada ya kuyanywa yakishafika tumboni baada ya masaa hubadilika na kuchacha na kutengeneza acid ambayo huenda kuamsha vimbe au kuleta maumivu makali kwenye hizo vimbe
Kamwone dk kwanza ila kwa hali yako sidhani kama utashauriwa kufanya surgey hapo utapewa dawa za kupakaa kwanza na ushauri wa vyakula bora
Kumbuka*
Usitumie dawa ya anusol zaidi ya siku 7, ukitumia zaidi ya hapo itakuletea madhara makubwa ambayo yatapelekea upate maumivu na vimbe zaidi katika sehem ya anus area
Ukifuata njia hizo mkuu ni nani ya wiki moja unapata nafuu nahatimae kupotea kwa maumivu nahuo uvimbeHiyo tiba yote atapona ndani ya muda gani?
Usijali poleee sana mkuu fanyia kazi hayo hautaona maumivu na huo uvimbe utaondoka kabisa nakuahidi hilo ndugu.Dah ahsante mkuu, yaani amani imetoweka, ilikuwa wiki iliyopita nilipata maumivu sana nikaamua kupotezea, sasa leo nikaona wacha nijicheki ndo nakuta hali hiyo....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nakenda tocho shimneMarinda yatakuwa Salama?
Exactly..!Mkuu usipate hofu unachotakiwa kukufanya ni hiki zingatia
1)epuka kula ngano (mandazi, chapati punguza)
2)epuka kukaa chooni zaidi ya dk 5 hupelekea hiyo misuli kuto himili na sio nzuri kwa afya
3)kunywa maji mengi
4)epuka kula vitu vigumu (mf mahindi, mapera, kande)
5)punguza kula nyama mkuu
6)kula matunda kwa wingi
7)kunywa maji mengi
Yafanye hayo mkuu ulete mrejesho nakuhakikishia usipo pona najitoa JF