Usifananishe labour na vitu vya kijingaNani ambaye hana aibu kati ya mleta uzi na mwanamke aliye labour?
Maumivu yake ni makali sanaNani ambaye hana aibu kati ya mleta uzi na mwanamke aliye labour?
Vyote vinahitaji Tiba ndio maana aibu inatowekaUsifananishe labour na vitu vya kijinga
Sasa binti kwa huu uandishi wako wa kutafuta mabwana si unanitafutia kesi?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] we hamnazo kabix jamaa yuko serious na hii ixhu unafany kejeli utatigoliwa xku nyingin
Tunahitaji watu wa ufahamu huu,Mkuu usipate hofu unachotakiwa kukufanya ni hiki zingatia
1)epuka kula ngano (mandazi, chapati punguza)
2)epuka kukaa chooni zaidi ya dk 5 hupelekea hiyo misuli kuto himili na sio nzuri kwa afya
3)kunywa maji mengi
4)epuka kula vitu vigumu (mf mahindi, mapera, kande)
5)punguza kula nyama mkuu
6)kula matunda kwa wingi
7)kunywa maji mengi
Yafanye hayo mkuu ulete mrejesho nakuhakikishia usipo pona najitoa JF
Goodsimple ni bawasili ktk early stage...ikipevuka ndo utatamani ardhi ipasuke maana damu inayoambata na maumivu makali ya hicho kinyama si mchezo.
Dawa/tiba zipo huwa kuna vidonge unapewa hlf unaviingiza huko haja kubwa,na pia dawa za kisunna zipo plus matunda ili kulainisha kinyesi,ili wkt unaenda haja usipate maumivu sna. pole mkuu Mungu atakusaidia
Acha kusema operesheni tu,Ni ugonjwa uliompata mdogo wangu...alipata sana shida wakati wake haja....dawa yake ni opereshen tu na alifanyiwa na doctor fulani hapa dar....kama upo Tayali nikutumie no zake mpange...
Hizi haemo ni vidonge na km ndyo vinauzwaje mkuuHiyo inaitwa haemorrhoid
Huwa inasababishwa na kubeba vitu vizito au kupata choo ngumu
Tiba yake ni kuiondoa kwa operation au haemorrhoidectomy
Kaka Mungu hatumikiwi kinafki namna hii km mdao alivyofanya,na hiki ndo kitu kinafanya hata Mungu asitubariki,ss ni wanafki,Jambo jema kumtumainia Mungu lakini hiyo pesa nusu yake au pungufu anaweza pata tiba ya hospital hapa nyumbani akaokoa muda na pesa huku akiendelea kumwomba Mungu mwenyewe au kwa wachungaji wa jirani na kwake.
Haemorrhodoiectomy sio vidonge mkuu ni procedure katika operation ndio inaitwa ivoHizi haemo ni vidonge na km ndyo vinauzwaje mkuu
Hufanyiza pressure kubwa ambayo husukuma nje nyama ya ndani,Kubeba vitu vizito?Ufafanuzi Tafadhali!
AibuKisa cha kutokwenda hospitali ni nini?
Angeeleza za kumeza ama kupachika tungejua km ni anusolanusol?
Asante mkuu,Haemorrhodoiectomy sio vidonge mkuu ni procedure katika operation ndio inaitwa ivo
Ni kweli kaka.Kaka Mungu hatumikiwi kinafki namna hii km mdao alivyofanya,na hiki ndo kitu kinafanya hata Mungu asitubariki,ss ni wanafki,
Badala ya kumsaidia mtu tiba iliyopo eneo husika anamshauri mtu aende Nigeria kwa mtu ambae hatujui kweli km anatumia nguvu za Mungu,
Nguvu za Mungu zipo kila mahali siyo huko tu ndo maana nimemuita mnafki,nguvu za Mungu hufanikishwa na imani yako,kwa nini asimwambie awaone watumishi wa Mungu wa eneo lake na awe na imani kuu,lkn pia hivi akili Mungu aliyowapa wanadamu wakagundua dawa mbadala na za kisasa siyo upinyaji wa Mungu kweli,