Mmmmh,, huu ushauri mkuu hapana, asiufate kabisa maana unampoteza tu mwenzio,, wewe inawezekana haikuwa bawasili labda uvimbe tu wa kawaida but kama ilikua ni hemorrhoid(bawasili) isingeisha kizembe hivo…!!Relax kaka, hiyo ni Bawasili, mm ilinipata na imepotea yenyewe. Nilisoma articles kadhaa kuhusu hiyo nikagundua sio hatari kivile, nikarelax ikaisha yenyewe.
Niliamini hivyo kwa kuwa alitumia dawa nyingi tu bila mafanikio....Acha kusema operesheni tu,
Au sababu wewe ulipinesha kwa njia hiyo basi unaamini ni hiyo tu,
Aibu na afya yako?Aibu na kifo!![emoji32][emoji32][emoji32]Aibu
Atiiiiiii??.[emoji23]Ahahaaa aisee anus haina ramani wala direction
Hii anusol ni dawa ya kidonge unafanya kupachika mkuu, ni dawa ila sikushauri sana uanze kujiweka madawa hayaAngeeleza za kumeza ama kupachika tungejua km ni anusol
yakweli haya?MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Vizito au Vigumu?Hufanyiza pressure kubwa ambayo husukuma nje nyama ya ndani,
Nitamtafasiria ujue au siyo utume boku katika simu yangu 07541234567[emoji3] [emoji3] [emoji3] nakenda tocho shimne