Huwa ni bila ganzi au?Haemoroids=bawasili.Nilisha ugua hiyo kitu.Wakati wa haja kubwa vinauma sana na kutoa damu.Nilifanyiwa oparesheni bugando hospital Mwanza.Oparesheni yake inauma sana sana sana.Ila kwa sasa nimepona kabisa.Kwa kisukuma inaitwa Mang'ondi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Hongera kwa ujasiri tu kwanza
shetani mkubwa wewe, huna hata adabu, mapepo yako na majini yako peleka huko huko usilete upumbavu kwenye mambo ya msingi....shetani we mssyyyuuuuuu......Jamaa wanamkamua
sote tu binadamu, sote tunaugua leo ni kwangu kesho mwingine kupitia mimi kuumwa na kupata ujasiri wa kupiga picha ni kutaka kusaidika/kupata mawazo huku nikijipanga kwenda hospital,hii hainisaidii mimi tu ushauri huu utawasaidia wengine.Kwanza inatisha. Badala awahi hospital anakuja huku.
God bless you richly!Kuna watu jf ni kama hospital
Naelewa mkuu ila ungewahi hospitalsote tu binadamu, sote tunaugua leo ni kwangu kesho mwingine kupitia mimi kuumwa na kupata ujasiri wa kupiga picha ni kutaka kusaidika/kupata mawazo huku nikijipanga kwenda hospital,hii hainisaidii mimi tu ushauri huu utawasaidia wengine.
Dah! Mkuu hivi hiyo usd 1500 akienda hospitalini kwani hatapona tena kwa gharama ndogo mnoMKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Mkuu katika watu ambao hautakiwi kuwaonea aibu ni hawaduh pole mkuu, nadhani jikaze ufike kituo cha afya kwa msaada zaidi japo najua hapo tatizo lako kubwa ni jinsi gani utawaonesha hilo eneo hao watabibu..Jikaze ukificha ugonjwa ni mbaya zaidi kwako.
nimeshakwenda leo mkuu!Naelewa mkuu ila ungewahi hospital
Pole sana mkuu iyo inshu iliwah mtokea wife alienda kata na ikapona Kwa tiba za kienyej haina gharama sana sema labda ulikoMsaada Madaktari Na Wenye Uzoefu, Nimekuwa na wakati mgumu sana, katika maisha sijui ni nini hiki?
Naomba msaada, niweze kupata tiba!
Okay mkuu. Pole.nimeshakwenda leo mkuu!
Dah! [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] jipu la tigoni ushaona wapi mkuu?Jipu...
Nahisi tezi dume. Kamwoneshee daktariMsaada Madaktari Na Wenye Uzoefu, Nimekuwa na wakati mgumu sana, katika maisha sijui ni nini hiki?
Naomba msaada, niweze kupata tiba!
Tupe mrejesho mkuu, niko naufuatilia huu uzi kwa umakini kabisa.nimeshakwenda leo mkuu!