Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Haemoroids=bawasili.Nilisha ugua hiyo kitu.Wakati wa haja kubwa vinauma sana na kutoa damu.Nilifanyiwa oparesheni bugando hospital Mwanza.Oparesheni yake inauma sana sana sana.Ila kwa sasa nimepona kabisa.Kwa kisukuma inaitwa Mang'ondi
Huwa ni bila ganzi au?
 
Jamaa wanamkamua
shetani mkubwa wewe, huna hata adabu, mapepo yako na majini yako peleka huko huko usilete upumbavu kwenye mambo ya msingi....shetani we mssyyyuuuuuu......


yaaani ungejua ulivyonikera natamani nikuone nikumalizie hasira zangu.
 
Kwanza inatisha. Badala awahi hospital anakuja huku.
sote tu binadamu, sote tunaugua leo ni kwangu kesho mwingine kupitia mimi kuumwa na kupata ujasiri wa kupiga picha ni kutaka kusaidika/kupata mawazo huku nikijipanga kwenda hospital,hii hainisaidii mimi tu ushauri huu utawasaidia wengine.
 
sote tu binadamu, sote tunaugua leo ni kwangu kesho mwingine kupitia mimi kuumwa na kupata ujasiri wa kupiga picha ni kutaka kusaidika/kupata mawazo huku nikijipanga kwenda hospital,hii hainisaidii mimi tu ushauri huu utawasaidia wengine.
Naelewa mkuu ila ungewahi hospital
 
MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Dah! Mkuu hivi hiyo usd 1500 akienda hospitalini kwani hatapona tena kwa gharama ndogo mno
 
duh pole mkuu, nadhani jikaze ufike kituo cha afya kwa msaada zaidi japo najua hapo tatizo lako kubwa ni jinsi gani utawaonesha hilo eneo hao watabibu..Jikaze ukificha ugonjwa ni mbaya zaidi kwako.
Mkuu katika watu ambao hautakiwi kuwaonea aibu ni hawa
1.wazazi wako
2.daktari
3.mwalimu wako
4.mke wako
 
Msaada Madaktari Na Wenye Uzoefu, Nimekuwa na wakati mgumu sana, katika maisha sijui ni nini hiki?

Naomba msaada, niweze kupata tiba!

Pole sana mkuu iyo inshu iliwah mtokea wife alienda kata na ikapona Kwa tiba za kienyej haina gharama sana sema labda uliko
 
Mkuu samahani lakini, umejipiga mwenyewe au umepigwa hiyo picha...

najaribu kuwaza iwapo ulijipiga mwenyewe ulikaa mkao gani..
 
Inatibika bila wasi kuna mtaalam yupo dumila alimsaidia sana ndugu yangu mpaka leo mwaka wa tano haijawah kumrudia tena hyo bawasiri
 
Pole kwa kuumwa,lakini nakusifu zaidi kwa ujasiri duh!umepekenyua kabisa ukapiga picha ukaattach?pole kwa kuumwa mimi sina utaalamu huo ila nitajifunza vitu humu ngoja niwasubirie wataalam.
 
Back
Top Bottom