Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

[emoji256] *BAWASIRI/MGOLO* [emoji256]
[emoji298]Bawasiri ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.
[emoji298]Kwa kiingereza hujuliakana kama piles.
[emoji298] Na kitaalam hujulikana kama hemorrhoids

[emoji261]AINA ZA BAWASIRI[emoji261]
[emoji117]1⃣ BAWASIRI YA NJE
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina hii ya bawasiri kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
[emoji117]2⃣BAWASIRI YA NDANI
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu.
[emoji298]Aina hii imeainishwa katika mainisho ya madaraja manne yafuatayo:
[emoji117]Daraja la 1 - Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
[emoji117]Daraja la 2 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya haja.
[emoji117]Daraja la 3 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya haja.
[emoji117]Daraja la 4 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya haja.
www.sangidaherbal.blogspot.com
[emoji271]BAWASIRI HUSABABISHWA NA NINI?[emoji271]
[emoji117]Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu
[emoji117]Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa
[emoji117]Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile
[emoji117]Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu
[emoji117]Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.
[emoji117]Kuharisha sana kwa muda mrefu
[emoji117]Kutumia vyoo vya kukaa
[emoji117]Kunyanyua vyuma vizito
[emoji117]Mfadhaiko/stress
[emoji117]Uzito na unene kupita kiasi.

[emoji271]DALILI ZA BAWASIRI[emoji271]
[emoji117]Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
[emoji117]Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia
[emoji117]Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa
[emoji117]Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa
[emoji117]Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote

[emoji263]ATHARI ZA BAWASIRI[emoji263]
[emoji298] Upungufu wa damu mwilini
[emoji298] Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
[emoji298]Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
[emoji298]Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
[emoji298]Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
[emoji298]Kupata tatizo la kisaikolojia

[emoji263]NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI[emoji263]
[emoji298]Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
[emoji298]Kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
[emoji298] Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
[emoji298] Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

[emoji259]DAWA YA KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI [emoji259]

NB:: Kabla ya kutumia dawa hizi pata ushauri kwa wataalam kulingana na aina ya bawasiri uliyonayo.
[emoji117][emoji267]Chukua dawa inayoitwa NTOBOTOBO kisha kamua na maji yake uyaweke kwa kiti cha kienyeji kisha mgojwa ayakalie yapate kuingia vizuri sehemu ya nyuma kwa Muda usiopungua lisaa limoja ni mujarabu sana dawa hyo
Pia mizizi yake ni mujarabu kwa kuchemsha na unywe kikombe kimoja kutwa mara Tatu in shaa Allah utapona kabisa
[emoji117][emoji267]Chemsha MAKAL-ARZAK 100gm, kwa maji lita moja na nusu kunywa nusu kikombe kutwa mara tatu, na uwe unapakaa mafuta ya mbono hukooo sehemu ya nyuma.

Kwa ushauri na dawa za magonjwa mbalimbali wasiliana nami
www.sangidaherbal.blogspot.com
+255 655 821 550
Sulayman Sangida
 
Kwann asiende kutolewa
 
Mh yamekuwa hayo tena? Sasa ugonjwa wa hospitali na huyo TB Tito wapi na wapi?huku si ndo kuua watu.Ushauri gani huo.....Ndugu yangu wahi hospitali tu mapema kama wengi wanavyoshauri.
 
Ahahahaha.
Ni wewe mwenyewe unaumwa ila umeshindwa kujieleza ukaamua kutumia case study
Anyway pole mkuu
 
Heshima kwenu wana forums
Nahitaji msaada wanu kwa hili,

Nina bawasiri ya ndani kwa miaka 2 sasa
Ya kutoka na kurudi wakati wa kujisaidia

Nimeenda hospital nikiwa tayari nimejiandaa mentality kwa ajili ya upasuaji (ndo solution pekee niliyoamini) baada ya process zote

Nikahamishiwa surgery clinic kumuona Dr wa upasuaji (hapa ndo vipimo vya mwisho kabla ya kupewa number na kitanda cha maandalizi ya upasuaji)
Dr aliponipima zaidi ya 5 times

Kwa vidole ( unaingiziwa didole chenye mafuta) akagundua iko 7 degree at the end of first stage, nikashauriwa nisifanye upasuaji na nibadili mfumo wa chakula kwa angalau week 2 hadi 3 na kupewa dawa Anusal cream.

OMBI LANGU
Mwenye kunisaidia/kunielekeza dawa
Mbadala ya miti shamba ambayo itamaliza hili tatizo
Napatikana Mwanza
 
[emoji256] *BAWASIRI/MGOLO* [emoji256]
[emoji298]Bawasiri ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.
[emoji298]Kwa kiingereza hujuliakana kama piles.
[emoji298] Na kitaalam hujulikana kama hemorrhoids

[emoji261]AINA ZA BAWASIRI[emoji261]
[emoji117]1⃣ BAWASIRI YA NJE
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina hii ya bawasiri kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
[emoji117]2⃣BAWASIRI YA NDANI
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu.
[emoji298]Aina hii imeainishwa katika mainisho ya madaraja manne yafuatayo:
[emoji117]Daraja la 1 - Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
[emoji117]Daraja la 2 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya haja.
[emoji117]Daraja la 3 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya haja.
[emoji117]Daraja la 4 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya haja.
www.sangidaherbal.blogspot.com
[emoji271]BAWASIRI HUSABABISHWA NA NINI?[emoji271]
[emoji117]Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu
[emoji117]Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa
[emoji117]Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile
[emoji117]Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu
[emoji117]Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.
[emoji117]Kuharisha sana kwa muda mrefu
[emoji117]Kutumia vyoo vya kukaa
[emoji117]Kunyanyua vyuma vizito
[emoji117]Mfadhaiko/stress
[emoji117]Uzito na unene kupita kiasi.

[emoji271]DALILI ZA BAWASIRI[emoji271]
[emoji117]Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
[emoji117]Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia
[emoji117]Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa
[emoji117]Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa
[emoji117]Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote

[emoji263]ATHARI ZA BAWASIRI[emoji263]
[emoji298] Upungufu wa damu mwilini
[emoji298] Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
[emoji298]Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
[emoji298]Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
[emoji298]Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
[emoji298]Kupata tatizo la kisaikolojia

[emoji263]NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI[emoji263]
[emoji298]Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
[emoji298]Kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
[emoji298] Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
[emoji298] Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

[emoji259]DAWA YA KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRI [emoji259]
Ili kupata dawa asili ya kukutibia maradhi hayo unaweza wasiliana nami.

Kwa ushauri na dawa za magonjwa mbalimbali wasiliana nami
www.sangidaherbal.blogspot.com
+255 655 821 550
Sulayman Sangida
 
Thanks you kwa response yako
 
Mkuu umeeleza vyema sana.katika hiyo haya ya mwisho kuhusu anusol, vp kama uvimbe haupungui na je hiyo yenyewe inaweza kutumia siku ngapi mpaka kuonyesha imefanya kazi.
 
Pole sana mkuu...tafuta mafuta ya nyonyo yale meusi...uwe unapaka njia ya haja kubwa kwa kidole mara 3 kwa siku amini nakuambia ndani ya mwezi mmoja utakuwa umepona. Hayonmafuta sehemu zingine yanaitwa mafuta ya mti wa mbono.
 
Mimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
Mkuu ulitumia nini ukapona au ndio ulipaka maji ya migomba
 
Pole sana mkuu...tafuta mafuta ya nyonyo yale meusi...uwe unapaka njia ya haja kubwa kwa kidole mara 3 kwa siku amini nakuambia ndani ya mwezi mmoja utakuwa umepona. Hayonmafuta sehemu zingine yanaitwa mafuta ya mti wa mbono.
mkuu kwa Dar naweza pata duka gani ayo mafuta ya nyonyo
 
Pole mkuu utapona. Mi najua kutibu ya nje na kuizuia isiote tena hiyo ya ndani kuna dawa ni magome ya miti fulani yapo variety mbili unakunywa within aweek inakwangua linaisha lote. Ila ni chungu kufa mtu hiyo dawa. Lakini ungekuwa karibu tungeuliza kuipata. Ila nina imani umeshapona kwa kufikisha hapa. Pole ndg yangu.
 
Hiyo ya nje inatibiwa vp mkuu.. Imempata dada yangu mama kijacho!!!
 
Pole sana mkuu...tafuta mafuta ya nyonyo yale meusi...uwe unapaka njia ya haja kubwa kwa kidole mara 3 kwa siku amini nakuambia ndani ya mwezi mmoja utakuwa umepona. Hayonmafuta sehemu zingine yanaitwa mafuta ya mti wa mbono.
Ndio hiyo inaitwa Castrol oil??
 
Ya nje inakuwaje mkuu na iyo dawa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…