Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Pata tiba haraka, kuna katoto kajirani yangu kameaga dunia juzi kwa ugonjwa huo, ulikasababishia upungufu wa damu. Hakikisha unawahi hospitali
 
Mimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
Dawa ya meno hii
 
Kuna mti unaitwa mlonge jaman, kama mtu anashida hiyo ajaribu kunywa mlonge, achemshe majani yake anywe tena anywe kwa wingi, siku moja tu maumivu yatapungua na matumaini atayaona
Ni majani pekee
 
nenda duka la dawa za asili nunua hii dawa inaitwa ZAIN Bawasir ukitumia effectively ndani ya siku 3 uvimbe utapungua mpaka kumaliza wiki unasahau kbs trust me

yalinipata hayo mauvimbe mwaka juzi mpka leo yamenikoma
 
Bawasili ni ugonjwa mbaya sana wa kudhalilisha kibaya zaidi umeshamiri sana zama hizi hasa kwa vijana hauchagui kijana wala mzee kutokana na life style mbovu,Nauogopa sana ,mgonjwa wa hatua za awali ajitahid kula matunda kulainisha choo mfano,papai,parachichi,maembe yakuiva,ndizi na juice zake ,pia cabbages na maji mengi wastan wa sichin ya lita3 kila siku kwa miez sita angalau kutegemea na ukubwa wa tatzo,atapona..usitumie nguvu sana kusukuma haja kipndi chote utapona...mungu niepushe bawasili !!!
 

umeeleza yote haya lakini kutoa ushauri wa dawa umeshindwa mpaka akupigie simu hapa nasisi ambao sio wagonjwa tutapata faida elezea dawa ipi na ipi au afanye nini
 
nikumbushe baadae nitakupa dawa niiliandika sehemu mimi niliwahi kutumia na nikapona ni dawa za kizungu zinapatikana pharmacy lakini bongo hamna wanaokwenda dubai watakuletea ni dawa nzuri
 
nikumbushe baadae nitakupa dawa niiliandika sehemu mimi niliwahi kutumia na nikapona ni dawa za kizungu zinapatikana pharmacy lakini bongo hamna wanaokwenda dubai watakuletea ni dawa nzuri
Daah na mimi inanisumbua nikijisaidia hadi damu inatoka
 
nikumbushe baadae nitakupa dawa niiliandika sehemu mimi niliwahi kutumia na nikapona ni dawa za kizungu zinapatikana pharmacy lakini bongo hamna wanaokwenda dubai watakuletea ni dawa nzuri
mkuu iyo dawa kwanini hadimu ivo
 
Wana Jf nina tatizo la muwasho sehemu ya haja kubwa kwa kipindi kirefu, nadhani ni tangu 2009 nilipoenda hospitali dakari alisema ni Fungus so akanipatia dawa lakini wapi, hali hiyo imekuwa ikanza na kuacha sasa mwaka jana nilienda hospitali moja doctor akanifanyia uchunguzi akakuta ni Bawasiri lakini bado ni ndogo. Hivyo akiandikia vidonge vyaAnusal suppository nikatumia lakin hali ndo ikachachamaa. Nikaamua kuachana navyo, nikaenda herbalistic moja nikapewa dawa za kuchemsha na kuweka kwenye uji nikatunia karibu mwezi, lakini wapi. Nikapewa vindonge flani wanasema vinatoka india vinaitwa PILOSS kwa ajiri ya Bawasiri nikatumia miezi miwili lakini havijanisaidia. Muwasho umepungua lakini bado nikienda haja kuna dalili ya uvimbe kutokeza kidogo.

Naombeni ushauri najua huku watalaamu mpo wengi.
 
Nitafute kama unahitaji dawa, ndani ya wiki moja hizo vimbe hutokaa uzione tena

Na baada ya kupona zingatia yale mambo yaliyokupelekea kupata hizo vimbe ili uonjwa usije ukakurudia tena
 

Ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…