Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

atulie tu atapona kama ni kijipu au uvimbe wa kawaida na kama ni kijipu upele, mpe pole ama aende hospitali tuu huko kuna msaada zaidi huku hizi siku watu wamevurugwa watakwambia seledi bila hata kapicha haiendi
 
itakua bawasiri nadhani, kuna dawa za hospitali ajielekeze hospitali, "though" kuna muda inafika inabidi afanyiwe 'minor operation"
 
karibu tumhudumie kwa tiba asili ambazo zitamuondoa kabisa tatizo hilo anaweza kututafuta pm au kwa namba zetu za simu
 
hiyo inaitwa bawasili ambayo huwa katika aina 2
1;ni ile aina ya bawasili ambayo hutokeza nje kipindi unawnda haja kubwa kiasi cha kuleta maumivu wakati wa ,kujisaidia haja kubwa,kutembea na hata kukaa
2;bawasili ya pili ni ile ambayo inakuwa kwa ndani yani uvimbe unakuwa kwa ndani ya anus

nini sababu za bawasili
1;sababu ya kwanza kabisa ya bawasili ni ulaji mbaya wa chakula na ulaji wa vyakula sumu kwa muda mrefu kama vinywaji kama bia na baadhi ya vyakula,ambayo hupelekea mtu kupata choo kigumu hivyo kuwa na mazoea ya kujikamua wakati wa kujisaidia
2;mapenzi kinyume na maumbile,ikiwa mtu atakuwa anajihusisha na mapenzi yaa kinyume na maumbile hata iwe mara 3 katika maisha yake kisha akaacha basi anahatari kubwa sana ya kupata bawasili kutokana na ile seal ya kwenye tundu kutolewa
3;kukaa au kusimamaa kwa muda mrefu
 
Hiyo atakuwa bawasili. Akacheki hospital apatiwe huduma
 
Kipele dume hiko, huwa inanipataga nkila aina flani ya samaki!
 
Kipele dume hiko, huwa inanipataga nkila aina flani ya samaki! Baada ya kudownload kimba lazma ukae tako moja hio,,,mchawi panadol walau maumivu hutulia kidogo
 
ahsante mkuu tiba mbadala ni ipi
 
Kama ni bawasili ni PM dawa ya kienyeji ninayo, akienda hospitali watamkata tuu ila tatizo haliwez kuisha
 
chukua kitunguu swaumu , kile original, ponda ponda vizuri kilainike, then weka kwa hio anus yako hapo panapouma, wacha kwa dakika 4 hivi ( inauma kiasi but ndio dawa inakuingia πŸ˜‰), fanya asubuhi na jioni siku 3 hivi, halafu ukuje na majibu hapa, usisahau kunitagπŸ™„
 
nenda duka la dawa asili ulizia hii dawa ZAIN Bawasir

hayo mauvimbe yanakera mwambie ayatibie haraka kabla haja-advance pacha
 
MWANZO




Watu wengi wamekuwa wakihangaika na ugonjwa wa bawasiri bila ya mafanikio ya kupona na wengine huwapelekea kuzoea tatizo hili na kuona ni tatizo la kawaida na la mazoea limeshakuwa kuwa kwao kutokana na kukata kwao tamaa,

Yote hii husabishwa na kujitibu kwa muda mrefu bila mafanikio, lakini ukibahatika kuona Post hii basi waweza kuwa umepona ewe mgonjwa wa tatizo hili;

Ufahamu kwanza ugonjwa huu:



Bawasiri ni ugonjwa ambao husababisha vijinyama kutoka nje ya tundu la haja hubwa na kutanuka kuunda mfumo kama wa utumbo ambao huchomoza na kuonekana ni utumbo na kiswahili watu husema ugonjwa wa kujisaidia na utumbo kutoka nje kwa kingereza huitwa hemorrhoids.

Chanzo chake:




Ugonjwa huu huja kwa vyanzo viwili moja ni kama maradhi ya hospitali na yapili ni kama maradhi ya malogo au kulogelezewa,

KAMA HOSPITALI:

Wanavyodai watu wa hospitali au watu wa science ya mwili wa mwanadamu source ya bawasili ni kama ifuatavyo:

*Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu.

*Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa.

*Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile.

*Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.

*Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.

*Kuharisha sana kwa muda mrefu

*Kutumia vyoo vya kukaa

*Kunyanyua vyuma vizito

*Mfadhaiko/stress

*Uzito na unene kupita kiasi nk

Hizo ni baadhi za according za wanasayansi japo still bado hawajaelewa vema where is this come from.. hii ni kwa upande wa kihospitali,

Dalili za bawasiri according to hospital:

*Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

*Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia

*Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa

*Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa

*Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote

Dalili za bawasili according to spiritual

*Ugonjwa hutokea ghafla bila dalili.

*Kutoka maji hovyo bila kipimo

*kutokwa na damu na kuvimba hilo dude hovyo na kusinyaa ghafla

kutoa malenda lenda sehemu hizo,

*haikukumbi athari zake hadi uwe mbele za watu

*usiku ukilala unaota unaingiliwa au kubakwa iwe mwanaume au mwanamke

*kuhisi wakati wa kuvuja damu kama mtu au kitu kinanyonya hapo

* kuambiwa kila aina ya dawa na kutumia zote bila mafanikio

TIBA YAKE:




Ikiwa utatibiwa hospitali na ugonjwa umekaa muda mrefu basi itakulazimu ufikie decision ya kukubali kupasuliwa ambapo kama ni tatizo la kishirikina litapungua kwa kasi kubwa sana na baada kuanza upya kwa nguvu zaidi lakini ikiwa ni la kawaida basi ukipasuliwa ndio umepona na kupewa vidonge vya kukausha hili tatizo..

Pale ambapo litaanza tena basi jua ni mazingara yanafanya kazi na ili uweze kutibia inabidi kitu cha kwanza ujue je, bawasili uliyonayo ni ya ndani au ya nje?

Kama ni ya ndani basi kupona kwake ni ngumu kidoge na itabidi utumie dawa ambazo ukikosea kidogo zaweza kukuletea vidonda vya tumbo ila hilo tatizo litakuwa limetoweka

Na kama ni ya nje basi utawahi kupona kwa maana haya matatizo ili ulijue limekaa kimazingara lile lililotoka nje ndio lipo ndani na la ndani ni hili la nje,

Na kama ni sehemu zote ndani na nje basi hawa hutumia mwezi mzima wa kutumia dawa kuweza kupona,

Ili uweze kuharakisha kupona basi lazima ujue details zote za hilo bawasili kama urefu,upana,lilipoegemea,linavyosurvive details zote utatakiwa uniinbox ili niweze kukwambia na kusugest ni dawa ipi itakufaa hapa natoa mbili tu ya ndani na ya nje ya kwa lile linaloanza kupeya,, yaani lenye miezi minne hadi sita kwa urefu wa nchi 2 na upana wa mdomo wa chupa ya energy ya azam,


DAWA




chukua ubongo wa jogoo mwekundu yule mwenye sharubu na nyongo yake vichanganye pamoja na uviweke kwenye chupa ndogo ya mafuta mazito yale baby care kisha tia humo chumvi,mafuta ya nyonyo na siki ya vinegar ya zabibu,

koroga hadi ibaki rojo ndio itakua mafuta ya kuchua kutwa mara mbili

Kisha chukua

Kitunguu swaumu, pilipili manga,tangawizi na chumvi vijiko vitatu vitatu kisha uchanganye na Asali nusu lita vitunguu vitano vya swaum.. utakunywa asubuhi kabla hujala kitu na jioni..

wiki mbili hilo tatizo linabaki hadithi ya kale kwako


 
sasa kwamtu mwenye dalili kama kupata maumivu siku mojamoja na kutokwa na damu siku mojaja na hasa kwenye kili kipindi unachofululiza kula maharagwe au nyama ya ng'ombe. Lakini huhisi dalili yoyote ya uvimbe. je yeye vipi huyu?
 
Sasa mkuu tatizo likiwa in spiritual muathirika atatumia kama huyu wa kawaida??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…