Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante mkuu tiba mbadala ni ipihiyo inaitwa bawasili ambayo huwa katika aina 2
1;ni ile aina ya bawasili ambayo hutokeza nje kipindi unawnda haja kubwa kiasi cha kuleta maumivu wakati wa ,kujisaidia haja kubwa,kutembea na hata kukaa
2;bawasili ya pili ni ile ambayo inakuwa kwa ndani yani uvimbe unakuwa kwa ndani ya anus
nini sababu za bawasili
1;sababu ya kwanza kabisa ya bawasili ni ulaji mbaya wa chakula na ulaji wa vyakula sumu kwa muda mrefu kama vinywaji kama bia na baadhi ya vyakula,ambayo hupelekea mtu kupata choo kigumu hivyo kuwa na mazoea ya kujikamua wakati wa kujisaidia
2;mapenzi kinyume na maumbile,ikiwa mtu atakuwa anajihusisha na mapenzi yaa kinyume na maumbile hata iwe mara 3 katika maisha yake kisha akaacha basi anahatari kubwa sana ya kupata bawasili kutokana na ile seal ya kwenye tundu kutolewa
3;kukaa au kusimamaa kwa muda mrefu
kama hutajali weka hapa mkuu kwa faida ya wengi. samahan lakinKama ni bawasili ni PM dawa ya kienyeji ninayo, akienda hospitali watamkata tuu ila tatizo haliwez kuisha


