ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,752
Pole sana mkuu. Hiyo ni ya ndani. Ngoja mtaalam aje.sasa kwamtu mwenye dalili kama kupata maumivu siku mojamoja na kutokwa na damu siku mojaja na hasa kwenye kili kipindi unachofululiza kula maharagwe au nyama ya ng'ombe. Lakini huhisi dalili yoyote ya uvimbe. je yeye vipi huyu?
KAMA TATIZO BADO LIPO TUMIA BLACK SEED OLI KWA KUNYWA NA KUPAKA. NDANI YA WIKI MOJA UTAKUWA UMESHAANZAKUONA MATOKEO. UNAWEZA KUJA INBOX KWA MAELEZO ZAIDI KAMA UTAHITAJI.Heshima kwenu wana forums
Nahitaji msaada wanu kwa hili,
Nina bawasiri ya ndani kwa miaka 2 sasa
Ya kutoka na kurudi wakati wa kujisaidia
Nimeenda hospital nikiwa tayari nimejiandaa mentality kwa ajili ya upasuaji (ndo solution pekee niliyoamini) baada ya process zote
Nikahamishiwa surgery clinic kumuona Dr wa upasuaji (hapa ndo vipimo vya mwisho kabla ya kupewa number na kitanda cha maandalizi ya upasuaji)
Dr aliponipima zaidi ya 5 times
Kwa vidole ( unaingiziwa didole chenye mafuta) akagundua iko 7 degree at the end of first stage, nikashauriwa nisifanye upasuaji na nibadili mfumo wa chakula kwa angalau week 2 hadi 3 na kupewa dawa Anusal cream.
OMBI LANGU
Mwenye kunisaidia/kunielekeza dawa
Mbadala ya miti shamba ambayo itamaliza hili tatizo
Napatikana Mwanza
KAMA TATIZO BADO LIPO TUMIA BLACK SEED OLI KWA KUNYWA NA KUPAKA. NDANI YA WIKI MOJA UTAKUWA UMESHAANZAKUONA MATOKEO. UNAWEZA KUJA INBOX KWA MAELEZO ZAIDI KAMA UTAHITAJI.
BAWASIRI ZOTE UNAKUNYWA NA KUPAKA KWA KUINGIZA KWA NDANI KWA KIDOLE CHAKO HADI HAPO DALILI INAPOISHA THEN UNABAKI KUNYWA HADI UTIMIZE MWEZI MOJA. PIA JITAHIDI KULA MATUNDA KWA WINGI NA NYAMA NYEKUNDU KWA KIDOGO SANA ILI KUONDOKA TATIZO LA CONSTIPATION AMBAYO NI MOJA YA CHANZO CHA BAWASIRI.hivi ni bawasiri aina zote unatumia kwa kupaka?
Mimi nina dalili za bawasiri zaidi ya miaka 10, nikufululiza kula maharage au nyama ya ng'ombe basi choo kinakua na damu na maumivu pia yanakuwepo. Masela wamenambiwa ni bawasiri. Lakini nikiacha matumizi ya ivo vitu au nikifululiza kula figili hali inatulia.
Sasa je nifanye kumaliza ilo tatizo kabisa?
mkuu samahani anaweka kwenye anus au pale sehemu penye uvimbe?chukua kitunguu swaumu , kile original, ponda ponda vizuri kilainike, then weka kwa hio anus yako hapo panapouma, wacha kwa dakika 4 hivi ( inauma kiasi but ndio dawa inakuingia 😉), fanya asubuhi na jioni siku 3 hivi, halafu ukuje na majibu hapa, usisahau kunitag🙄
dawa yake ni nini? mimi nina internal hemorrhoids,kuna wakati zinanisumbua nikitumia anusol zinapoa kama miezi 9 baadae zinarudi,nataka dawa ya kuzimaliza kabisahiyo inaitwa bawasili ambayo huwa katika aina 2
1;ni ile aina ya bawasili ambayo hutokeza nje kipindi unawnda haja kubwa kiasi cha kuleta maumivu wakati wa ,kujisaidia haja kubwa,kutembea na hata kukaa
2;bawasili ya pili ni ile ambayo inakuwa kwa ndani yani uvimbe unakuwa kwa ndani ya anus
nini sababu za bawasili
1;sababu ya kwanza kabisa ya bawasili ni ulaji mbaya wa chakula na ulaji wa vyakula sumu kwa muda mrefu kama vinywaji kama bia na baadhi ya vyakula,ambayo hupelekea mtu kupata choo kigumu hivyo kuwa na mazoea ya kujikamua wakati wa kujisaidia
2;mapenzi kinyume na maumbile,ikiwa mtu atakuwa anajihusisha na mapenzi yaa kinyume na maumbile hata iwe mara 3 katika maisha yake kisha akaacha basi anahatari kubwa sana ya kupata bawasili kutokana na ile seal ya kwenye tundu kutolewa
3;kukaa au kusimamaa kwa muda mrefu
BAWASIRI ZOTE UNAKUNYWA NA KUPAKA KWA KUINGIZA KWA NDANI KWA KIDOLE CHAKO HADI HAPO DALILI INAPOISHA THEN UNABAKI KUNYWA HADI UTIMIZE MWEZI MOJA. PIA JITAHIDI KULA MATUNDA KWA WINGI NA NYAMA NYEKUNDU KWA KIDOGO SANA ILI KUONDOKA TATIZO LA CONSTIPATION AMBAYO NI MOJA YA CHANZO CHA BAWASIRI.
Unywaji wake ni vipi? 1 x 1 au? na kwakijiko kipi cha chai au cha chakula?
1X1, kijiko cha chai. kama tatizo imekuwa kubwa tumia 1X2kijiko cha chai. Mama mjamzito na wenye presha za kushuka hawatakiwi kutumia. Logic behind ni kwamba Black Seed Oil ina sifa ya kupunguza mafuta, lehemu na na sukari mwilini. Hivyo,mwenye presha ya kushuka ukimpa tena unamwongezea matatizo maana yeye ndo natakiwa awe na glucose ya kumwongezea sukari. The same na mama mjamzito ambao mara nyingi wana tatizo la presha kushuka.
ni mda gani mzuri wakutumia Asubuhi au Usiku?
literature nyingi zinasema tu mara moja kwa kutwa. Mimi siyo mtaalamu sana wa mambo ya sayansi but kwa uzoefu wangu kazini na duniani muda mzuri wa kutumia dawa ni usiku isipokuwa dawa ya minyoo. HIVYO, NASHAURI ITUMIKE USIKU. BINAFSI HUWA NATUMIA USIKU. MIMI KWA SASA NATUMIA KAMA BURUDHANI NA KWA AJILI YA KUPUNGUZA NYAMA UZEMBE KILA KILO ZINAPOONGEZEKA KWA FUJO.
Mkuu unapatikanaje physical nahitaji sana kuonana na wewe!KAMA TATIZO BADO LIPO TUMIA BLACK SEED OLI KWA KUNYWA NA KUPAKA. NDANI YA WIKI MOJA UTAKUWA UMESHAANZAKUONA MATOKEO. UNAWEZA KUJA INBOX KWA MAELEZO ZAIDI KAMA UTAHITAJI.
Nakuelewa sana mkuuTATIZO LA BAWASIRI KWA BLACK SEED OIL HAIWEZI KUKATIZA. WAPO WATU WENGI TU HUMU WALIOPONA KWA MAFUTA HAYA YA BLACK SEED NIKIWEMO MIMI.SEMA TU KWA UGONJWA WENYEWE UNASHIKA SEHEMU MBVAYA MBAYA WATU WANAOGOPA KUTOA USHUHUDA.
TATIZO LA BAWASIRI KWA BLACK SEED OIL HAIWEZI KUKATIZA. WAPO WATU WENGI TU HUMU WALIOPONA KWA MAFUTA HAYA YA BLACK SEED NIKIWEMO MIMI.SEMA TU KWA UGONJWA WENYEWE UNASHIKA SEHEMU MBVAYA MBAYA WATU WANAOGOPA KUTOA USHUHUDA.
Thanks mkuu naona kitambo sana aseee.nenda duka la dawa asili ulizia hii dawa ZAIN Bawasir
hayo mauvimbe yanakera mwambie ayatibie haraka kabla haja-advance pacha
kwamba ni kinyama kinachotoka ndani kinamuumachukua kitunguu swaumu , kile original, ponda ponda vizuri kilainike, then weka kwa hio anus yako hapo panapouma, wacha kwa dakika 4 hivi ( inauma kiasi but ndio dawa inakuingia 😉), fanya asubuhi na jioni siku 3 hivi, halafu ukuje na majibu hapa, usisahau kunitag🙄